SPIKA MPYA WA BUNGE LA IRAN ATOA WITO WA KULIPA KISASI KWA MAREKANI
Spika mpya wa Bunge la Iran Mohammad Ghalibaf amesema leo majadaliano yoyote na Marekani hayatokuwa na manufaa na badala yake mkakati wa Ira...
WAZIRI MKUU MAJALIWA KUANZA ZIARA MKOANI TANGA KESHO
WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwasili jijini Tanga kesho June Mosi Mwaka huu kwa ziara maalum ya kutembelea na kukagua utekelezaj...
FORD-K REMOVES PARTY LEADER WETANG’ULA
Bungoma Senator Moses Wetang'ula addressing the media in Nairobi on May 31, 2020. Bungoma Senator Moses Wetang’ula has been removed as t...
BRAZIL YARIPOTI VISA VIPYA 33,274 VYA CORONA
Brazil imeripoti visa vipya 33,274 vya Covid-19 ndani ya saa 24 na kufanya kuwa na jumla ya visa 499,966 ikiwa ni nchi ya pili kwa visa ving...
IGP SIRRO AWATAKA WANAOACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS KUFUATA SHERIA ZA NCHI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka baadhi ya wananchi ambao ni washtakiwa au wafungwa wanaopata msamaha wa Rais kutok...
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU AKAGUA MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA WANAFUNZI MZUMBE
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dr. Evamarie Semakafu, ametembelea Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro, kukagua m...
KOREA KUSINI YAFUNGA SHULE TENA BAADA YA MAAMBUKIZI KUONGEZEKA ZAIDI
Zaidi ya shule 200 nichini Korea Kusini zimelazimika kufunga tena shule siku chache baada ya kufunguliwa, kutokana na ongezeko la maambukizi...
MASHAURI 4,711 YASIKILIZWA KWA MAHAKAMA MTANDAO KUEPUKA CORONA
Mahakama ya Tanzania imefanikiwa kuendesha mashauri 4,711 kwa njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama ‘Video Conference’ ikiwa ni hatua mojawa...
SERIKALI YATAHADHARISHA ‘TEGESHA’ NYAMONGO
Serikali imewatahadharisha wananchi wa kijiji cha Komarera kata ya Nayamongo Tarime Vijijini mkoani Mara kuacha tabia ya kufanya maendelezo ...
SERIKALI YATAKA MIKOPO YA TADB KUWA CHACHU KWA WAVUVI KUANZISHA VIWANDA VIDOGO
Serikali imesema inataka kuona uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo vya wafugaji na wavuvi kupitia mikopo inayotolewa na Benki ya Maendeleo ...
WHO: UONGOZI IMARA CHANZO CHA AFRIKA KUPATA MAAMBUKIZI MADOGO YA CORONA
Shirika la Afya Duniani (WHO), limesema kuwa uongozi imara wa nchi ni moja kati ya sababu za Afrika kupata kiwango kidogo cha maambukizi ya ...
NYANI WAIBA DAMU ZA WAGONJWA WA CORONA KUTOKA MAABARA
Kundi la nyani limeiba sampuli ya damu za watu waliopimwa virusi vipya vya corona (covid-19) katika hospitali ya umma, wilayani Meerut, Jimb...
GAVANA WA MINNESOTA, MAREKANI AHOFIA CORONA ”WAANDAMANAJI HAWAKAI MBALIMBALI, HAWAVAI BARAKOA”
Maandamano makubwa yanayofanyika kote nchini Marekani baada ya mmarekani mweusi George Floyd kufa mikononi mwa polisi katika jimbo la Minnes...
MAANDAMANO YA KUPINGA UBAGUZI WA RANGI NCHINI MAREKANI, SABABU NA HATARI ZAKE
Marekani imetumbukia tena katika machafuko makubwa kutokana na malalamiko ya wananchi wanaopinga mauaji yaliyofanywa na polisi wa nchi hiyo ...
LULU DIVA AFUNGUKA KUMWAGIWA MAJI YA MOTO
Mwanamuziki wa kike wa Bongo Fleva, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ amesema anawashangaa watu wanaosema amemwagiwa maji ya moto, kisa mume watu, jamb...
VIDEO: DC JOKATE ''NILIPOTEULIWA MANENO YALIKUWA MENGI''
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo amesema wakati anateuliwa na Rais John Magufuli maneno yalikuwa mengi sana na watu walidhani...
KIKWETE MGENI RASMI UTIAJI SAINI WA MABADILIKO YANGA LEO MEI 31
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete leo Mei 31, 2020 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uz...
WAZIRI JAFO -"SHULE HII IITWE JOKATE MWEGELO"
Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Kisarawe Selemani Jafo amekagua ujenzi wa shule ya kwanza ya kihistoria ya wasichana ambayo inajengwa kwa us...
POLISI WANASA PIKIPIKI 825 ZILIZOIBIWA, WAANIKA MBINU ZILIZOTUMIWA NA WEZI
Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kukamata jumla ya pikipiki 825 na vifaa vingine, zilizokuwa zimeibwa katika mikoa nane nchini. Pikipiki ...
RWANDA YARIPOTI KIFO CHA KWANZA CHA MGONJWA WA CORONA
Wizara ya Afya nchini Rwanda imeripoti kifo cha kwanza cha mgonjwa wa corona aliyetajwa kuwa ni dereva wa malori mwenye umri wa miaka 65. ...
ATCL YASAFIRISHA ABIRIA 200 WALIOKWAMA NCHINI
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imewasafirisha abiria 200 kwenda chini India, waliokuwa wamekwama nchini kutokana na marufuku ya kufanya sa...
KAZI ZA WAANDISHI WA HABARI KUFANYWA NA ROBOTI, MICROSOFT YAWAFUTA KAZI WAANDISHI WAKE
Waandishi wa habari kwa makumi wamefukuzwa kazi baada ya kampuni ya Microsoft kuamua kutumia ‘roboti’ (robot) na programu maalum za kompyuta...
MEYA WA JIJI LA MWANZA AKAMATWA NA KUHOJIWA POLISI KWA ZAIDI YA SAA 4
Siku chache baada ya watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Meya wa Halmashauri ya jiji la Mwanza James Bwire, kufanya fujo na kuvunja mkutano wa N...