Mkazi wa kijiji cha Isesa wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza Bujiku Mpeka amehukumiwa jela miaka 30 kwa kosa la kubaka, kutorosha na kuishi ...
SIMBA SC WAIFUATA MTIBWA SUGAR KWA HASIRA – PICHA
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, wameendelea kusisitiza utayari wa kuelekea mpambano wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu dhidi ya Mti...
NURU YA USHINDI YAONEKANA YOUNG AFRICANS
Matumaini ya kikosi cha Young Africans kufanya vizuri kwenye mchezo wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City FC,...
PSG KUJITOSA KWA MATTEO GUENDOUZI
Mabingwa wa soka nchini Ufaransa Paris Saint Germain, wamehusishwa na taarifa za kuwa mbioni kumsajili kiungo wa Arsenal ya England Matteo...
ALPHONSE AREOLA ATUA CRAVEN COTTAGE
Klabu ya Fulham imemsajili mlinda mlango kutoka nchini Ufaransa Alphonse Areola, akitokea kwa mabingwa wa League 1 Paris St-Germain. Ar...
WANAODAIWA KUWA MAJAMBAZI WAUAWA KWA KUPIGWA MAWE WALIPOVAMIA DUKA LA M-PESA KAHAMA MJINI
Watu wawili wanaodaiwa kuwa ni Majambazi wameuawa kwa kupigwa mawe na wananchi baada ya majambazi hao kuvamia duka la M-Pesa na kufyatua b...
TAKUKURU MANYARA YASAIDIANA NA WANANCHI KUREJESHA FEDHA ZILIZOPORWA
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, imekabidhi hundi ya Shilingi Milioni 2,205,000 kwa Mkuu wa w...
SPIKA NDUGAI AZINDUA KAMPENI JIMBO LA KONDOA
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni...
KIJANA ANG’ATWA NA NYOKA AKICHAT MSALAANI
Kijana Siraphop Masukarat mwenye umri wa miaka 18 kutoka Thailand amejikuta katika hali mbaya baada ya kuumwa sehemu zake za siri na nyoka...
MTUMISHI BARAZA LA ARDHI AFIKISHWA MAHAKAMANI NA TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Manyara, imemfikisha Mahakamani Mtumishi wa baraza la ardhi Wilaya ya Babati, Ruth Renie...
TRUMP ATEULIWA KUWANIA TUZO YA AMANI YA NOBEL
Rais wa Marekani Donald Trump ameteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka 2021 na Mbunge mmoja wa siasa za mrengo wa kulia nchini N...
MWALIMU AUAWA KWA RISASI NA WANAODHANIWA MAJAMBAZI
Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kihenya iliyopo Wilayani Kasulu, Fredrick Richald amevamiwa na kuuawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuw...