Serikali ya Rwanda imetoa hati ya kimataifa ya kumkamata aliyekuwa mpelelezi wa nchi hiyo, Aloys Ntiwiragabo kwa tuhuma za kuhusika na mau...
VIDEO: NEC YAFAFANUA TAARIFA ZA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI KUPITA BILA KUPINGWA
Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) leo Agosti 26, imezungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo uchaguzi, ambapo kubwa zaidi ...
ASLAY AFUNGUKA KUHUSU KUZUSHIWA KIFO
Msanii wa Bongfleva Aslay Isihaka amenyoosha maelezo kwa kutaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, kuvichukulia hatua baadhi ya vyombo ...
WANAOTAKA KUJIUNGA VYUO WATAHADHARISHWA
Katibu Mtendaji wa TCU Prof. Charles Kihampa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imewatahadharisha wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na wa...
ACT WAZALENDO KUWEKA PINGAMIZI LA WAGOMBEA NEC
Meneja wa ACT Wazalendo Emmanuel Lazaro akizungumza na waandishi wa habari Chama Cha ACT Wazalendo kimesema tayari kimeweka mapingamizi kwa ...
WAZIRI HAMISI KIGWANGALLA NA SOMO LA MAPENZI 101
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangalla ametoa somo kuhusiana na suala zima la mahusiano kwa kusema kama ulimpenda mtu na aka...
"SOTE TUHAKIKISHE TUNAHUBIRI AMANI" - DKT MWINYI
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt Hussein Mwinyi leo amechukua fomu ya uteuzi kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzi...
KESI YA TUNDU LISSU YAAHIRISHWA, SABABU YATAJWA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CHADEMA), Tundu Lissu ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu a...
‘MAHAKAMA YA MAFISADI’ IMEWAHUKUMU KITILYA NA WENZAKE KULIPA BILIONI 1.5
Mahakama Kuu Kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ‘Mahakama ya Mafisadi’ imewahukumu aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tan...
MAJALIWA APITA BILA KUPINGWA JIMBO LA RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Agosti 25, 2020 ametangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya W...
NEC YAMTEUA TUNDU LISSU KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA KUPITIA CHADEMA
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Tundu Lisuu kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema na mgombea mwenza, Salum Mwalimu kati...