Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muhambwe Mkoani Kigoma kupitia Nccr-Mageuzi Felix Mkosamali, amekihama chama cha NCCR-Mageuzi na kujiunga na Chade...
Divine Radio Live
TRUMP AIOMBA CHINA IMSAIDIE KUSHINDA UCHAGUZI MKUU UJAO
Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani, John Bolton amesema katika kitabu chake kipya kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliio...
WAZIRI LULU MSHAM AWAASA VIJANA KUACHA KUTUMIWA NA WANASIASA
Naibu Waziri wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Lulu Msham Abdallah amewaasa vijana kuacha kutumiwa na wanasiasa kwa lengo la ...
BREAKING NEWS: EVARISTE NDAYISHIMIYE AAPISHWA KUWA RAIS MPYA WA BURUNDI
Burundi imemuapisha rais mpya wa taifa hilo, Evariste Ndayishimiye, katika hafla iliofanyika mbele ya raia wa taifa hilo na baadhi ya viongo...
SHAMSI VUAI NAHODHA ATUPA KARATA YAKE NAFASI YA URAIS ZANZIBAR
Aliyewahi kuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Shansi Vuai Nahodha amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha Mapindu...
YANGA YAIPONZA JKT TANZANIA, YAFUNGIWA KUCHEZA NA MASHABIKI
Serikali imezuia timu ya JKT Tanzania FC kucheza na mashabiki kwa mechi zake zote zilizosalia kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Jamhuri Dodo...
LUC EYMAEL AWEKA IMANI KWA YIKPE
Kocha Mkuu wa Young Africans Luc Eymael amesema ataendelea kumpa nafasi mshambuliaji Yikpe Gnamien, kwa kuwa hana chaguo bora zaidi ya washa...
WATATU MBARONI KWA SHUGHULI ZA KUGHUSHI HUDUMA ZA KIUHAMIAJI
Idara ya Uhamiaji Tanzania inawashikilia Watuhumiwa watatu (3) wanaojihusisha na vitendo vya kughushi huduma mbalimbali za kiuhamiaji. Akion...
MAGUFULI: RUKSA MACHINGA, MAMA LISHE, DALADALA STENDI MPYA DODOMA “MSIWARUSHE VICHURA”
Rais Dkt. John Magufuli ametoa agizo kwa Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Godwin Kunambi, kuhakikisha wafanyabiashara ndogondogo (Machinga), ma...
HATMA MAOMBI YA KUKAMATWA LISSU JULAI 14
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam, inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, T...
MAMA SAMIA KUHUDHURIA KUAPISHWA RAIS WA BURUNDI KESHO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza wajumbe wa Tanzania kwenda nchini Burundi kuhudh...
DR HUSSEIN MWINYI AJITOSA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt.Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya U...
WAZIRI UMMY AYATAKA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KUWEKA WAZI MATUMIZI YA FEDHA ZA WAFADHILI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini kuzingatia Uwazi ka...
REDESO, OXFAM ZASHIRIKI MAPAMBANO DHIDI YA CORONA KISHAPU
Mashirika yasiyo ya Kiserikali OXFAM na REDESO yanayotekeleza mradi wa kupunguza athari za maafa (KAMA) wilayani Kishapu yamekabidhi vifaa ...
HII HAPA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2020
WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo amesema jumla ya wanafunzi elfu 73,101 wamechaguliw...
TAKUKURU YATAHADHARISHA RUSHWA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2020
Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU,Brigedia Jenerali John Mbungo...
SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA KALI ZA KISHERIA WAFANYABIASHARA WA MAFUTA WANAOFICHA NISHATI HIYO
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amezielekeza FCC, EWURA, WMA kufanya ukaguzi na kuwachukulia hatua wafanyabiashara na...