} });
 
SIMBA YATWAA TAJI LA TATU LA MSIMU IKIITWANGA NAMUNGO FC 2-1
SIMBA YATWAA TAJI LA TATU LA MSIMU IKIITWANGA NAMUNGO FC 2-1

KLABU ya Simba imehitimisha msimu wake mzuri baada ya kutwaa taji la tatu kufuatia kuichapa Namungo FC mabao 2-1 katika fainali ya Kombe la ...

Read more » Soma zaidi »

MGOMBEA URAIS ACT WAZALENDO KUJULIKANA AGOSTI 5
MGOMBEA URAIS ACT WAZALENDO KUJULIKANA AGOSTI 5

Chama cha ACT -Wazalendo kimepanga kutangaza wagombea wake wa Urais watakaopeperusha bendera zake Tanzania bara na Zanzibar, Agosti 5 mwaka ...

Read more » Soma zaidi »

UCHAGUZI MKUU KUGHARIMU SHILINGI BILIONI 331
UCHAGUZI MKUU KUGHARIMU SHILINGI BILIONI 331

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kutumia shilingi bilioni 331.7 kukamilisha uchaguzi mkuu utakofanyika Oktoba 28, 2020, ambapo fed...

Read more » Soma zaidi »

SHIRIKA LA WHO LAONYA KUWA JANGA LA CORONA LITACHUKUA MUDA MREFU
SHIRIKA LA WHO LAONYA KUWA JANGA LA CORONA LITACHUKUA MUDA MREFU

Shirika la afya duniani WHO limeonya jana kuwa janga la virusi vya corona litadumu kwa muda mrefu na huenda likasababisha ''kulemewa...

Read more » Soma zaidi »

PROFESA PARAMAGAMBA AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA MASHARIKI
PROFESA PARAMAGAMBA AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA MASHARIKI

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Paramagamba Kabudi apongeza kazi kubwa inayofanywa na Chuo kikuu cha So...

Read more » Soma zaidi »

MAMENEJA WAWILI WA TANROADS WATUMBULIWA NA KUTEULIWA WENGINE
MAMENEJA WAWILI WA TANROADS WATUMBULIWA NA KUTEULIWA WENGINE

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewasimamisha kazi mameneja wa wakala wa barabara nchini, (Tanroads) kat...

Read more » Soma zaidi »

MILIONI 681 ZATENGWA KUKARABATI NA KUJENGA MINADA YA MIFUGO NCHINI
MILIONI 681 ZATENGWA KUKARABATI NA KUJENGA MINADA YA MIFUGO NCHINI

Serikali katika bajeti ya mwaka 2020/ 2021 imetenga Shilingi Milioni 681 kwa ajili ya kukarabati na kujenga minada ya mifugo nchini. Hayo ya...

Read more » Soma zaidi »

TAKUKURU YAOKOA SH. 170 MILIONI ZILIZOPIGWA NA ‘WAJANJA’ – RUKWA
TAKUKURU YAOKOA SH. 170 MILIONI ZILIZOPIGWA NA ‘WAJANJA’ – RUKWA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Rukwa imeokoa Sh. 170 Milioni zilizokuwa zimeibwa na watu wasio waaminifu kupitia...

Read more » Soma zaidi »

GAVANA KENYA APINGA RIPOTI YA WIZARA, ADAI HAKUNA COVID-19 KWAKE
GAVANA KENYA APINGA RIPOTI YA WIZARA, ADAI HAKUNA COVID-19 KWAKE

Gavana wa Kaunti ya Samburu nchini Kenya, Moses Lenolkulal ametofautiana na ripoti ya Wizara ya Afya iliyotolewa jana ikileza kuwa kuna visa...

Read more » Soma zaidi »

KENYA YANYOOSHA MAELEZO KUHUSU WATANZANIA KUINGIA KWAO
KENYA YANYOOSHA MAELEZO KUHUSU WATANZANIA KUINGIA KWAO

Serikali ya Kenya imesema kuwa wasafiri watakaoingia nchini humo kutoka Tanzania hawatarudishwa kwani nchi hizo zimeshaweka sawa sintofahamu...

Read more » Soma zaidi »

MTOTO MDUKUZI SUGU WA TWITTER ASHIKISHWA ADABU, ALIMDUKUA OBAMA, BILL GATES
MTOTO MDUKUZI SUGU WA TWITTER ASHIKISHWA ADABU, ALIMDUKUA OBAMA, BILL GATES

Vyombo vya usalama katika Jimbo la Florida nchini Marekani, vimemkamata Graham Ivan Clark, kijana mwenye umri wa miaka 17, anayetuhumiwa kud...

Read more » Soma zaidi »

ACT WAZALENDO WAANZA MCHAKATO KUWAPATA WAGOMBEA URAIS, UBUNGE, MADIWANI
ACT WAZALENDO WAANZA MCHAKATO KUWAPATA WAGOMBEA URAIS, UBUNGE, MADIWANI

Chama cha ACT Wazalendo kimeanza maandalizi ya Mkutano Mkuu wa kupitisha wagombea wa ngazi mbalimbali kwa ajili ya kinyang’anyiro cha Uchagu...

Read more » Soma zaidi »

ASIA YAHAYA KALLAGHE ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE VITI MAALUM UVCCM TANGA
ASIA YAHAYA KALLAGHE ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE VITI MAALUM UVCCM TANGA

Asia Yahaya Kallaghe amekuwa mshindi wa kwanza wa uchaguzi wa kura za maoni kuwania Nafasi ya Ubunge Viti Maalum Mkoa wa Tanga kupitia kundi...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI BITEKO:ACHENI VITENDO VYA UTOROSHAJI WA MADINI
WAZIRI BITEKO:ACHENI VITENDO VYA UTOROSHAJI WA MADINI

Waziri wa madini Doto Biteko amewataka wafanyabiashara ,wauzaji na wanunuzi wa madini Tanzania ,kufuata sheria na maelekezo mbalimbali ya se...

Read more » Soma zaidi »

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI ASITISHA MKATABA WA MKANDARASI NYAMTUKUZA GEITA
KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI ASITISHA MKATABA WA MKANDARASI NYAMTUKUZA GEITA

KATIBU Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga amesitisha mkataba na Mkandarasi Kampuni ya PET Cooperation Ltd na Al Baruwani Investment...

Read more » Soma zaidi »

IDADI YA WATOTO WANAONYONYESHWA MAZIWA YA MAMA PEKEE BAADA YA KUZALIWA NCHINI NI ASILIMIA 58
IDADI YA WATOTO WANAONYONYESHWA MAZIWA YA MAMA PEKEE BAADA YA KUZALIWA NCHINI NI ASILIMIA 58

TAKWIMU za hali ya ulishaji watoto nchini zinaonyesha idadi ya watoto wanaonyonyeshwa maziwa ya mama pekee nchini bila kupewa maji, vinywaji...

Read more » Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AHIMIZA MATUMIZI YA STAKABADHI ZA GHALA
MAKAMU WA RAIS AHIMIZA MATUMIZI YA STAKABADHI ZA GHALA

Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa wakulima wa mazao mbalimbali nchini kuongeza matumizi ya Mfumo wa Ushirika kwa kut...

Read more » Soma zaidi »
 
Top