Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini limewataka wamiliki wa shule nchini kuhakikisha wanafunga vifaa maalumu vya awali vya kuzimia moto ili k...
YOUNG AFRICANS KUIFUATA KAGERA SUGAR
Kikosi cha Young Africans na benchi la ufundi linaloongozwa na kocha Zlatko Krmpotic, kinatarajia kuondoka Dar es salaam kesho Al-Khamis kue...
KENYA YASALIMU AMRI WATANZANIA KUKAA KARANTINI
Serikali ya Kenya imetoa orodha ya Nchi 147 ambazo Raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye orodha hi...
BIASHARA UNITED MARA WAIJIBU SIMBA SC
Kocha Mkuu wa Biashara United Mara, Francis Baraza, amesema mchezo wa mzunguuko watatu dhidi ya Simba itakuwa ngumu kwa sababu wanacheza na ...
JPM AAGIZA MWALIMU MKUU WA SHULE ILIYOUNGUA ATOLEWE MAHABUSU
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania pia mgombea urais kupitia chama cha Mapiduzi Dkt. John Magufuli amelitaka jeshi la Polisi mkoani K...
BIASHARA UTD KAZI WANAYO, MANARA ASEMA MAZITO
Mabingwa Soka Tanzania Bara (VPL) na Kombe la Shirikisho (ASFC) wameanza maandalizi ya mchezo wa mzunguuko watatu wa Ligi Kuu dhidi ya Bia...
IRAN YAIONYA MAREKANI DHIDI YA KOSA LOLOTE LA KIMKAKATI BAADA YA KITISHO CHA TRUMP
Iran imeionya Marekani dhidi ya kufanya makosa ya kimkakati, baada ya rais Donald Trump kuitishia Tehran, kuhusiana na ripoti kwamba inap...
AHADI TANO ZA CHIKOTA JIMBO LA NANYAMBA HIZI HAPA
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Nanyamba mkoani mtwara kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdallah Chikota, amezindua kampeni zake huku ak...
TANZIA: KAMANDA JONATHAN SHANA AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Jonathan Shana amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili al...