Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Dkt.Angelina Mabula leo amechukua fomu ya kutetea kiti chake cha ubunge katika ofisi ya Chama cha CCM w...
NAIBU SPIKA TULIA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE MBEYA MJINI KUPITIA CCM
Naibu Spika Dkt.Tulia Ackson amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbeya mjini kupitia tiketi ya CCM. Dkt.Tulia amechukua f...
ASKOFU GWAJIMA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUPITIA CCM
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama C...
MRISHO GAMBO ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA ARUSHA MJINI
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, leo amechukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Arusha Mjini, kupitia chama cha Mapinduzi
BANDORA MILAMBO AJITOSA KINYANG'ANYIRO CHA UBUNGE JIMBO LA SHINYANGA MJINI
Mfanyabiashara Bandora Salum Milambo mkazi wa Ngokolo Manispaa ya Shinyanga akionesha fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjin...
GRACE ANTHONY LYON ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Grace Anthony Lyon mkazi wa Majengo Mapya Manispaa ya Shinyanga akionesha fomu ya kuomba kugombea Ubunge J...
MUSA NGANGALA AJITOSA KUWANIA UBUNGE SHINYANGA MJINI
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Musa Jonas Ngangala amechukua fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Ma...
HAI: WATUHUMIWA DAWA ZA KULEVYA, GONGO WATOROKA MAHABUSU
Watu wawili wanaotuhumiwa kwa makosa ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya mirungi na gongo, wametoroka wakiwa mikononi mwa polisi katika ma...
YOUNG AFRICANS KUMUADHIBU MORRISON
Makamu Mwenyekiti wa Young Africans Fredrick Mwakalebela amesema uongozi wa timu hiyo utamchukulia hatua winga Bernard Morrison kufuatia kit...
ARISTICA CIOABA ATANGAZA VITA NAFASI YA PILI LIGI KUU
Baada ya kuvuliwa ubingwa wa Kombe La Shirikisho Tanzania bara (ASFC) kwa kufungwa na Simba SC mabao mawili kwa sifuri kwenye mchezo wa Robo...
UINGEREZA: WASIOVAA BARAKOA KUPIGWA FAINI SH. 263,000
Serikali ya Uingereza imetunga sheria inayowabana watu wasiovaa barakoa wanapoenda kufanya manunuzi kwenye maduka mbalimbali, kwa kuwapiga f...
IVORY COAST: MAKAMU WA RAIS AJIUZULU BAADA YA KIFO CHA WAZIRI MKUU
Siku chache baada ya kifo cha ghafla cha Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly, Makamu wa Rais wa nchi hiyo Daniel Kablan Duncan ...
HII HAPA RATIBA YA MCHAKATO WA KUWAPATA WAGOMBEA WA CCM NAFASI ZA UBUNGE, UWAKILISHI, VITI MAALUM NA UDIWANI
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama hicho, Humprey Polepole kimetoa utaratibu na ratiba kamili itakay...