Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA), Adam Fimbo amebainisha kuwa mwaka wa fedha 2019/2020 mamlaka imeondoa kondomu 17,0...
POLISI WALIVYOZUIA NDOA YA MWANAFUNZI KATAVI
Jeshi la polisi mkoa wa katavi limewakamata watuhumiwa 15 wakiwemo wazazi wawili kwa kumwozesha mwananfunzi wa darasa la tano anayesoma shul...
WATANZANIA WATAKIWA KUEPUKA HABARI ZA UZUSHI
Watanzania wametakiwa kulisemea mambo mazuri Taifa lao ili kuwa na kidiplomasia nzuri na Mataifa mengine hususani wakati huu ambapo Taifa li...
RAIS MAGUFULI: MKAPA ALIKATAA KUZIKWA DODOMA
Rais John Magufuli amesema rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa alipenda nyumbani kwao Masasi ndiyo maana alikataa kuzikwa katika ...
MWIJAKU AFIKISHWA MAHAKAMANI AKITUHUMIWA KUSAMBAZA PICHA ZA NGONO
Msanii wa uigizaji nchini Tanzania, Mwemba Burton (35) maarufu Mwijaku amepandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es ...
KATIBU MKUU KILIMO KUSAYA AIPONGEZA TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya ameipongeza Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa kuendelea kuimarisha na kuendeleza...
WILAYA BUKOBA YAPUNGUKIWA MADARASA 1,297 YA SHULE ZA MSINGI
Vyumba vya madarasa 1,297 vinahitajika kwenye shule za msingi kwa Halmashauri ya wilaya Bukoba mkoani kagera ili kufikia mahitaji ya vyumba...
MALAYSIA: WAZIRI MKUU MSTAAFU AHUKUMIWA MIAKA 12 JELA KWA UFISADI
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak amekutwa na hatia katika mashtaka yote saba ya ufisadi yaliyokuwa yakimkabili, na kuhukumiwa ...
TANESCO YAKUTANA NA WACHIMBAJI MADINI, WAMILIKI MASHINE KUTOA ELIMU YA USALAMA NA MATUMIZI BORA YA UMEME
Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu Mwakitolyo, pamoja na wamiliki wa mashine za kusaga na kukoboa nafaka Salawe na Solwa, wilayani Shiny...
HII HAPA RATIBA YA MAZISHI YA,RAIS MSTAAFU HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA LEO JUMATANO JULAI 29, 2020 KIJIJINI LUPASO MASASI
Ratiba ya Mazishi ya Hayati Benjamin William Mkapa,Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Leo Siku ya Jumatano Tarehe 29 Julai 2020 Kijijini Lupaso M...
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAONGOZA MAZISHI YA BENJAMIN MKAPA, LUPASO, MASASI - 29/07/2020
Fuatilia mbashara mazishi ya marehemu Benjamin Mkapa (Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania) yanayofanyika kijijini kwake Lupaso, katika Wi...