Watu wanne ambao ni Ally Sadick,Anna Kimaro,Tumsifu Kimaro na Steven Kimaro, wamefikishwa mbele ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Da...
MAJALIWA: TAREHE 28 OKTOBA SIYO SIKU YA MZAHA
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amemaliza ziara yake mkoa wa Mara na kuwaelez...
DR MWINYI AAHIDI NEEMA KWA WAJANE
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, amekutana na Jumuiya ya Wanawake Wajane na kuahidi kuwatambu...
OFISI YA RAIS -TAMISEMI YATANGAZA MAJINA YA MADAKTARI WALIOITWA KAZINI
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari zilizotangazwa ...
SAMIA AWAOMBA WANANCHI WA MKOA WA MBEYA KUWACHAGUA VIONGOZI WATAOWEZA KUWALETEA MAENDELEO KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI
Na Imani Anyigulile - Mbeya Makamu wa rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi Wa ...
LISSU: TUTABADILISHA MFUMO WA KIUTAWALA
Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema kuwa iwapo atachag...
LISSU AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA KAGERA
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amewaomba wananchi m...
LWANDAMINA AONDOKA ZESCO UTD, MOLINGA MAMBO SAFI
Uongozi wa klabu ya Zesco United FC ya nchini Zambia, umeachana na kocha George Lwandamina, baada ya kuafikiana kuvunjwa kwa mkataba wa pand...
VIFO VYA COVID-19 VYAISHANGAZA MAREKANI, MARA 67 YA SHAMBULIZI LA AL-QAEDA
Idadi ya vifo vinavyosababishwa na covid-19 imevuka 200,000 nchini Marekani, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Serikali ya nchi hiyo ja...
GUTERRES AINGILIA KATI ‘VITA’ YA MAREKANI NA CHINA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres ameitaka dunia kusitisha vita baridi kati ya Marekani na China na kusimamisha mizozo ...
KIONGOZI WA WAASI ASHINDA UCHAGUZI WA URAIS
Aliyekuwa kamanda wa jeshi la waasi, Ishmael Toroama amechaguliwa kuwa rais wa Bougainville, kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa leo na T...
KAGERA: IDADI YA WATOTO WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA MOTO YAONGEZEKA
Idadi ya watoto waliopoteza maisha kutokana na tukio la bweni la Shule ya Msingi ya Kiislamu ya Byamungu wilayani Kyerwa mkoani Kagera kut...
MAJALIWA: DKT. MAGUFULI NI KIONGOZI, ANASTAHILI KUPEWA NCHI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Dkt. Magufuli ni kiongozi anayestah...