} });
 
UMOJA WA MATAIFA UNA WASIWASI KUHUSU SHERIA YA USALAMA YA HONG KONG
UMOJA WA MATAIFA UNA WASIWASI KUHUSU SHERIA YA USALAMA YA HONG KONG

Umoja wa Mataifa umeeleza wasi wasi wake jana kuhusiana na kasi na utata wa sheria mpya ya usalama ambayo China imeiweka katika mji wenye ma...

Read more » Soma zaidi »

KOREA KASKAZINI: HATUNA MPANGO WA MAZUNGUMZO NA MAREKANI
KOREA KASKAZINI: HATUNA MPANGO WA MAZUNGUMZO NA MAREKANI

Korea ya Kaskazini imesema haina mpango wa kuendelea na mazungumzo baina yake na Marekani hivi karibuni. Ni mazungumzo yanayoitaka kusitisha...

Read more » Soma zaidi »

TSHISHIMBI, MORRISON WAKATWA SAFARI YA MARA, KAGERA
TSHISHIMBI, MORRISON WAKATWA SAFARI YA MARA, KAGERA

Nahodha na kiungo wa Young Africans Papy Tshishimbi na winga Beranrd Morrison hawakujumuishwa kwenye kikosi kilichoelekea kanda ya ziwa kwa ...

Read more » Soma zaidi »

PICHA YA MWEZI, PROF JAY NA P MAJANI IMEISHA HIYO
PICHA YA MWEZI, PROF JAY NA P MAJANI IMEISHA HIYO

Baada ya kuwa na tofauti kwa wakongwe wa muziki hapa nchini kati ya mtayarishaji P Funk Majani na Mbunge anayeongoza watu na wanyama jimbo l...

Read more » Soma zaidi »

UGANDA: DEREVA BODABODA AJICHOMA MOTO KITUO CHA POLISI KISA KUOMBWA RUSHWA
UGANDA: DEREVA BODABODA AJICHOMA MOTO KITUO CHA POLISI KISA KUOMBWA RUSHWA

Kijana mwenye umri wa miaka 29-ambaye ni mwendesha bodaboda nchini Uganda amefariki baada ya kujichoma moto mwenyewe katika kituo cha polisi...

Read more » Soma zaidi »

MWANZA: BABA WA MIAKA 50, ABAKA NA KULAWITI WATOTO WATANO WENYE UMRI KATI YA MIAKA 5 HADI 7
MWANZA: BABA WA MIAKA 50, ABAKA NA KULAWITI WATOTO WATANO WENYE UMRI KATI YA MIAKA 5 HADI 7

Mwanaume mmoja anayefahamika kama Felix Rwechungura mkazi wa Isamilo Msikitini, mkoani Mwanza, anatuhumiwa kuwabaka na kuwalawiti kwa nyakat...

Read more » Soma zaidi »

BWENI SHULE YA ILALA ISLAMIC LAUNGUA MOTO, WANAFUNZI 3 WAFARIKI
BWENI SHULE YA ILALA ISLAMIC LAUNGUA MOTO, WANAFUNZI 3 WAFARIKI

Picha hii haihusiani na habari hii hapa chini Wanafunzi watatu wamefariki dunia baada ya Moto uliozuka usiku wa kuamkia leo kuunguza bweni l...

Read more » Soma zaidi »

MACRON AMTEUA JEAN CASTEX KUWA WAZIRI MKUU MPYA UFARANSA
MACRON AMTEUA JEAN CASTEX KUWA WAZIRI MKUU MPYA UFARANSA

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amemteua Jean Castex kuwa Waziri Mkuu mpya, kama sehemu ya kuifanyia mabadiliko serikali yake. Ikulu ya Uf...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YATAKIWA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI INAYOTOKANA NA MIRATHI
SERIKALI YATAKIWA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI INAYOTOKANA NA MIRATHI

Wananchi mkoani Kigoma, wameitaka serikali imalize migogoro ya ardhi inayotokana na mirathi, matumizi mabaya ya madaraka na utoaji wa hati m...

Read more » Soma zaidi »

MAREKANI KUIWEKEA VIKAZO ICC NI KUKWAMISHA UTEKELEZAJI WA HAKI
MAREKANI KUIWEKEA VIKAZO ICC NI KUKWAMISHA UTEKELEZAJI WA HAKI

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai iliyoko The Hague nchini Uholanzi, Fatou Bensouda amesema vikwazo vya Marekani dhi...

