Hakimu Mkazi wa Mahakama ya wilaya Ileje mkoani Songwe amewahukumu adhabu ya kifungo cha miaka 5 jela au faini ya Shilingi laki 8 vishoka ...
WATU 101 WAKIWEMO WAFUNGWA 72 WAAMBUKIZWA CORONA RWANDA
Kwa mara nyingine tena Rwanda imetangaza rekodi kubwa ya watu walioambukizwa virusi vya Corona, baada ya watu 101 wakiwemo wafungwa 72 wa ge...
KAMPUNI YA VEGRAB ORGANIC FARMING LTD YAZINDUA SOKO LA PILIPILI KICHAA SINGIDA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Vegrab Organic Farming LTD, Gladness Nyange akizungumzia kilimo cha pilipili kichaa wakati wa uzinduzi wa zao hil...
TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA BIL. 592.57
Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limeipatia serikali ya Tanzania mkopo wa Tsh. Bilioni 592.57 kwa ajili ya kutekeleza miradi mitatu ya...
CHINA YAIBUKA MAFUA MAPYA YA NGURUWE, HATARINI KUAMBUKIZA BINADAMU
Aina mpya ya mafua ya nguruwe ambayo inaweza kuwa janga kubwa la kiafya imegunduliwa na Wanasayansi nchini China. Kwa mujibu wa ripoti mp...
ALIYETAKA MKEWE AMRUDISHIE FIGO ALIYOMPA BAADA YA KUDAI TALAKA ‘AKWAA KISIKI’
Mahakama nchini Marekani imekataa ombi la mwanaume mmoja aliyemtaka mkewe amrudishie figo yake aliyompa mwaka 2001, baada ya mkewe huyo kuom...
PROF. PALAMAGAMBA KABUDI 'AUTAKA UBUNGE' KILOSA
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Prof. Palamagamba Kabudi amesema yupo tayari kuwatumikia wananchi wa jimbo la kilosa iwap...
IRAN YATOA WARANTI YA KUKAMATWA RAIS WA MAREKANI DONALD TRUMP
Iran imetoa waranti wa kukamatwa Rais wa Marekani Donald Trump na wanajeshi 35 wa Marekani, ikiwa ni pamoja na maafisa kutoka taifa hilo kwa...
LIVE: RAIS MHE. DKT JOHN P. MAGUFULI AKIRUDISHA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, akirudisha fomu ya kugombea nafasi ya urais kupitia chama chake ch...