} });
 
ALIYEKUWA MBUNGE WA MAFINGA MJINI COSATO CHUMI AIBUKA MSHINDI
ALIYEKUWA MBUNGE WA MAFINGA MJINI COSATO CHUMI AIBUKA MSHINDI

Aliyekuwa mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi amefanikiwa kushinda mchakato wa kura za maoni kwa kupata kura 135.

Read more » Soma zaidi »

WILLIAM LUKUVI AIBUKA KIDEDEA KATIKA KURA ZA MAONI JIMBO LA ISIMANI, IRINGA
WILLIAM LUKUVI AIBUKA KIDEDEA KATIKA KURA ZA MAONI JIMBO LA ISIMANI, IRINGA

Zoezi la kuhesabu kura katika Jimbo la Isimani mkoani Iringa limekamilika na Waziri wa Aridhi William Lukuvi ameibuka mshindi kwa kupata kur...

Read more » Soma zaidi »

SELEMANI JAFO AIBUKA MSHINDI KWENYE KURA ZA MAONI KATIKA JIMBO LA KISARAWE KWA KUPATA KURA 588
SELEMANI JAFO AIBUKA MSHINDI KWENYE KURA ZA MAONI KATIKA JIMBO LA KISARAWE KWA KUPATA KURA 588

Zoezi la kuhesabu kura za maoni, Jimbo la Kisarawe limekamilika na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ameibuka mshindi. Selemani Jafo-588 Hass...

Read more » Soma zaidi »

ABBAS TARIMBA AONGOZA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA KINONDONI
ABBAS TARIMBA AONGOZA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA KINONDONI

Katika kura za maoni CCM Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba Abbas Tarimba ameongoza  kwa kupata kura 171, akifuatiwa na Idd Azann kura 77, Geo...

Read more » Soma zaidi »

HUSSEIN BASHE AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA NZEGA
HUSSEIN BASHE AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA NZEGA

Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewashinda watia nia wenzake 12 wa Ubunge jimbo la Nzega mjini kwa kura 367 kati ya kura 376 zilizopig...

Read more » Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AONGOZA KURA ZA MAONI KIGAMBONI, AMPIKU MAKONDA
DKT. NDUGULILE AONGOZA KURA ZA MAONI KIGAMBONI, AMPIKU MAKONDA

Dkt. Faustine Ndugulile ameongoza katika kura za maoni za kuomba nafasi ya kuwania ubunge wa jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya Chama Cha Mapi...

Read more » Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA ARDHI, DKT. ANGELINE MABULA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM
NAIBU WAZIRI WA ARDHI, DKT. ANGELINE MABULA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM

Naibu Waziri wa Ardhi, Dkt. Angeline Mabula ameongoza kwenye kura za maoni Jimbo la Ilemela Mwanza kwa kupata kura 502 kati ya kura 685 zili...

Read more » Soma zaidi »

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AIBUKA MSHINDI KATIKA KURA ZA MAONI JIMBO LA MBEYA MJINI - CCM
NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AIBUKA MSHINDI KATIKA KURA ZA MAONI JIMBO LA MBEYA MJINI - CCM

Dkt. Tulia Ackson aibuka mshindi katika kura za maoni Jimbo la Mbeya Mjini - CCM baada ya kujizolea kura 843 kati ya kura 886. Dkt. Tulia Ac...

Read more » Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA MAJI JUMAA AWESO ATETEA KITI CHAKE KIBABE KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA PANGANI
NAIBU WAZIRI WA MAJI JUMAA AWESO ATETEA KITI CHAKE KIBABE KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA PANGANI

Kutokea Tanga, Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameongoza kura za maoni katika Jimbo la Pangani. Aweso ameongoza kwa kura 282 akifuatiwa na ...

Read more » Soma zaidi »

ABDULAZIZ ABOOD AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MOROGORO MJINI
ABDULAZIZ ABOOD AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MOROGORO MJINI

AbdulAziz Abood ameshinda kura ya maoni CCM kuwania Ubunge wa Morogoro Mjini baada ya kupata kura 524 akifuatiwa na Merkiory Manset aliyepat...

Read more » Soma zaidi »

MUSSA AZZAN ZUNGU AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA ILALA
MUSSA AZZAN ZUNGU AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA ILALA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu ameongoza kura za maoni katika katika Jimbo la Ilala baada y...

Read more » Soma zaidi »

KWA USAFIRI WA UHAKIKA KARIBU FRESTER INVESTMENT CO. LTD
KWA USAFIRI WA UHAKIKA KARIBU FRESTER INVESTMENT CO. LTD

Kampuni ya mabasi FRESTER INVESMENT CO. LTD mabingwa wa usafirishaji wa abiria na mizigo, wanayo furaha kukutangazia kuwa wanafanya safari z...

