Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Chama cha Watu wenye Ulemavu Mkoa wa Dodoma (CHAWATA) Kimesema kuwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya ...
MATUMIZI YA TEKNOLOJIA ZA KISAYANSI KUPUNGUZA GHARAMA YA SENSA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
Na Imani Anyigulile - Mbeya Matumizi teknolojia mpya za kisayansi yanatarajiwa kupunguza gharama ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi kutoka ...
"WAJUMBE NDIYO WAKATA UMEME" - JIKE SHUPA
Video Vixen na mwanamitandao Zena Haji "Jike Shupa" amesema anagombea Udiwani Kwa Mpangale iliyopo Buza Wilaya ya Temeke kupitia C...
MKAPA NI BABA WA DEMOKRASIA MAGUFULI ASIMULIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli amemuelezea rais wa Tanzania wa awamu ya tatu hayati Benjamin William Mkapa kama b...
RAIS MAGUFULI ATOA MACHOZI 'MSINISHANGAE'
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, leo akihutubia Taifa wakati wa shughuli za mwisho za kuaga mwili wa Rais Mstaafu ...
MTANDAO WA JINSIA TANZANIA 'TGNP' WAMLILIA RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA ..."ALIWEKA MISINGI YA USAWA WA KIJINSIA'
Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao Lilian Liundi Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeungana na Watanzania wote Kuomboleza kifo cha Rais Ms...
RAIS MAGUFULI ATANGAZA UWANJA WA TAIFA UTAITWA UWANJA WA MKAPA
Rais Dkt.John Pombe Magufuli ametangaza kubadilisha jina la Uwanja wa Taifa na kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium kama sehemu moja wapo y...
ZAHERA AMSHUKIA LUC, ASEMA HAFAI
Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Yanga SC Mwinyi Zahera ameonyesha kusikitishwa na kauli za kocha mkuu wa klabu hiyo Luc Eymael juu ya Shirikish...
VIONGOZI WA DINI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI KUPIGA VITA UKATILI WA KINGONO KWA WATOTO HALMASHAURI YA BUCHOSA
Viongozi wa TIP na Waandishi wa habari Imeelezwa kuwa viongozi wa dini wana nafasi kubwa ya ushawishi kwa jamii kufahamu haki za mtoto na pa...