MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewapa mtihani mkubwa wakuu wa Polisi wa wilaya nchini (OCD) ambao watakutwa kwenye maeneo y...
MTANDAO WA MAJI RUANGWA WAMTUA ‘WAMTUA NDOO MAMA KICHWANI
SERIKALI kupitia Wizara ya Maji imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maji katika maeneo ya mijini na vijijini kupitia Programu ya Maen...
KENYA YALEGEZA VIZUIZI VYA VIRUSI VYA CORONA KUNUSURU UCHUMI
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza leo (Julai 6. 2020) mpango wa kufungua tena shughuli za kawaida nchini humo kwa kulegeza vizuizi vil...
VIDEO: MWENYEKITI WA WAKUU WA MIKOA ATOA WITO MBELE YA JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 6, 2020, amewaapisha viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dodoma. K...
SAKATA LA BANGI ARUMERU LAONDOKA NA OCD, AFISA USALAMA
Rais dkt. John Magufuli ameagiza wakuu wa usalama wilayani Arumeru waondolewe katika nafasi zao akiwepo, OCD, OCCID na afisa usalama. Kat...
DC SABAYA AINGILIA KATI VIONGOZI KUWAPAKA WANAWAKE ‘UPUPU’ SEHEMU ZA SIRI
Viongozi watano wa Serikali ya kijiji cha Isuki, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wametiwa mbaroni kwa tuhuma za ukatili dhidi ya wanawake a...
LUC EYMAEL AUPONDA UWANJA WA KARUME
Kocha Mkuu wa Young Africans Luc Eymael ameeleza kushangazwa na mamlaka za usimamizi wa soka nchini (TFF), kuruhusu matumizi ya uwanja wa Ka...
MAJI YA KISIMA YAUA MIFUGO MSIBANI, WAOMBOLEZAJI 380 WANUSURIKA
Waombolezaji takribani 380 wamenusurika kifo baada ya kugundua kutumia maji ya kisima yenye sumu kwa kupikia na kunywa mara baada ya mifugo ...
POLISI MWANZA WAFANIKIWA KUZUIA TUKIO LA UJAMBAZI / WIZI KATIKA BANK YA CRDB
Tukio hili limetokea usiku wa tarehe 05.07.2020 majira ya 02:00hrs katika bank ya crdb, tawi la igoma, wilaya ya nyamagana, mkoa wa mwanza, ...
WAZIRI MKUU:TUTAENDELEA KUDHIBITI MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli itaendelea kudhibiti matumizi y...