Read more » Soma zaidi »

TFF, TPLB: TUTAONGEZA WAJUMBE KWENYE MICHEZO YOTE
TFF, TPLB: TUTAONGEZA WAJUMBE KWENYE MICHEZO YOTE

Hali ya hatari imetangazwa kwa wadau wa soka wenye nia ovu ya kupanga matokeo hasa katika kipindi hiki cha kuelekea ukingoni mwa msimu wa Li...

Read more » Soma zaidi »

JPM AAGIZA KURA MCHUJO WA WAGOMBEA ZIHESABIWE HADHARANI
JPM AAGIZA KURA MCHUJO WA WAGOMBEA ZIHESABIWE HADHARANI

Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameagiza wasimamizi wa uchaguzi ndani ya chama hicho kuhesabu kura ...

Read more » Soma zaidi »

MAGUFULI: SIANGALII UNDUGU KUTEUA VIONGOZI
MAGUFULI: SIANGALII UNDUGU KUTEUA VIONGOZI

Rais Dkt. John Magufuli amesema anapoteua viongozi mbalimbali hapa nchini haangalii undugu, bali utendaji wao wa kazi kwenye nafasi za awali...

Read more » Soma zaidi »

MORRISON: NAOGOPA KUPIGWA
MORRISON: NAOGOPA KUPIGWA

Kiungo mshambuliaji wa Young Africans, Bernard Morrison, ameibuka na jipya akisema kwamba, sababu kubwa ya yeye kutoenda mazoezini ni kuhofi...

Read more » Soma zaidi »

TAMKO LA JESHI LA POLISI MATUKIO YA MOTO SHULENI
TAMKO LA JESHI LA POLISI MATUKIO YA MOTO SHULENI

Jeshi la polisi nchini limesema litachukua hatua kali kwa vyuo, shule au taasisi zitakazo bainika kuiuka maelekezo ya kisheria ya kujikinga ...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: UCHAGUZI MKUU, WAGOMBEA WA CCM KINONDONI WANAJINADI MBELE YA WAJUMBE KUPIGIWA KURA ZA MAONI
LIVE: UCHAGUZI MKUU, WAGOMBEA WA CCM KINONDONI WANAJINADI MBELE YA WAJUMBE KUPIGIWA KURA ZA MAONI
Read more » Soma zaidi »

SIMBA YA FANYA 'MAUAJI'
SIMBA YA FANYA 'MAUAJI'

TIMU ya Simba jana iliishushia kipigo kikali cha mabao 5-1 Alliance,katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar ...

Read more » Soma zaidi »

FREEMAN MBOWE, MCHUNGAJI PETER MSIGWA WAJITOA MCHAKATO WA KUGOMBEA URAIS CHADEMA
FREEMAN MBOWE, MCHUNGAJI PETER MSIGWA WAJITOA MCHAKATO WA KUGOMBEA URAIS CHADEMA

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na makada wengine watatu  wamejiengua  katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa na chama hicho...

Read more » Soma zaidi »

MCHUJO MKALI WA KURA ZA MAONI KWA WAGOMBEA CCM WAANZA LEO
MCHUJO MKALI WA KURA ZA MAONI KWA WAGOMBEA CCM WAANZA LEO

Mchakato wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kupata wagombea katika nafasi mbalimbali unaanza leo ambapo mikutano ya ngazi ya wilaya/majimbo ita...

Read more » Soma zaidi »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI TANZANIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2020
TAARIFA YA JESHI LA POLISI TANZANIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2020
Read more » Soma zaidi »

LIVE: RAIS DK. JOHN P. MAGUFULI ASHUHUDIA UAPISHO WA VIONGOZI WATEULE, IKULU CHAMWINO [20-07-2020]
LIVE: RAIS DK. JOHN P. MAGUFULI ASHUHUDIA UAPISHO WA VIONGOZI WATEULE, IKULU CHAMWINO [20-07-2020]

Viongozi Wateule watakaoapishwa leo ni:- 1. Mhandisi Marwa Mwita Bubirya Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe 2.Dkt. Aloyce Nzuki, kuwa Katibu Mkuu W...

Read more » Soma zaidi »

SHULE ZATAKIWA KUWEKA MIFUMO KUZUIA MOTO
SHULE ZATAKIWA KUWEKA MIFUMO KUZUIA MOTO

SHULE zimeshauriwa kuweka mifumo thabiti ya kuzuia majanga ya moto na kuweka vifaa vya kisasa vya kuzimia moto ili kuwahakikishia usalama wa...

Read more » Soma zaidi »

BINTI KIDATO CHA KWANZA ATIWA MIMBA, POLISI LAWAMANI
BINTI KIDATO CHA KWANZA ATIWA MIMBA, POLISI LAWAMANI

Wananchi wa kijiji cha Ugala, Kata ya Ugala, wilayani Urambo wameilalamikia Polisi kwa kutomchukulia hatua mwananchi anayedaiwa kumpa ujauzi...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMATATU 20 JULAI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMATATU 20 JULAI, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top