Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeelezea kupokea kwa mshtuko taarifa za ajali mbaya ya gari iliyowahusisha wasanii Belle 9, Luludiva na Bonge...
ALIEKUWA RAIS WA MALI APELEKWA NJE YA NCHI KWA MATIBABU
Rais aliyepinduliwa nchini Mali, Ibrahim Boubacar Keita, amesafirishwa kupelekwa Umoja wa Falme za Kiarabu kwa ajili ya matibabu. Mwanadip...
ACHOMA NYUMBA YAKE KISA NZI
Leo Septermber 7, 2020 Mzee mmoja mwenye umri miaka 80 katika Kijiji cha Parcoul-Chenaud huko Dordogne Kusini mwa Ufaransa ametekeza sehe...
INDIA YAIPIKU BRAZIL KWA CORONA YAWA YA PILI
Leo September 7, 2020 Wizara ya Afya nchini India imetangaza ongezeko la visa vipya 90,802, idadi hiyo inaifanya India kurekodi jumla ya ...
SAED KUBENEA ATIWA MBARONI, KUFIKISHWA MAHAKAMANI MUDA WOWOTE
Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata Saed Kubenea akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa T...
DC AWATULIZA WANANCHI BAADA YA SUNGUSUNGU KUZUA TAHARUKI NA KUPORA WATU FEDHA
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Mh. Carolius Misungwi ameagiza kusimamishwa kwa shughuli za Sungusungu katika kata ya Mfinga iliyopo bo...
E.F.A WAANZA MSAKO WA MATAJI
Uchunguzi umeanzishwa na Shirikisho la soka nchini Misri (EFA) baada ya kubaini kuwa vikombe kadhaa vimepotea kutoka makao makuu yake mjin...
AZAM FC WAITAMBIA POLISI TANZANIA, MALALE AJIBU
Benchi la ufundi la Azam FC limejinadi kukamilisha kazi ya kukiandaa kikosi cha klabu hiyo, tayari kwa mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzan...
MAGUFULI: “WANAOJITOKEZATOKEZA WATAISOMA NAMBA”
Mgombea nafasi ya urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli amewashukuru watanzania kwa kujitokeza kwa wingi katik...
WAANDAMANA UCHAGUZI KUCHELEWESHWA
Polisi mjini Hong Kong imesema kuwa takriban watu 90 wamekamatwa jana wakati wa maandamano dhidi ya uamuzi wa serikali kuahirisha uchaguzi...
MMOJA AUAWA NA WENGINE WAJERUHIWA VIBAYA KATIKA SHAMBULIO LA KUCHOMWA VISU, UINGEREZA
Polisi nchini Uingereza imesema kuwa mtu mmoja ameuawa na wengine saba wamejeruhiwa kwa kisu katikati tukio lililofanyika katika jiji la B...
ARSENAL YAJIPIMA UBAVU NA LIVER, UNITED KUTAKA KUMSAJILI ANTOINE GRIEZMANN
Arsenal imeonyesha nia ya kutaka kumsajili mchezaji wa Barcelona Antoine Griezmann, 29, baada ya Lionel Messi kuamua kusalia Nou Camp na hiv...
KITANDULA AAHIDI NEEMA MKINGA,KUPELEKA UMEME NGAZI YA VITONGOJI
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Mkinga mkoani Tanga (CCM) Dastan Kitandula amezindua rasmi kampeni zake huku akiwaomba wananchi kumchagua tena ...
KATIBU MKUU CCM DR BASHIRU ALLY AAGIZA VIJANA CCM KUJIBU WAPINZANI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa njiani kuelekea Mwanza, ametoa maagizo kwa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM kujibu hoja zo...
FACEBOOK YAMZUIA JAMAA ANAYETAKA KURUSHA MATANGAZO MBASHARA 'LIVE' AKIWA ANAKUFA
Facebook imesema itamzuia Mfaransa mmoja ambaye anaugua ugonjwa ambao hauna tiba kurusha moja moja kifo chake kwenye mtandao huo wa kijamii.