RAIS MUSEVENI ATANGAZA SIKU YA KITAIFA YA MAOMBI KUHUSU CORONA
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya Covid-19 itakayofanyika jumamosi Agosti 29, 2020. Amesema...
ALIYEKUWA RAIS WA MALI IBRAHIM BOUBACAR KEITA AACHILIWA HURU NA WANAJESHI WALIOASI
Aliye kuwa rais wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita, aliyekamatwa Agosti 18 na kundi la wanajeshi lililofanya mapinduzi, ameachiliwa huru jana...
WAZIRI MKUU KUJIUZULU KUTOKANA NA SABABU ZA KIAFYA – JAPAN
Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe (65), anatarajia kutangaza nia yake ya kujiuzulu leo Ijumaa Agosti 28, kutokana na matatizo ya kiafya. ...
KALEMANI: UFARANSA, NORWAY MMETUWEZESHA KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME
Serikali ya Tanzania imezishukuru nchi za Ufaransa na Norway kwa mchango wao mkubwa walioutoa na wanaoendelea kuutoa katika kuwezesha utekel...
TUNDU LISSU AFUATA GARI LAKE POLISI LILILOSHAMBULIWA SEPTERMBER 7, 2017
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ametembelea Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuchukua gar...
MTU WA KWANZA DUNIANI KUFIKISHA UTAJIRI WA DOLA BILIONI 200
Kwa mujibu wa jarida ya Forbes Mkurugenzi wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos anakuwa mtu kwa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola Bilio...