Aliyewahi kuwania nafasi ya Uenyekiti Taifa kupitia Chama cha ACT Wazalendo Yeremia Kulwa Maganja, leo amepitishwa na wajumbe wa Mkutano M...
WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA SGR DAR-RUVU, ASEMA AMERIDHISHWA NA KASI NA VIWANGO VYA MRADI HUO
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo (Ijumaa, Agosti 7, 2020) amekagua ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) na amesema kwamba ameridhishwa ...
PROF. LUOGA: UIMARA WA SEKTA YA FEDHA UNAONGEZA HUDUMA JUMUISHI ZA KIFEDHA
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, amesema kuwa Wizara ya Fedha na Mipango imejielekeza katika kuikwamua Sekta ya ...
JENGO LA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA SHINYANGA LAZINDULIWA
Jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, ambalo lilijengwa mwaka 2006 na kukamilika mwaka 2015 kwa gharama ya Shilingi bilioni ...
MGAYWA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS TANZANIA KUPITIA CHAMA CHA SAU AKIWA PEKU NA WENZAKE
Mgombe Urais kupitia chama cha Sauti ya Umma (SAU), Muttamwega Mgaywa, ametaja sababu iliyopelekea kwenda kuchukua fomu ya kugombea nafasi...
DC JOKETI ATOA FURSA KWA VIJANA 150
Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Joketi Mwegelo ambaye pia ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama amewataka vijana vijana wanaopatiwa mafunzo ya mga...
LEBANON: WAANDAMANA KUTAKA VIONGOZI WAJIUZULU
Lebanon wananchi wameandamana kuishinikiza viongozi wajiuzulu kutokana na mlipuko uliotokea katika bandari ya Beirut na kusababisha vifo v...
UMMY MWALIMU AHIMIZA UNYWAJI MAZIWA SHULENI
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amezitaka shule zote msingi na sekondari nchini kuanzia Septemba Mo...
MAKATIBU WA SADC WAKUTANA KUBORESHA RASIMU ZA NYARAKA NA KIMKAKATI
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ngazi ya Makatibu Wakuu wamekutana na kujadili rasimu ya mpango mkakati elekezi mpya wa maen...
MLIPUKO LEBANON: WAFANYAKAZI 16 WAKAMATWA
Wafanyakazi 16 wa bandari iliyopata mripuko katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut uliopo katika pwani ya bahari ya Mediterania wamekamatwa, z...
MSUMBIJI YAKANA KUHUSIKA MRIPUKO WA LEBANON
Mamlaka ya bandari nchini Msumbiji imekanusha madai kwamba meli yake ilikuwa imebeba vifaa vilivyo sababisha mlipuko wa Beirut nchini Leba...
“KUMEKUCHA” MEMBE ACHUKUA FOMU YA URAIS
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Serikali ya awamu ya nne Bernard Membe, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kiti cha urais wa Tanzania k...
TVMC YAKUTANA NA VIONGOZI WA MTAKUWWA, WAJUMBE WATAKIWA KUWA WABUNIFU ZAIDI KUPATA TAARIFA MATUKIO UKATILI WA KIJINSIA
Mkurugenzi Mtendaji Shirika la TVMC,Musa Jonas Ngangala Wajumbe wa Kamati za Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Wato...
VYAMA VIWILI VYA UPINZANI NCHINI UGANDA VYAGOMBANIA RANGI NYEKUNDU
Vyama viwili vya upinzani nchini Uganda vimeingia katika mzozo juu ya haki ya kutumia rangi nyekundu huku kila chama kikidai kuwa kina hak...
ALIYEUA MTOTO WAKE KWA KUMTENGANISHA NA PANGA AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Melchedes Burchard (30) mkazi wa Kiluluma mkoani Kagera kwa kukutwa na hati...
WANANCHI KAGERA WATAKIWA KUWA NA UTAMADUNI WA KUNYWA KAHAWA WANAYOZALISHA ILI KUIMARISHA AFYA ZAO
Wamiliki wa viwanda vya kahawa Mkoani Kagera wametakiwa kutafuta soko la ndani la zao hilo ili kuwajengea wananchi kutumia kahawa wanayo...
KINABABA WANAONYONYA MAZIWA YA WAKE ZAO CHANZO UTAPIAMLO KWA WATOTO
Tabia ya baadhi ya wanaume kunyonya maziwa ya wake zao wenye watoto wachanga nyakati za usiku warudipo nyumbani kwa madai kuwa wanakata ul...
MTINDO BORA WA MAISHA NI KINGA DHIDI SARATANI
Mhudumu kutoka hospital ocean road akimhudumia mteja katika maonyesho ya nane nane Nyakabindi mkoani Simiyu Taasisi ya saratani ya ocean roa...
WIZARA YA MAJI YATEKELEZA AHADI YA RAIS MAGUFULI MBALIZI
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya UWASA) kwa kutekeleza ...
WAUGUZI NCHI WATAKIWA KUJIFUNZA VITU VIPYA ILI KUONGEZA VIWANGO VYAO KUTEKELEZA MAJUKUMU
Wauguzi nchini wametakiwa kujiendeleza ikiwemo kujifunza vitu vipya ili kuweza kwenda na wakati katika kuongeza viwango vyao vya utekeleza...