} });
 
MKE AZIKA MWILI WA MUME WAKE MARA MBILI
MKE AZIKA MWILI WA MUME WAKE MARA MBILI

Mwanamke mmoja Afrika Kusini amelazimika kufanya mazishi ya mume wake mara mbili aliyekufa kwa ugonjwa wa Covid-19 baada ya kubainika kwamba...

Read more » Soma zaidi »

MTIA NIA KUGOMBEA URAIS TANZANIA ATOA AHADI YA KUWEZESHA MTU KUPATA UTAJIRI
MTIA NIA KUGOMBEA URAIS TANZANIA ATOA AHADI YA KUWEZESHA MTU KUPATA UTAJIRI

Mtia nia wa kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA Dkt Mayrose Majinge, ameahidi kuwa endapo chama chake kitampa ridhaa ya kugombea nafasi...

Read more » Soma zaidi »

MWENYEKITI UVCCM TAIFA KHERI JAMES AONYA VITENDO VYA RUSHWA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
MWENYEKITI UVCCM TAIFA KHERI JAMES AONYA VITENDO VYA RUSHWA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu na  Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Kheri James (kul...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI JAFO ATAKA DAMPO LA KISASA JIJINI TANGA LILINDWE
WAZIRI JAFO ATAKA DAMPO LA KISASA JIJINI TANGA LILINDWE

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Suleiman Jafo ametaka dampo la kisasa la Mpirani Jijini Tanga lilindwe kwa sababu ni uchumi na limetum...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MKUU: SERIKALI KUIMARISHA USAFIRI WA MAJINI
WAZIRI MKUU: SERIKALI KUIMARISHA USAFIRI WA MAJINI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema malengo ya Serikali ni kuimarisha usafiri kwenye maziwa yote na bahari ili kuwawezesha Watanzania wafany...

Read more » Soma zaidi »

RC MBEYA, ALBERT CHALAMILA ATENGUA UAMUZI WAKE WA KUGOMBEA UBUNGE
RC MBEYA, ALBERT CHALAMILA ATENGUA UAMUZI WAKE WA KUGOMBEA UBUNGE

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amesema kuwa hawezi kukiuka maagizo ya Rais Magufuli aliyowataka wateule wake kuridhika na nafasi wa...

Read more » Soma zaidi »

DKT. MAYROSE MAJINGE ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA
DKT. MAYROSE MAJINGE ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA

Leo Julai 7, 2020, mwanachama wa CHADEMA  Dkt Mayrose Majinge, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais katika...

Read more » Soma zaidi »

WIZARA YA ELIMU NCHINI KENYA YAFUTA KALENDA YA MASOMO KWA SHULE ZA UPILI NA MSINGI KWA MWAKA 2020 KISA CORONA
WIZARA YA ELIMU NCHINI KENYA YAFUTA KALENDA YA MASOMO KWA SHULE ZA UPILI NA MSINGI KWA MWAKA 2020 KISA CORONA

Wizara ya elimu nchini Kenya imefuta Kalenda ya masomo kwa shule za upili na msingi kwa mwaka 2020. Waziri wa elimu nchini Kenya Prof. Georg...

Read more » Soma zaidi »

RAIS WA BRAZIL APIMWA COVID-19
RAIS WA BRAZIL APIMWA COVID-19

Rais Bolsonaro ambaye mara kwa mara amekuwa akikataa kuvaa barakoa amesema pia amechunguzwa mapafu kwa kutumia kipimo cha picha cha X-ray ka...

Read more » Soma zaidi »

MPANJU: NI MARUFUKU TAASISI ZILIZOSAJILIWA KUTOA HUDUMA ZA MSAADA KISHERIA KUJIINGIZA KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU UJAO
MPANJU: NI MARUFUKU TAASISI ZILIZOSAJILIWA KUTOA HUDUMA ZA MSAADA KISHERIA KUJIINGIZA KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU UJAO

TAASISI zinazotoa  huduma za  msaada wa kisheria na Wasaidizi wa Msaada wa kisheria zimetakiwa kuhakikisha hazijiingizi katika masuala ya ki...

Read more » Soma zaidi »

BODI YA MKONGE KUANZISHA VITALU VYA MICHE, KUWAWEZESHA WANANCHI KUPATA FURSA YA ZAO HILO
BODI YA MKONGE KUANZISHA VITALU VYA MICHE, KUWAWEZESHA WANANCHI KUPATA FURSA YA ZAO HILO

Serikali kupitia Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), kwa kushirikiana na halmashauri mbalimbali nchini ambako zao la mkonge linalimwa imesema ita...

Read more » Soma zaidi »

MCHUNGAJI NICK SHABOKA AWATAKA VIJANA KUJIPA MUDA KABLA YA KUANZISHA MAHUSIANO
MCHUNGAJI NICK SHABOKA AWATAKA VIJANA KUJIPA MUDA KABLA YA KUANZISHA MAHUSIANO

Ukivunja mahusiano, ukiacha au ukiachwa, au mkiachana jipe muda wa kupona kabla ya kuanza mahusiano mengine. Unapokuwa kwenye mahusiano na m...

Read more » Soma zaidi »

TCRA YAIFUNGIA KWANZA TV KWA MIEZI 11
TCRA YAIFUNGIA KWANZA TV KWA MIEZI 11

Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kituo cha Kwanza Online TV  kwa muda wa miezi kumi na moja (11) baad...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI KUFUTA ADA YA USAJILI KWA WATOA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA ILI KUSOGEZA HUDUMA KWA WAYONGE
SERIKALI KUFUTA ADA YA USAJILI KWA WATOA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA ILI KUSOGEZA HUDUMA KWA WAYONGE

SERIKALI inafanyia kazi wazo la kufuta ada ya usajili kwa watoa huduma ya watoa  msaada wa kisheria na Wasaidizi wa Msaada wa kisheria ili k...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI: HAKUNA KUHUISHA HATI ZA MIAKA 33 KWA WAMILIKI WA ARDHI WASIOENDELEZA VIWANJA
WAZIRI LUKUVI: HAKUNA KUHUISHA HATI ZA MIAKA 33 KWA WAMILIKI WA ARDHI WASIOENDELEZA VIWANJA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Makamishna Wasaidizi wa Ardhi katika ofisi za ardhi za mikoa nchini k...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA WA MKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WATANO
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA WA MKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WATANO
Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMANNE 07 JULAI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMANNE 07 JULAI, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top