RAIS MAGUFULI KUHUTUBIA NA KUVUNJA BUNGE KESHO
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kulihutubia na kul...
UMMY AKEMEA MATUMIZI MABAYA YA SIMU KWA WATOTO “HUCHOCHEA NGONO”
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka wazazi kuwasimamia watoto katika matumizi ya vifaa vya kieletroniki ili kuwaepusha kujiingiza katika v...
UPINZANI UGANDA: KIZZA BESIGYE NA ROBERT KYAGULANYI WAUNDA MUUNGANO
Robert Kyagulanyi wa vugu vugu la People Power kwa pamoja na Dkt. Kizza Besigye ambaye chama chake FDC Viongozi wa upinzani nchini Uganda Ro...
VIRUSI VYA CORONA: WAFANYAKAZI WANNE WA IKULU YA RAIS KENYA WAMEPATWA NA CORONA
Wafanyakazi wanne wa Ikulu ya rais nchini Kenya wamepatikana na virus vya corona. Kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu Kanze Dena, wafanyakazi ...
MESSI AFUNGUA UKURASA MPYA LA LIGA
Nahodha na Mshambuliaji wa Mabingwa wa Hispania FC Barcelona Lionel Messi, mwishoni mwa juma lililopita aliingia kwenye ramani nyingine ya s...
DONALD NGOMA OUT AZAM FC
Mabingwa wa Kombe La Shirikisho Tanzania Bara (ASFC) Azam FC wamepeana mkono wa kwaheri na Mshambuliaji kutoka nchini Zimbabwe Donald Ngoma....
FC BAYERN MUNICH WAMPIGA MARUFUKU THOMAS MULLER
Uongozi wa mabingwa wa Ujerumani FC Bayern Munich, umemtaka mshambuliaji wao Thomas Muller kuacha kuzungumzia mipango ya usajili ya miamba h...
LIVE: WAZIRI MKUU ANAHITIMISHA BUNGE MUDA HUU DODOMA
BAJETI kuu ya serikali kwa mwaka 2020 / 2021 imepigiwa kura Bungeni leo Juni15 na kupitishwa kwa kishindo baada ya kura za ndio kuwa nyingi ...
BALOZI KARUME AJITOSA URAIS ZANZIBAR (CCM)
Balozi Ali Karume amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea wa Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu uja...
MAJALIWA: VIJANA MSIFUATE MABINTI, MIAKA 30 ITAWASUBIRI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua kali kwa watu wote watakaothibitika kufanya vitendo vya kukatisha wa...
POLISI ALIYEMUUA MMAREKANI MWEUSI KWA RISASI KUSHTAKIWA
Nchini Marekani afisa wa polisi Garrett Rolfe, aliyemuua Mmarekani mweusi katika mji wa Atlanta anaweza kushtakiwa katikati ya wiki hii, kul...
CARRAGHER APASUA UKWELI USAJILI WA TIMO WERNER
Beki na nahodha msaidizi wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher anaamini mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner, anayehusishwa na mpango wa...
ASKOFU ATAKA WABUNGE WAZEE WASTAAFU
Na Theonestina Gregory, Kahama ASKOFU wa kanisa la Christian Gospel Revival Assembly (CGRA) Jovin Mwemezi amewataka wabunge wazee wastaafu i...
MKUTANO WA 19 - KIKAO CHA 46: TAREHE 15 JUNE, 2020
RATIBA: I. DUA. II. HATI ZA KUWASILISHA MEZANI III. MASWALI IV. HOJA ZA SERIKALI VII. HOJA ZA KAMATI V. MISWADA YA SHERIA YA SERIKALI VIII...
NDEGE MOJA YA JESHI LA INDONEIA YAPATA AJALI KATIKA KISIWA CHA RIAU
Taarifa iliotolewa na kituo cha habari cha Antara ni kwamba ndege moja ya jeshi la Indonesia imepata ajali karibu na kisiwa cha Riau katika...
MBUNGE BUNGARA (BWEGE) ATIMKIA ACT WAZALENDO
Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Selemani Bungara (Bwege) ametangaza kukihama Chama cha ‘Civic United Front (CUF)’ na kuhamia Chama cha ACT-...
SERA ZA NYALANDU NA MCHUNGAJI MSINGWA WANAVYOUTAKA URAIS 2020
Baada ya mlango wa kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao kupitia CHADEMA, tayari wagombea wan...
PSG KUWATEMA CAVANI, SILVA
Mshambuliaji wa Uruguay Edinson Cavani na beki wa Brazil Thiago Silva wa Paris St-Germain wataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu baa...
NGARIBA MAARUFU AKAMATWA MARA
Jeshi la Polisi mkoani Mara limefanikiwa kumkamata Ngariba Marry Onyango (50) maarufu kwa jina la Mgesi Mwita mkazi wa kitongoji cha Nyahend...
WAZIRI UMMY AZITAKA HOSPITALI ZOTE NCHINI KUACHA KUWADAI DAMU WAGONJWA KABLA YA HUDUMA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ameziagiza Hospitali zote nchini za Serikali na binafsi, Zahan...
VIDEO: LAZARO NYALANDU AJITOSA KUGOMBEA URAIS KUOITIA CHADEMA
Lazaro Nyalandu, ametangaza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku akiba...
RC MAKONDA ,UVCCM WATAMBA LAZIMA MAGUFULI ASHINDE UCHAGUZI MKUU 2020
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Kilakala (kushoto), akiwa na Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kwenye kikao cha Baraza la UVCC...
HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA ILIYOPO ISELAMAGAZI YAANZA KUTUMIKA RASMI
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, Mbunge wa Jimbo la Solwa Mh. Ahmed Salum pamoja na Viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Sh...