SERIKALI imesema mafuriko mabaya zaidi kutokea ndani ya miaka zaidi ya 30 nchini China yamesababisha vifo vya watu takriban 140, huku wengi...
COSOTA YAHAMIA RASMI WIZARA YA HABARI
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe ameeleza kuwa lengo la kuihamisha Taasisi ya Hakimiliki (COSOTA) kuto...
LIVE: MAKABIDHIANO YA COSOTA KUTOKA WIZARA YA BIASHARA KWENDA WIZARA YA HABARI BAADA YA AGIZO LA JPM
MAALIM SEIF ARUDISHA FOMU YA URAIS ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad leo amerudisha fomu kwenye ofisi za chama zilizopo Vuga Zanzibar yakuomba dha...
KUBENEA ATAJA SABABU ZA KUTOKUGOMBEA UBUNGE
Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA aliyemaliza muda wake Saed Kubenea, amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea yeye kutokuchukua fomu y...
AZAM, YANGA VITANI LEO VPL,NA RATIBA YOTE IPO HAPA
Patashika ya ligi kuu Tanzania bara raundi ya 35 itaendelea leo kwa mitanange 6 kupigwa ambapo klabu ya Namungo ambao wapo katika nafasi ya ...
ALIYEKUWA MBUNGE APIGWA CHINI KURA ZA MAONI
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu kupitia CHADEMA, Gimbi Masaba, ameshindwa katika uchaguzi wa kura za maoni ndani ya chama hi...
SIMBA SC WAFICHUA SIRI YA USAJILI 2020/21
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara na wanafainali Kombe La Shirikisho (ASFC) Simba SC, wametaja idara wanazotarajia kuziboresha katika kikosi ch...
VIDEO: TIA YAWATOA HOFU WANAOOGOPA KUJIUNGA KISA HESABU
Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) imewatoa hofu wanafunzi baada ya kumaliza kidato cha nne wanaotamani kujiunga na chuo hicho, kuwa hawaanga...
MORISSON APIGWA “DANADANA” YOUNG AFRICANS
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Young Africans Hassan Bumbuli amesema suala la kiungo mshambuliaji Bernard Morrison ndani ya timu h...
PROF. KABUDI: SIGOMBEI KUTAFUTA UMAARUFU
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge kupitia...
POLISI ZNZ YAMUWANIA MNYARWANDA
Mlango wa timu ya Marines FC ya Rwanda, Nduwayo Baritez huenda akasajiliwa na timu ya Polisi Zanzibar kwa ajili ya kumsajili msimu ujao 2020...
KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI, PROFESA KITILA MKUMBO NA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA KIGOMA BRIG. JENERALI EMMANUEL MAGANGA WAJITOSA UBUNGE CCM
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brig. Jenerali Emmanuel Maganga amekabidhiwa fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Mvomero hu...
KATIBU MKUU CHADEMA JOHN MYIKA ATANGAZA KUTOGOMBEA UBUNGE UCHAGUZI WA MWAKA HUU 2020
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Myika, amesema hatagombea ubunge, katika jimbo la Kibamba jijini Dar es S...
WASHINDI WA UCHAGUZI KWENYE KURA ZA MAONI ZA UBUNGE WA CHADEMA WALIOPITA KWENYE MAJIMBO YAO
Washindi wa uchaguzi kwenye kura za maoni za Ubunge wa CHADEMA waliopita kwenye majimbo yao ni kama ifuatavyo: 1.Mshindi Jimbo la Kawe ni H...
SERIKALI KUENDELEA KUNUNUA MAZAO YA WAKULIMA
Wakulima nchini wamehakikishiwa kuwa serikali itaendelea kununua mazao yao kwa ajili ya kuongeza hifadhi ya kutosha ili kuwa na uhakika na u...
KARIBU CITY MUSIC SOUND LIMITED DAR ES SALAAM KWA VIFAA BORA VYA MUZIKI
City Music Sound Limited ni wakala pekee wa FIDEK Tanzania, kwa mahitaji ya vifaa bora vyote, iwe ni #LiveSound kwa mikutano, #Band, #Record...