Kocha mkuu wa Young Africans Luc Eymael amethibitisha kupokea tiketi ya ndege, kwa ajili ya safari ya kurejea Tanzania kuendelea na kazi ya ...
Divine Radio Live
IBRAHIM AJIB APEWA MASHARTI SIMBA SC
Imefahamika kuwa, kiungo mshambuliaji wa mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC Ibrahim Ajib, amerudishwa kambini kwa masharti maalum, baada ya ...
ALIYEKUWA WAZIRI WA ULINZI WA MAREKANI, JAMES MATTIS AMTUHUMU TRUMP KWA KUTAKA KUWAGAWA WAMAREKANI KWA MATABAKA
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis ametangaza kuwaunga mkono wananchi wa Marekani wanaondamana kulaani ubaguzi wa rangi n...
VIGOGO WANNE WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WASIMAMISHWA KAZI
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Utalii, Deogratius Mdamu na kumsimamisha kazi Mkaguzi Mkuu...
WASIOSHIRIKI MISIBA SASA KUCHARAZWA VIBOKO
Diwani wa Kata ya Mwangata, Manispaa ya Iringa, Edward Nguvu Wakazi wa Kata ya Mwangata, Manispaa ya Iringa wamepongeza uamuzi wa Diwani wa ...
MTANGAZAJI MAARUFU WA CLOUDS FM 'B DOZEN' ATIMKIA E-FM
Aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM Hamis Mandi maarufu B Dozen amejiunga na Kituo cha redio cha EFM- Tanzania. Mandi amba...
WAZIRI WA ELIMU ATOA SIKU TATU KWA VYUO VIKUU WANAFUNZI WAPEWE FEDHA ZA KUJIKIMU
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako ametoa muda wa hadi kufika Ijumaa wiki hii ambayo itakuwa Juni 5, 2020, vyuo vyo...
FAMILIA YASHEREHEKEA KIFO CHA BIBI WA MIAKA 131 MOSHI
Hivi karibuni kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, zilisambaa video na picha zikionesha watu wakisherehekea kifo cha Bibi mmoja aliyejuli...
AGAPE YAWAKUMBUKA WATU WENYE ULEMAVU MAPAMBANO DHIDI YA CORONA SHINYANGA
Shirika la AGAPE ACP linalotetea haki za wanawake na watoto mkoani Shinyanga, limewataka wananchi mkoani humo kuwakinga watu wenye ulemavu ...
MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI KESI YA SPIKA NDUGAI NA CECIL MWAMBE
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wakili Paul Kaunda dhidi ya Spika wa Bunge, Job Ndug...
TAKUKURU YAWASHIKILIA KWA RUSHWA VIGOGO WANNE WA BARAZA LA TAIFA NA UHIFADHI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA - NEMC
CHADEMA YAFUNGUA MILANGO KWA WANAOTAKA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA HICHO
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) kimefungua milango kwa wanachama wa chama hicho wanaotaka kugombea nafasi ya Urais katika uchag...
KIJANA AMUUA MAMA YAKE AKIMTETEA BABA YAKE MGONJWA
Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, Revocutus Malimi Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamsaka kijana mmoja aitwaye Justine Joseph kwa tuhuma za ...
WATATU WATIWA MBARONI DAR ES SALAAM KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA DEREVA TAXI (UBER)
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva tax (UBER) aliyefahamika kwa jina la...