MABONDIA RUVUMA WAOMBA WADHAMINI KATIKA MAPAMBANO YA NGUMI
Mabondia wa mkoa wa Ruvuma wameomba wadau na serikali kuwaunga mkono kwa kuandaa mapambano ya ndondi na kuwasaidia vifaa vya ngumi ili kuku...
SIMBA KUKIPIGA NA RUVU TAIFA LEO, SIMBA WATAMBA
BAADA ya kupita takribani miezi miwili na nusu bila ya kuchezwa mechi ya Ligi Kuu Bara, hatimaye jana Jumamosi ligi hiyo iliendelea kwa kuch...
MWANAUME AJIPELEKA POLISI AKIWA UCHI KISA FUMANIZI
Mwanaume aliyefumaniwa akiwa kituo cha polisi Mwanaume mmoja nchini Kenya amejisalimisha kituo cha polisi cha Embakasi Jijini Nairobi akiwa ...
NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. GODWIN MOLLEL APIGA MARUFUKU RAMLI CHONGANISHI
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amepiga marufuku tabia za Waganga wa tiba asili kupiga ...
SERIKALI YATISHIA KUKIFUTA CHAMA CHA WAFUGAJI NCHINI
Serikali imetishia kukifuta chama cha wafugaji nchini kutokana na kukaidi maelekezo yaliyotolewa na wizara ya mambo ya ndani kuhusu maandali...
CHADEMA WAJIBU MAPIGO KWA OLE SENDEKA, “DHAMIRA YETU SIO MADIWANI PEKEE TUTACHUKUWA MPAKA HALMASHAURI”
Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Njombe kimesema kinaamini ushindi mkubwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Njombe kwa kuwa wa...
MGODI WA IRASANIRO WAUWA WACHIMBAJI WADOGO
Vifo vya Wachimbaji wadogo Wawili wa madini na majeruhi Nane vilivyotokea katika kijiji cha Magunga Wilaya ya Butiama, vimemfadhahisha Wazir...
WALIOKUWA VIONGOZI WA CHAMA KIKUU CHA USIRIKA RUKWA MATATANI TENA
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Rukwa Hamza Mwenda amekabidhiwa ripoti ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama ...
VIDEO: BABA LEVO ADAI KUMKONEKTIA WANAUME SHILOLE
Msanii na Diwani wa Mwanga Kaskazini kupitia chama cha ACT Wazalendo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Baba Levo amefunguka ukaribu wake na msanii S...
"CHADEMA WAMENIFUKUZA, CUF WAMENISAIDIA" - LWAKATARE
Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia CHADEMA Wilfred Lwakatare, ameamua kuwaweka sawa wale waliokuwa wanahisi kwamba, yeye ameamua kukihama chama ...
"ALIYEKULA MAHARI YA MTOTO ATAITAPIKA" - ACP SHANA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Jonathan Shana, amesema kuwa Jeshi hilo halitokuwa na huruma kwa yeyote ambaye, atamuozesha mtoto wake ...
WABUNGE WAITAKA SERIKALI KUKISHA FEDHA KWA WAKATI KWENYE MIRADI
Wabunge wamesisitiza umuhimu wa serikali kutoa kwa wakati muafaka fedha zinazopangwa kwa ajili ya shughuli za maendeleo ili zikafanye kazi z...
MUFTI ATANGAZA MADRASA ZA WANAFUNZI WAKUBWA KUFUNGULIWA
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi ametangaza kufunguliwa rasmi kwa madrasa zilizofungwa kutokana na mlipuko wa virusi vya Coorna nch...
TAHARUKI: WIMBI LA PILI MAAMBUKIZI YA CORONA CHINA LAIBUKA
Serikali nchini China, imetoa taarifa za kufunga maeneo yenye mikusanyiko wa watu wengi kufuatia mlipuko mpya wa maapukizi ya virusi vya Cor...
MSAJILI AMPA ZITTO SIKU SABA, KIKAO NA BALOZI WA UINGEREZA CHAMPONZA
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imekiandikia barua chama cha ACT – Wazalendo kujieleza na kutoa ufafanuzi kuhusu mazungumzo ya M...
AJALI YA DALADALA KUGONGA TRENI NA KUSABABISHA KIFO NA MAJERUHI
Mnamo Tarehe 12.6.2020 majira ya saa 17.20hrs huko maeneo ya Mwakanga kwenye makutano ya njia ya reli na barabara itokayo Chanika kwenda Pug...
YANGA SC WAICHAPA MWADUI FC 1-0 UWANJA WA KAMBARAGE SHINYANGA
VIGOGO, Yanga SC wamepata ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mwadui FC jioni ya leo Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga katika mchezo wa L...
FREEMAN MBOWE ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, Freeman Mbowe ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Aga Khani jijini Dar es Salaam al...