Mti wa Mbuyu uliopo Chamwino, Dodoma ambao Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa anakaa akif...
RAIS MAGUFULI AKERWA TAKUKURU KUTAKA KUJENGA OFISI CHATO "MJIPENDEKEZE CHATO WAKATI NIMESHAONDOKA KWENYE URAIS"
Rais John Magufuli ameelezwa kukerwa na kitendo cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) kuomba feddha kiasi cha shi...
HAYA HAPA MATOKEO YA KURA ZA MAONI CCM MAJIMBO SABA YA MKOA WA MANYARA
Mchakato wa kura za Maoni Majimbo saba ya mkoa wa Manyara umeenda vizuri ambapo uchaguzi ulifanyika kwa uwazi kila mgombea akisimamia kura ...
BARAZA LA HABARI TANZANIA -MCT LAWATAKA WAANDISHI WALIOGOMBEA NAFASI ZA KISIASA KUACHA UANDISHI WA HABARI
Katibu Mtendaji wa MCT, Bw. Kajubi Mukajanga Baraza la Habari Tanzania (MCT), limesema kuwa waandishi waliojitokeza kuchukua fomu za kugombe...
RAIS MAGUFULI : MIMI SIYO MBINAFSI, ACHENI KUJENGA OFISI MBILI MBILI CHATO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameonyesha kushangazwa na kitendo cha Taasisi ya ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KUPEWA OFISI KWENYE JENGO JIPYA LA NEC- DODOMA
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini watapatiwa ofisi katika jengo jipya la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma kwa ajili...
UCHAGUZI MKUU TANZANIA KUFANYIKA JUMATANO, RAIS MAGUFULI KUITANGAZA TAREHE OKTOBA 28,2020 KUWA SIKU YA MAPUMZIKO!!
Leo Julai 22, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amezindua Jengo la ghorofa nane la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (...
HUYU NDIYO MENDE MKUBWA ZAIDI WA BAHARINI
Kombamwiko au mende huyo wa baharini alipatikana katika mlango bahari wa Sunda
HESLB YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KWA 2020-2021, BAJETI MWAKA HUU YAONGEZEKA
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Jumanne, Julai 21, 2020) imetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo kwa njia ya mta...
MAVUNDE AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA DODOMA MJINI
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde aibuka kidedea kwa kupata kura 904 katika kura za maoni za wagombea Ubunge CCM Jim...