Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameupongeza uongozi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kwa k...
MAALIM SEIF ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza nia ya kugombea Zanzibar, amesema atachukua fomu Julai 4. Amewaomba w...
MBUNGE MTATURU ATOA MSAADA WA MABATI, PIKIPIKI, TENKI LA MAJI KUSAIDIA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Mhe. Miraji Mtaturu akitoa msaada wa tenki la maji.
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA HADHARANI KATIBU TAWALA WA KISARAWE, “....ANATUHUMIWA KUCHUKUA HATA WAKE ZA WATU”
Rais Magufuli amemtumbua hadharani Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe (DAS), Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi kushika nafasi hiyo h...
UPINZANI WASHINDA UCHAGUZI MKUU MALAWI, TAYARI RAIS MPYA LAZARUS CHAKWERA AMEAPISHWA
Mwanga wa siasa ya Lazarus Chakwera ulifufuliwa baada ya mahakama kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka jana
WANAHISA BENKI YA CRDB KUPATA ONGEZEKO LA ASILIMIA 112.5 LA GAWIO, SHILINGI BILIONI 44.4 KUTOLEWA
Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha gawio la shilingi 17 kwa hisa lililopendekezwa na Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo katika Mkutano M...
WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA KUANZA KUFANYA MTIHANI WAO WA MWISHO KESHO
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde K atibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde, ...
RAIS MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KIBAMBA - KISARAWE (+PICHA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanua Dkt John Pombe Magufuli amezindua mradi wa maji wa Kibamba Kisarawe uliotekelezwa na Mamlaka ha Maj...
RAIS MAGUFULI ATOA MAAGIZO KWA MKANDARASI, AMPONGEZA WAZIRI MKUU KWA UHODARI WAKE WA KUCHAPA KAZI
RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group Corporation kutoka China aliyesaini mkataba ...
WALIOKACHA KUCHUKUA HATI ZA ARDHI KUANZA KUDAIWA KODI JULAI MOSI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema kuanzi Julai Mosi mwaka huu wananchi wote wasiochukua hati z...
ZIMBABWE YASITISHA MIAMALA YA FEDHA KWA SIMU
Serikali ya Zimbabwe imesitisha ghafla huduma zote za pesa kwa njia ya simu za mkononi ikisema imechukua hatua hiyo ili kukabiliana na viten...
NTOBI AJITOSA UBUNGE SHINYANGA MJINI
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ngokolo Manispaa ya Shinyanga (2015-2020) ambaye sasa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Madiwani CHADEMA Kanda ya Sereng...
MKURUGENZI TAKUKURU AMUONDOA BOSS ARUSHA ALIEONYWA NA JPM
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Brigedia Jenerali, John Mbungo amefanya mabadililo ya vituo vya kazi...
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA MIRADI MIKUBWA YA KIHISTORIA MKOANI PWANI
Leo Juni 28, 2020, Rais Magufuli, anafanya ziara ya Kikazi Mkoani Pwani ambapo anazindua miradi mbalimbali ya Serikali inayotekelezwa katika...