Mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara mbili mfululizo Meddie Kagere amekanusha taarifa zinazoendelea kusambaa kwa kasi kupitia mita...
MAMBO BADO MAGUMU - LISSU
Baada ya Kufanya mikutano ya kampeni kwa wiki mbili mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lis...
VIDEO: GEITA, KAHAMA KUUNGANISHWA KWA LAMI
Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ,John Magufuli ,ambae anasaka nafasi ya kuchangulia katika uchaguzi utakaofa...
SUMAYE: WAPUUZIENI WANAOWASEMA VIBAYA WAGOMBEA
Mlezi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Manyara, Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne Mizengo Pinda amewataka watanzania waendelee kukiamini c...
TANZANIA KUANZA KUSAFIRISHA NJE MBEGU ASILI ZA MBOGA
Kituo cha utafiti wa mbegu za asili (World Vegetable Center), kinatarajia kuanzisha benki ya mbegu asili ya mboga za majani (mnafu, mgagan...
MAREKANI YATUMA UJUMBE TANZANIA KUHUSU UCHAGUZI
Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright, amewataka Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka hu...
WATUMISHI BUSEGA WAPATA MAFUNZO YA MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI (MADENIMIS)
Pichani ni baadhi ya Watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Busega wakipatiwa mafunzo ya mfumo wa madeni ya Watumishi Serikalini unaoju...
“HATOKI MTU HAPA” - MEMBE
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe, ameweka wazi kuwa hatojiondoa kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa jamhuri y...
ANC YAMKEMEA TRUMP KWA KUMDHARUA MANDELA
Nelson Mandela alikuwa rais wa kwanza aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia nchini Afrika Kusini 1994 Chama tawala cha Afrika Kusini -Sout...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI - NEC YAREJESHA WAGOMBEA UBUNGE 15
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge zilizowasilishwa na wago...