Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kukabidhi rasmi kijiti cha uenyekiti wa Jumuiya ya maendeleo k...
KENYATTA AWAPA MAWAZIRI NA MAKATIBU MAPUMZIKO YA LAZIMA
Rais Uhuru Kenyatta amewataka mawaziri wote pamoja na makatibu katika wizara kuchukua likizo ya mapumziko ya lazima huku kukiwa na taarifa...
SERIKALI YA GUINEA IKWETA YAJIUZULI
Serikali ya Guinea ya Ikweta imetangaza kujiuzulu wakati mgogoro wa kiuchumi unaoendelea ambapo Rais Teodoro Obiang Nguema wa nchi hiyo am...
UJENZI SGR WAKAMILIKA 87%
Ujenzi wa Reli ya kisasa SGR kwa kipande cha kwanza kati ya Dar es Salaam hadi Morogoro chenye kilomita 300 umefikia asilimia 87 huku sh t...
MENEJA AFUNGUKA KUMPELEKA RICH MAVOKO KWA MGANGA
Aliyekuwa Meneja wa msanii Rich Mavoko, Meneja Maneno amesema waliwahi kwenda kwa mganga wa kienyeji na msanii huyo kwa ajili ya kutumia m...
SERIKALI YAJA NA MAJIBU KUHUSU UZALISHAJI WA VIATU
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina mapema leo amekitembelea kiwanda cha Gereza Kuu la Karanga ambacho kinatarajiwa kuanza kuzalisha vi...
TANZANIA YANEEMEKA SARUJI KUPATA SOKO NJE
Tanzania imepata neema kubwa ya soko la saruji kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na zile za Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Af...
TCRA YAKIFUNGIA KIPINDI CHA JAHAZI CHA CLOUDS FM, YATOA ONYO RADIO FREE AFRICA,RADIO ONE, WASAFI
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati ya Maudhui imekifungia kipindi cha Jahazi kinachorushwa na Clouds FM kuanzia tarehe ...
MPINA AWATAKA WAVUVI KATIKA BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KUUKATAA UVUVI HARAMU
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Luhaga Mpina, amewataka wananchi wanaofanya shughuli za uvuvi katika Bwawa la nyumba ya Mungu Wilayani mwang...
PROF.OLE GABRIEL : BODI YA NYAMA IANDAE MPANGO WA KUUZA KUKU KWA MZANI
Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza wakati wa kikao cha kupokea taarifa ya shughuli za maendeleo ...
WAZIRI AWAOMBA RADHI WANANCHI, KUCHELEWA KWA MRADI
Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso amewaomba radhi wakazi wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita baada ya mradi wa maji wa Nyamtukuza unaojen...
HALIMA MDEE KUJITETEA MAHAKAMANI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Septemba 7, 2020 itasikiliza utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili aliyekuwa Mbunge...
EBITOKE AMKATAA KAKA YAKE KISA MWANAUME
Mchekeshaji na msanii wa BongoFleva Ebitoke, amemkana kaka yake Kitenge Comedian ambaye alimpambania wakati Ebitoke alipogombana na Yusuph...
HAYA NDIO MAFANIKIO YA SERIKALI YA MAGUFULI
Msemaji Mkuu wa serikali Dkt Hassan Abbasi amesema kuwa serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa rais Dkt John Pombe Magufuli imefani...
DAWA YA MADAGASCAR YASHINDWA KUDHIBITI CORONA
HOSPITALI nchini Madagascar zimekuwa zikikabiliana na ongezeko la maambukizi ya Covid-19 , huku rais akiendelea kunadi dawa ya mitishamba...
R. KELLY AZIDI KUANDAMWA NA MAJANGA
WATU watatu wamekamatwa na kushitakiwa kutokana na kuhusika kujaribu kuwapa rushwa na kuwatishia maisha wanawake ambao walimshitaki R. K...
WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA KWA MAUAJI
WATU wawili wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mtu mmoja katika eneo la Kitendaguro katika Manisp...