Wananchi mkoani Kagera na maeneo jirani wametakiwa kujiandaa na fursa mbalimbali zitakazojitokeza baada ya meli ya ‘NEW MV VICTORIA HAPA KAZ...
KOCHA TANZANIA PRISONS ATANGAZA VITA JUMAPILI
Kocha Mkuu Tanzania Prisons Mohamed Adolf Rishard amesema hesabu zake kubwa ni kuiwezesha klabu hiyo inayomilikiwa na Jeshi La Magereza Tanz...
WAKILI TEMBA NA MWENZAKE WAUNGANISHWA KATIKA KESI YA MAKOSA YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI- BILIONI 8 ZA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA
TAKUKURU DODOMA YAMREJESHEA MSTAAFU MILIONI 10 ALIZODHULUMIWA NA TAASISI YA FEDHA YA SWAHILI TRUST MICROFINANCE
Na Faustine Gimu Galafoni-Dodoma Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kumrejeshea kiasi cha Tsh.m...
BINTI ATEKWA NA KUHIFADHIWA KICHAWI RUKWA
‘UKISTAAJABU ya Mussa Utaona ya Firauni’ ndivyo unavyoweza kusema kutokana na binti mwenye umri wa miaka 15 aliyepotea kwao wiki moja iliyop...
UPINZANI WAONGOZA UCHAGUZI MALAWI
Kiongozi wa upinzani nchini Malawi Lazarus Chakwera anaelekea kushinda marudio ya Uchaguzi wa urais uliofanyika wiki hii, wakati huu Tume ya...
NEC YASUBIRI TANGAZO LA KUVUNJWA KWA BUNGE ILI IWEZE KUTANGAZA TAREHE RASMI YA UCHAGUZI MKUU
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inasubiri tangazo kwenye gazeti la serikali la kuvunjwa kwa bunge ili iweze kuweka tarehe rasmi ya u...
MWANAFUNZI AMCHOMA KISU MWANAFUNZI MWENZAKE BAADA YA KUMKUTA KWENYE CHUMBA CHA MPENZI WAKE WA KIKE
Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi Kange, mkoani Tanga anadaiwa kumuua mwanafunzi mwenzake kwa kumchoma kisu baada ya kumkuta kwenye chumba cha...
YOUNG AFRICANS WAIWEKEA KIKAO NDANDA FC
Kikosi cha Young Africans kesho Jumamosi, kitashuka kwenye uwanja wa Taifa, Dar es salaam kumenyana na Ndanda FC kutoka mkoani Mtwara, katik...
SERIKALI YABORESHA UPATIKANAJI MAJI, BUKOBA
Kaya Zaidi ya 18,103 zenye wakazi wapatao 90,517 Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera zinatarajia kunufaika na upanuzi wa mtandao wa maji kutoka...
DC TARIME AWANYOOSHEA KIDOLE RUWASA, ATAKA MIRADI YA MAJI IKAMILIKE
Picha hii haihusiani na habari hii hapa chini Wakala wa huduma za maji vijijini Mkoa wa Mara (RUWASA) imeagizwa kuhakikisha inakamilisha kwa...
MAAFISA UHAMIAJI FEKI WAKAMATWA KAGERA
Idara ya uhamiaji mkoani Kagera kwa kushirikiana na wananchi wa kijiji cha Mashule kilichoko katika kata ya Kyamulaile, Halmashauri ya wilay...
BURUNDI: NKURUNZIZA ANAZIKWA LEO
Mwili wa aliyekuwa rais wa Burundi hayati Pierre Nkurunziza unazikwa leo Juni 26, 2020 kwenye makaburi ya mji wa Gitega, mji mkuu wa kisiasa...
HOW NAKURU GANGS USE DRONES TO DISRUPT LAW ENFORCEMENT
A drone flown by local police warns people to respect safety rules on a beach in Lloret de Mar on June 22, 2020. Criminal gangs in Nakuru ar...
WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO KUANZA MASOMO JULAI 20
Leo June 26, 2020 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza kuwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (2020), wataan...
KURA KUMBAKISHA PUTIN MADARAKANI HADI MWAKA 2036
Warusi wamepiga kwa kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya Katiba, juu ya iwapo mchakato huo utamruhusu Rais Vladimir Putin kuwania mihula miwil...
REKODI KUBWA 5, UBINGWA WA 19 WA LIVERPOOL
Klabu ya soka ya Liverpool imefanikiwa kushinda ubingwa wa ligi nchini Uingereza kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30 na kufikisha ubingwa w...
MADEREVA WALIO-BET UHAI WA WATU KUFUTIWA SIFA (+VIDEO)
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunatus Muslimu, amesema kuwa madereva wawili wa mabasi ambao video yao ilisambaa mitanda...
SIMBA, YOUNG AFRICANS ZATAKIWA KUFUATA NYAZO ZA KMC FC
Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 ...
JAMAA ALIYETUMIA DAWA ZA MAPENZI 'VIAGRA' KUPITA KIASI AFARIKI AKIFANYA MAPENZI NA MREMBO HOTELINI
Jamaa mmoja mwenye miaka 42, kutoka mjini Kakamega nchini Kenya ameaga dunia asubuhi ya Jumatano, Juni 24 , baada ya kudaiwa kutumia dawa za...