Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoani Manyara imefanikiwa kurejesha zaidi ya shilingi milioni nne za watumishi wa shule...
WAZIRI UMMY ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MTWARA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea ujenzi wa Hospitali mpya ya Rufaa ya Mikoa ya kusi...
RAIS MAGUFULI AMPONGEZA DK. LAZARUS CHAKWERA KWA KUCHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA MALAWI
Rais Magufuli amempongeza Dk. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Malawi. Kupitia ukurasa wake wa Twitter; Rais Magufuli a...
BILIONI 13 ZATUMIKA KUBORESHA MIRADI YA ELIMU KIGOMA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amekagua miradi ya elimu inayotekelezwa katika Halmashauri ya Kasulu mkoani Ki...
ZITTO KABWE NA WENZAKE 07 WARIPOTI POLISI LINDI , WATAKIWA KUREJEA TENA JULAI 20
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe na viongozi wengine saba wa Chama hicho wameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Mkoani Lindi kam...
RAIS MAGUFULI AWASHUKURU WALIOMDHAMINI, ASEMA ANA DENI KUBWA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amewashukuru sana wote waliojitokeza kumdhamini kwa kujaza fomu za kuomba kuwani...
BREAKING: TAKUKURU SHINYANGA YAMKAMATA KADA WA CCM AKIGAWA RUSHWA YA MASHUKA, NDALA KWA WAJUMBE WA UWT
Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Shinyanga, Hussein Mussa akionesha mashuka kitenge kimoja, ndala zinazodaiwa kuwa za Asha Mwandu Makwaiya Mkazi...
CORONA: CAF YAFANYA MAAMUZI MICHUANO YA AFRIKA
Kamati kuu ya Shirikisho La Soka Barani Afrika (CAF), imefanya mkutano Jana Jumanne (Juni 30, 2020) kupitia video kujadili mustakabali wa mi...
DEREVA KWENYE AJALI YA KITONGA AFUNGIWA LESENI
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania SAPC Fortunatus Muslim ametangaza kumfungia leseni kwa miezi sita, dereva Said Abb...
WAZIRI UMMY : NHIF TATUENI MALALAMIKO YA UPATIKANAJI WA BAADHI YA DAWA
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) imetakiwa kutatua malalamiko ya upatikanaji wa baadhi ya dawa na vipimo kwa wananchi wenye bima ya afy...
WATU WANNE WAUAWA KWA KUCHARANGWA MAPANGA MGODINI KAHAMA
Wafanyakazi wanne wa kiwanda cha uchenjuaji wa madini ya dhahabu(Plant) katika Mgodi mdogo wa Ntambalale, kijiji cha Wisolele Kata Segese Ha...
WAZIRI WA VIWANDA AMUAGIZA MKURUGEZI WA TBS KUWAFUKUZA KAZI WAFANYAKAZI WANAOKWAMISHA ZOEZI LA UTOAJI NEMBO ZA UBORA KWA WAKATI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuwafukuza kazi wafanya...
MSAJILI: VYAMA VYOTE VINA HAKI SAWA KUSHIKA DOLA
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imesema ruzuku sio kigezo cha Chama Cha Siasa kuwa na nguvu ya kushika dola na vijenge hoja na u...
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO AVITAKA VYUO VYA MAFUNZO YA KILIMO VIHUISHE MITAALA ILI IENDANE NA MAHITAJI YA NCHI
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bwana Gerald Kusaya amewaasa Wakuu wa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo vya Serikali na Binafsi Wana wajibu wa kuhuis...
WAZIRI WA FEDHA DKT. MPANGO: SIJARIDHISHWA NA ENEO LILIPOJENGWA SOKO LA KIMATAIFA KIGOMA
WAZIRI wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), ameuagiza uongozi wa Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, kutafuta eneo jipya, ku...
WAZIRI KIGWANGALLA AZUNGUMZA NA BALOZI WA CHINA, INDIA NA UMOJA WA ULAYA KUELEZEA UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA WATALII
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania iko tayari kupokea watalii kutoka China, India na mataifa mengin...