Read more » Soma zaidi »

SIMBA SC WATANGAZA NJAA MTWARA
SIMBA SC WATANGAZA NJAA MTWARA

Licha ya kutwaa ubingwa wa Tanzania bara kwa mara ya tatu mfululizo msimu huu 2019/20, Simba SC wametangaza njaa ya ushindi dhidi ya Ndanda ...

Read more » Soma zaidi »

POGBA, FERNANDES HATARINI KUIKOSA AFC BOURNEMOUTH
POGBA, FERNANDES HATARINI KUIKOSA AFC BOURNEMOUTH

Huenda wachezaji Paul Pogba na Bruno Fernandes wakaukosa mchezo wa Ligi ya England (EPL) kati ya Manchester United dhidi ya Bournemouth baad...

Read more » Soma zaidi »

FBI WANAVYOMNYOOSHA ‘HUSHPUPPI’, MWIZI NGULI MTANDAONI
FBI WANAVYOMNYOOSHA ‘HUSHPUPPI’, MWIZI NGULI MTANDAONI

Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) limefungua mashtaka rasmi dhidi ya raia wa Nigeria, Ramon Olorunwa Abbas maarufu kwenye mitandao ya k...

Read more » Soma zaidi »

TSHISHIMBI: TUTAIFUNGA SIMBA SC JULAI 12
TSHISHIMBI: TUTAIFUNGA SIMBA SC JULAI 12

Kiungo na Nahodha wa Young Africans Pappy Kabamba Tshishimbi amesema wana matumaini ya kuendeleza ubabe dhidi ya Simba SC, kama walivyofanya...

Read more » Soma zaidi »

NAMUNGO FC WATUMA SALAMU SAHARE, TANGA
NAMUNGO FC WATUMA SALAMU SAHARE, TANGA

Ushindi wa Sahare All Stars dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa Robo Fainali Kombe La Shirikisho (ASFC), umepokelewa kwa shangwe na viongozi...

Read more » Soma zaidi »

MWENYEKITI WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF), PROFESA IBRAHIM LIPUMBA AMSIMAMISHA NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR
MWENYEKITI WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF), PROFESA IBRAHIM LIPUMBA AMSIMAMISHA NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba  amemsimamisha Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Faki Suleiman Khat...

Read more » Soma zaidi »

TUNDU LISSU ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA
TUNDU LISSU ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu,  amechukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania, kupitia chama ...

Read more » Soma zaidi »

CHAMA CHA UDP CHATANGAZA KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU
CHAMA CHA UDP CHATANGAZA KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU

Chama cha United Democratic Party (UDP) kimetangaza rasmi kumuunga mkono mgombea wa Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli kwenye Uchaguzi Mk...

Read more » Soma zaidi »

TUNDU LISSU ATANGAZA RASMI KUREJEA NCHINI MWISHONI MWA MWEZI HUU
TUNDU LISSU ATANGAZA RASMI KUREJEA NCHINI MWISHONI MWA MWEZI HUU

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za ...

Read more » Soma zaidi »

TAKUKURU YAWAJIBU CHADEMA KUHUSU MADAI KWAMBA INATUMIKA KISIASA BAADA YA KUWAHOJI BAADHI WA WABUNGE WA CHAMA HICHO
TAKUKURU YAWAJIBU CHADEMA KUHUSU MADAI KWAMBA INATUMIKA KISIASA BAADA YA KUWAHOJI BAADHI WA WABUNGE WA CHAMA HICHO

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imejibu madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa inatumika kisiasa, baa...

Read more » Soma zaidi »

UWEZO WA KUSIKILIZA MASHAURI YA JINAI WAFIKIA ASILIMIA 105.06
UWEZO WA KUSIKILIZA MASHAURI YA JINAI WAFIKIA ASILIMIA 105.06

Jumla ya mashauri ya jinai 24,698 yalifunguliwa katika ngazi zote za Mahakama nchini nzima isipokuwa Mahakama za Mwanzo kati ya hayo 25,950 ...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 04 JULAI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 04 JULAI, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top