} });
 
LEBANON: YAANZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU
LEBANON: YAANZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU

Lebanon imeanza leo maombolezo ya kitaifa ya siku tatu baada ya mlipuko mkubwa kutokea katika bandari ya Beirut siku ya Jumanne na kuua takr...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI “NASHUKURU WAMEANZA KUNIPIGIA KAMPENI”
RAIS MAGUFULI “NASHUKURU WAMEANZA KUNIPIGIA KAMPENI”

Mwenyekiti wa chama cha CCM Rais John Magufuli, amewashukuru wapinzani kwa kuanza kumpigia kampeni mapema, kutokana na baadhi ya kauli zao k...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI “TUMEJENGA UKUTA KUDHIBITI MADINI”
RAIS MAGUFULI “TUMEJENGA UKUTA KUDHIBITI MADINI”

Mwenyeki wa Chama cha Mapinduzi Rais John Magufuli amesema ujenzi wa ukuta katika machimbo ya Mererani umesaidia madini ya Tanzanite kutotor...

Read more » Soma zaidi »

WATALII WAENDELEA KUMIMINIKA TANZANIA, NDEGE KUBWA ZATUA NA MAMIA
WATALII WAENDELEA KUMIMINIKA TANZANIA, NDEGE KUBWA ZATUA NA MAMIA

Sekta ya utalii nchini imeendelea kufunguka kwa kasi ambapo ndege kubwa za kimataifa zimeingia nchini zikiwa na watalii wengi.   Hivi ka...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YAHIMIZA MABENKI KUTOA MIKOPO MIRADI MIKUBWA YA MADINI
SERIKALI YAHIMIZA MABENKI KUTOA MIKOPO MIRADI MIKUBWA YA MADINI

Serikali imezitaka benki na taasisi nyingine za fedha kukopesha miradi mikubwa ya uchimbaji wa madini nchini ili kukuza sekta hiyo ambayo im...

Read more » Soma zaidi »

TANZANIA YASAINI MKATABA WA MAPITIO WA GEORGETOWN WA JUMUIYA YA NCHI ZA AFRIKA, CARIBBEAN NA PACIFIC
TANZANIA YASAINI MKATABA WA MAPITIO WA GEORGETOWN WA JUMUIYA YA NCHI ZA AFRIKA, CARIBBEAN NA PACIFIC

Tanzania imesaini Mkataba wa mapitio wa Georgetown unaosimamia  mahusiano na uendeshaji wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Caribiani na Pasifiki ...

Read more » Soma zaidi »

TANZANIA YACHAGULIWA KUWA RAIS WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA NCHI ZA AFRIKA, CARRIBEAN NA PACIFIC
TANZANIA YACHAGULIWA KUWA RAIS WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA NCHI ZA AFRIKA, CARRIBEAN NA PACIFIC
Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI APENDEKEZA KAMPENI ZA CCM ZIZINDULIWE DODOMA
RAIS MAGUFULI APENDEKEZA KAMPENI ZA CCM ZIZINDULIWE DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais John Pombe Magufuli, amependekeza kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 ...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YAUNDA KIKOSI MAALUMU KUKABILIANA NA FISI TISHIO MJINI SHINYANGA
SERIKALI YAUNDA KIKOSI MAALUMU KUKABILIANA NA FISI TISHIO MJINI SHINYANGA

Kutokana na kukithiri kwa matukio ya Fisi kushambulia wakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga hususan watoto wadogo, serikali imeunda...

Read more » Soma zaidi »

BENKI YA CRDB YACHANGIA MIFUKO YA SARUJI KUSAIDIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI TINDE
BENKI YA CRDB YACHANGIA MIFUKO YA SARUJI KUSAIDIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI TINDE

Kushoto ni Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tinde, Agnes Mnyipembe wakikabidhi mi...

Read more » Soma zaidi »

WANANCHI MSALALA WATAKIWA KUTUMIA WAKANDARASI WANAOTAMBULIKA TANESCO
WANANCHI MSALALA WATAKIWA KUTUMIA WAKANDARASI WANAOTAMBULIKA TANESCO

Mhandisi Mkuu idara ya uatafiti Tanesco makao makuu,Aurea Bigirwamungu mwenye T-Shirt ya Mistari na Monica Masawe kutoka Shirika hilo wakims...

Read more » Soma zaidi »

PICHA: MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM DK.JOHN MAGUFULI ALIVYOWASILI KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS
PICHA: MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM DK.JOHN MAGUFULI ALIVYOWASILI KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli alivyowasili kuchukua fomu za kugombea Urais katika makao Makuu ya NEC-Dodoma.

Read more » Soma zaidi »

MAAFISA WA BANDARI YA BEIRUT WAWEKWA KIFUNGO CHA NYUMBANI WAKISUBIRI UCHUNGUZI; IDADI YA VIFO YAFIKIA 135
MAAFISA WA BANDARI YA BEIRUT WAWEKWA KIFUNGO CHA NYUMBANI WAKISUBIRI UCHUNGUZI; IDADI YA VIFO YAFIKIA 135

Baadhi ya maafisa wa mji wa Beirut wamewekwa katika kifungo cha nyumbani huku wakisubiri uchunguzi kuhusu mlipuko mkubwa wa siku ya Jumanne ...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 06 AGOSTI, 2020
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 06 AGOSTI, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top