} });
 
NJOMBE: BWENI LA WASICHANA LANUSURIKA KUUNGUA MOTO
NJOMBE: BWENI LA WASICHANA LANUSURIKA KUUNGUA MOTO

  Bweni moja la wasichana wa shule ya Sekondari Maguvani halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani NJOMBE limenusurika kuungua moto usiku wa ta...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWASILISHA FEDHA ZA MICHANGO ILIYOTOLEWA KATIKA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA MSIKITI WA CHAMWINO, DODOMA
RAIS MAGUFULI AWASILISHA FEDHA ZA MICHANGO ILIYOTOLEWA KATIKA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA MSIKITI WA CHAMWINO, DODOMA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amewasilisha fedha za michango iliyotolewa katika harambee ya k...

Read more » Soma zaidi »

WAMILIKI WA NDEGE NDOGO ZISIZO NA RUBANI (DRONES) WAAGIZWA KUZISAJILI TCAA
WAMILIKI WA NDEGE NDOGO ZISIZO NA RUBANI (DRONES) WAAGIZWA KUZISAJILI TCAA

  Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewaagiza wamiliki wa ndege ndogo zisizo na rubani (drones) kuhakikisha ndege hizo zimesajiliw...

Read more » Soma zaidi »

WAFANYABIASHARA MANYARA TUMIENI FURSA YA MICHEZO KUTANGAZA BIASHARA ZENU
WAFANYABIASHARA MANYARA TUMIENI FURSA YA MICHEZO KUTANGAZA BIASHARA ZENU

  Wafanyabishara mkoani Manyara wametakiwa kutumia fursa ya michezo katika kuutangaza mkoa wa Manyara na  biashara zao. Hayo yameelezwa na M...

Read more » Soma zaidi »

KEMBAKI AWAOMBA WANACCM KUUNGANA PAMOJA KULIKOMBOA JIMBO LA TARIME MJINI
KEMBAKI AWAOMBA WANACCM KUUNGANA PAMOJA KULIKOMBOA JIMBO LA TARIME MJINI

Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Michael Kembaki amesema kuwa atahakikisha anapata ushindi wa kishindo ...

Read more » Soma zaidi »

OJADACT YASHTUKA WANASIASA KULAUMU VYOMBO VYA HABARI TANZANIA
OJADACT YASHTUKA WANASIASA KULAUMU VYOMBO VYA HABARI TANZANIA

Read more » Soma zaidi »

CUF YATANGAZA WAGOMEA UBUNGE 136
CUF YATANGAZA WAGOMEA UBUNGE 136

  Chama Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimetoa orodha ya wagombea ubunge katika majimbo 136 kati ya 264 wa chama hicho katika Uchaguzi ...

Read more » Soma zaidi »

WAJAWAZITO KUENDELEA NA MASOMO ZIMBABWE
WAJAWAZITO KUENDELEA NA MASOMO ZIMBABWE

  Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa leo augost 24,2020 amesaini sheria inayozuia wanafunzi wa kike nchini humo kukatishwa masomo pindi wan...

Read more » Soma zaidi »

HUKUMU ALIYEFANYA MAUAJI MSIKITINI KUTOLEWA WIKI HII
HUKUMU ALIYEFANYA MAUAJI MSIKITINI KUTOLEWA WIKI HII

  Kesi ya mtuhumiwa wa kigaidi Brenton Tarrant, aliyewauwa watu 51 na kujeruhi wengine 49 katika shambulizi  la silaha kwenye misikiti miwil...

Read more » Soma zaidi »

MBARONI KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA
MBARONI KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA

  Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la polisi Kinyasini mkoa wa Kaskazin Unguja kwa tuhuma za kujihusisha na dawa za kulevya na bangi zenye...

Read more » Soma zaidi »

ASKARI POLISI MBARONI KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA MINNE – KENYA
ASKARI POLISI MBARONI KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA MINNE – KENYA

  Jeshi la polisi nchini Kenya linamshikilia askari wa jeshi hilo kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne katika kiji...

Read more » Soma zaidi »

WAHAMIAJI HARAMU 51 WAKAMATWA PWANI
WAHAMIAJI HARAMU 51 WAKAMATWA PWANI

  Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia wahamiaji haramu (Wanaume) ,kutoka nchini Ethiopia wapatao 51 kwa kosa la kuingia nchini bila ...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO 24 AGOSTI, 2020
MAGAZETI YA LEO 24 AGOSTI, 2020

Read more » Soma zaidi »
 
Top