VUNJO WAMPIGIA MAGOTI MBATIA AGOMBEE UBUNGE KWA MARA NYINGINE , WAMCHANGIA FEDHA ZA FOMU
Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi Jimbo la Vunjo kwa kauli moja wamechanga fedha kiasi cha Sh 370,000 na hatimaye kumchukuli...
MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA WAMKOSHA WAZIRI WA MADINI
Waziri wa Madini, Doto Biteko amewapongeza maafisa madini wakazi wa mikoa kwa utendaji mzuri uliopelekea kuvuka lengo la ukusanyaji wa maduh...
BUNGE LA SOMALIA LAMTIMUA WAZIRI MKUU
Bunge la Somalia limepiga kura ya kumwondoa kwenye wadhifa wake Waziri Mkuu Hassan Ali Khayre, ambaye ameendelea kusolewa kutokana na jinsi ...
MIKOKOTENI KUSAJILIWA ZAMBIA KUDHIBITI WIZI
Zambia imepanga kusajili mikokoteni yote ambayo inayotumika kwa matumizi ya kibiashara kutokana na kuwepo kwa ongezeko kubwa la vitendo vya...
TAKUKURU YANASA WAJUMBE 7 WAKITOA RUSHWA YA MILIONI 4 UWT KALAMBO
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Rukwa inawashikilia wajumbe 7 akiwemo mtia nia wa ubunge viti maalum Iren Dyamuka...
BINTI AKATWA MKONO KWA MADAI YA KUMKATAA ALIYEMPOSA UGANDA
Binti wa miaka 16 nchini Uganda amekatwa mkono baada ya kukataa kuolewa,tukio hilo linadaiwa kutekelezwa na mwanaume ambaye amemkataa. P...
TFF KUMPELEKA EYMAEL FIFA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeungana na Uongozi wa Young Africans kwa kulaani kitendo kilichofanywa na kocha Luc Eymael baada ya sau...
LUC EYMAEL ATIMULIWA YOUNG AFRICANS
Uongozi wa klabu ya Young Africans umetangaza kumtimua kocha wake Luc Eymael baada ya sauti yake yenye ujumbe wa ubaguzi kusambaa katika mit...
AZAM FC WAFUNGUKA MIPANGO YA USAJILI KIMATAIFA
Katika kuhakikisha msimu mpya 2020/21 ambao utaanza rasmi mwezi Septemba, wanafanya vizuri na kufikia malengo ya kuwa mabingwa, Azam FC wame...
"MKAPA ALIKATAA KUITWA MTUKUFU" - DKT KIJO BISIMBA
Dkt Hellen Kijo Bisimba Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt Hellen Kijo Bisimba, amesema ...
AUAWA KWA KUKATWA NA KITU CHENYE NCHA KALI SHINGONI MKOANI MANYARA
Mkulima wa kata ya Kisangaji wilayani Babati mkoani Manyara ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni na mtu ambaye bado hajajul...
SABABU YA KIFO CHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA YATAJWA
Watanzania wameelezwa kwamba sababu za kifo cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa ni mshutuko wa moyo ambao aliupata alipokuwa anasikiliza taarifa...
MGOMBEA UDIWANI CCM ADONDOSHA KIBUYU CHENYE DAWA, "NIACHENI NIINGIE NA KIBUYU CHANGU HAYA NI MAISHA TU NDUGU ZANGU...."
Mfano wa Kibuyu Katika hali isiyokuwa ya kawaida mgombea udiwani katika Kata ya Sungwizi Tarafa ya Simbo wilayani Igunga mkoani Tabora, Kata...
TUNDU LISSU KUTUA TANZANIA, KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa Julai 27,2020 Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu atarejea nyumbani nchi...