Baada ya kuwasili Dar es salaam na kupokelewa kwa shangwe na Mashabiki Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema leo Ijumaa anaanza ku...
MAZINGIZA: HATURUDII MAKOSA YA KUPOTEZA MCHEZO WA ‘DABI’
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba SC, Senzo Mazingiza Mbatha, amesema mchezo wa Nusu Fainali Kombe La Shirikisho (...
WABUNGE WAWILI CCM WAHOJIWA TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma, imewahoji wabunge wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaomaliza muda ...
WATUHUMIWA WA BANGI MKOANI ARUSHA WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Wakulima wawili wakazi wa Mwandeti jijini Arusha, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi...
MAJINA MATATU YA WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR KUJADILIWA LEO
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi jana ilikutana jijini Dodoma na kufanyia kazi taarifa ya Kamati Kuu Maalum ya Visiwani ...
WAZIRI JAFO AMUONDOA MENEJA WA TARURA ARUSHA KUTOKANA NA KUTOTOA TAARIFA ZA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFANYWA NA SERIKALI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Mhe. Selemani Jafo amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Viji...
MFANYAKAZI WA NDANI AUAWA BAADA YA KUWAUA KWA MAPANGA WATOTO WAWILI WA BOSI WAKE
MFANYAKAZI wa kazi za ndani mwanaume,Yasin Abdala (35), Kitongoji cha Kivungwi Kwazoka ,Kata ya Vigwaza Chalinze,Bagamoyo mkoani Pwani ameuw...
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WAKILI MKUU WA SERIKALI NA NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI
Rais Magufuli amemteua Gabriel Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Julius Mashamba.
CCM SHINYANGA MJINI YAWASIMAMISHA UONGOZI MAKADA 12 WA CCM WALIOKAMATWA NA TAKUKURU
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Saidi Ahmedi Bwanga akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Alhamis Julai 9,2020 kuhu...
CCM YAANIKA MAJINA YA WANACHAMA 10 WALIOTIA NIA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SHINYANGA MJINI
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Saidi Ahmedi Bwanga Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga Mjini kimetangaza...
MWALIMU WA KIKE ALIYEZUA GUMZO KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI WAKE WA DARASA LA 6 AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa mwalimu katika jimbo la Washington ambaye uhusiano wake na mwanafunzi ulifanya akafungwa gerezani na kukashifiwa kote duniani amea...