Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoani Manyara inawashikilia Mwenyekiti wa CCM tawi la Maisaka Kati wilayani Babati na kat...
BAADA YA VANESSA,MWINGINE ATANGAZA KUSTAAFU MUZIKI
DJ, Muandishi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki nchini Marekani Dj Khaled (45) ametangaza nia ya kustaafu kufanya shughuli zamuziki huku a...
CHADEMA WAOMBA ULINZI LISSU ARUDI NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema wameandika barua kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), ...
MAAMBUKIZI YA COVID 19 YAFIKIA MILIONI 9.3 DUNIANI
Zaidi ya watu milioni 9.3 wamethibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona ulimwenguni kote huku Watu zaidi ya 481,000 wakiwa wamepoteza maisha...
TAMISEMI YARIDHISHWA MATUMIZI YA FEDHA UJENZI WA MIRADI KINONDONI
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Josephat Kandege ameridhishwa na matumizi ya fedha za ma...
KABUDI AZIOMBEA MSAMAHA WA MADENI NCHI ZA AFRIKA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuziomba taasisi za fedha za kimataifa pamoja na nchi za Jumuiya ya madola kufikiria ...
WAZIRI MWAKYEMBE AWAONYA MBEYA
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amesikitishwa na Viongozi wa Chama Cha Soka mkoani Mbeya, Klabu ya Mb...
VURUGU ZAUPONZA UWANJA WA MAJIMAJI
Bodi ya Ligi (TPLB) imeufungia uwanja wa Majimaji kutopokea Mashabiki katika mechi zilizosalia msimu huu, hadi hapo ulinzi na usalama utakap...
VIDEO: “TACIP INAENDELEA” – SERIKALI YAWATOA HOFU WACHORAJI
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amewatoa hofu wasanii wa sanaa ya uchoraji juu ya ufanyaji kazi wa Mradi...
WAZIRI BITEKO KUTANGAZA MATUMIZI YA MADINI YALIYOVUNJA REKODI
Waziri wa Madini Dotto Biteko amesema serikali itakuja na mpango wa namna ya matumizi ya mawe ya madini ya Tanzanite yaliyopatikana Mirerani...
DC MSAFIRI AHIMIZA OSHA KUSIMAMIA USALAMA WAFANYAKAZI KAMPUNI ZA MAFUTA NA GESI
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri, ameyataka makampuni yanayojishughulisha na biashara ya mafuta na gesi kuimarisha mifumo ya kuli...
ZENGWE MAITI ZA VICHANGA KUIBIWA HOSPITALI, RC AINGILIA KATI
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera ametoa siku 7 kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha watu waliohusika na upotevu wa maiti za watoto wawili wach...
RPC ARUSHA AHAMISHWA KITUO CHA KAZI
Viongozi wa mkoa wa Arusha waliosamehewa na Rais Magufuli, wamehamishwa vituo vyao vya kufanyia kazi ikielezwa kuwa ni hatua ya kuboresha uf...
NDUGU AIBA MTOTO NA KUCHOMA GODORO APATE USHAHIDI
Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Msata, Pwani, kwa tuhuma za kumuiba mtoto wa wiki 1 wa nduguye, Samia Ruh...
MUFTI MKUU TANZANIA ASEMA HAKUTOKUWA NA IBADA YA HIJJA MWAKA HUU
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir bin Ally kwa niaba ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ametangaza kuwa mwaka huu ...
MTOTO AFARIKI DUNIA KWA KUSHAMBULIWA NA FISI KWIMBA
Mtoto mmoja aliyetambulika kwa jina la Dalaile Milambo (6) mwanafunzi wa chekechea, wilayani Kwimba, mkoani Mwanza amefariki baada ya kusham...
WATU WANNE WAFARIKI, 27 WAJERUHIWA KWA KUPIGWA RADI ZIWA VICTORIA
Watu wanne wilayani Ukerewe, Mkoa wa Mwanza wamefariki huku wengine 27 wakijeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria katika Ziwa Victo...
JAMII YATAKIWA KUWAFICHUA WAUZA DAWA ZA KULEVYA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameitaka jamii mkoani Tanga kuibua na kuwafichua wauzaji na wasamb...
MBUNGE YOSEPHER AWAPA MBINU WANAWAKE WANAOTAKA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI UCHAGUZI MKUU
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (Chadema) Yosepher Komba amewapa mbinu wanawake wanaotaka kuwania nafasi za uongozi kwenye uchaguzi mk...
DC KATAMBI AMSIMAMISHA KAZI AFISA MIPANGO MIJI JIJI LA DODOMA KWA KUDHULUMU ARDHI YA MJANE
Na Faustine Gimu - Dodoma Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patrobasi Katambi ametangaza kumsimamisha kazi,Hadson Magomba,ambaye yupo kitengo c...
WAJUMBE SITA CCM WALIOSIMAMISHWA KWA TUHUMA ZA RUSHWA ZANZIBAR WAREJESHWA KAZINI
Na Faustine Gimu - Dodoma MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), HERI JAMES ametangaza kuwa jumuiya hiyo inawar...
MAAFISA ARDHI WATAKIWA KUWAFUATILIA WAMILIKI WASIOTAKA KUCHUKUA HATI ZA ARDHI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Ardhi nchini kuhakikisha wanawafuatilia wamiliki wa ardhi amb...
WANANCHI WATAKIWA KUIUNGA MKONO SERIKALI KWA KUBORESHA HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA HAPA NCHINI
Wananchi wametakiwa kuiunga mkono Serikali kutokana na maboresho makubwa yaliyofanywa ya upatikanaji wa huduma za kibingwa za matibabu ya mo...