MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Kyerwa wamchague Dkt. John...
TBS : UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI NI TANI LAKI 2 KWA MWAKA
Takwimu zinaonesha mahitaji ya mafuta ya kula nchini ni tani laki nne kwa mwaka wakati uzalishaji unaofanyika ni tani laki mbili kwa sasa hi...
MVUA YA UPEPO YAANGUSHA MNARA WA MATANGAZO RADIO FARAJA NA KUPONDA KANISA LA MAMA MWENYE HURUMA NGOKOLO
Mnara wa Kurushia Matangazo wa Kituo cha Redio Faraja Fm Stereo umeanguka kisha kuponda Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjin...
BABA AKAMATWA KWA KUBAKA MTOTO WAKE WA KUMZAA
Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Kambarage Manspaa ya Shinyanga Petro Maro (43) kwa tuhuma ya Kumbaka mtoto ...
WANACHAMA 20 WA CHADEMA WAJIUNGA CCM
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewapokea wanachama 20 kutoka Chama cha Demokrasia ...
TANZANIA: MWANAMUZIKI SAID MABELA WA MSONDO NGOMA AFARIKI DUNIA
Gwiji wa ukung’utaji gitaa la solo hapa nchini na kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Said Mabela amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mab...
MTAA WA KARUME KUONDOA WANAOTUMIA DAWA ZA KULEVYA
Uongozi wa mtaa wa Karume kwa kushirikiana na jeshi la polisi wam+eanza kuwachukulia hatua baadhi ya vijana wafanyabiashara katika soko la I...
SHILOLE KUMUANDIKA UCHEBE KWENYE KITABU CHAKE
Shilole kumuandika Uchebe ndiyo linaweza likawa swali kubwa kwa watu wengi baada ya msanii huyo kutangaza kufikiria kuachia kitabu chake a...
WAKILI WA IDRIS ASHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI
Msanii na mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Idris Sultan, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuhairisha kesi namba 60/2020, inayo...
VIDEO: MGOMBEA AONYWA “TUTAMSHURUTISHA KUTII SHERIA”
Leo September 29, 2020 Jeshi la Polisi nchini kupitia kwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wametoa onyo kwa Wagombea wa nafasi mbalimbal...
VIONGOZI WAKUU VYAMA VYOTE WAITWA DAR
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewaita viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa ili wazungumzie utekelezaji wa sheria zinazosimamiwa na...
SIMBA WATOA TAMKO MASHABIKI WAO KUPIGWA MORO
Klabu ya Simba, kwa mara nyingine inasikitishwa na inakemea vikali kitendo cha baadhi ya mashabiki wa timu ya Yanga kuwapiga mashabiki wa ...
MAREKANI KUFUNGA UBALOZI NCHINI IRAQ
Marekani inajiandaa kuondoa Wanadiplomasia wake nchini Iraq baada ya kuionya Serikali ya nchi hiyo kwamba huenda ikaufunga ubalozi wake. Ha...
MAUAJI YA MWENYEKITI WA WANAFUNZI VYUONI WANNE WAKAMATWA NJOMBE
Jeshi la Polisi Mkoani Njombe linawashikilia watu 4 wakiwemo makada watatu wa CHADEMA kwa tuhuma za mauaji ya Emmanuel Mlelwa, Mwenyekiti ...
WANNE MBARONI, TUHUMA ZA MAUAJI YA KIONGOZI UVCCM IRINGA
Jeshi la polisi linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya kada wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), ambaye alikuwa m...
MAGUFULI: TUSIBAGUANE TUJENGE UMOJA
Mgombea nafasi ya urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dokta John Magufuli amewaomba wafuasi...
MIKOPO INATUCHELEWESHA - RAIS SHEIN
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa Zanzibar wameamua kujitegemea wenyewe kwenye mambo ya msingi badala ya kutegemea mik...
KUUZA KITAMBULISHO CHA KUPIGA KURA NI KOSA
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Sumbawanga Mjini Mkoani Rukwa, Jacob Mtalitinya amesema zipo taarifa kuwa baadhi ya wananchi wanauza kad...
DK. MZEE : FANYENI MAZOEZI KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA
Mratibu wa Malaria Mkoa wa Shinyanga Dkt. Daniel Mzee akimvisha Medali Mshindi upande wa watoto aliyeshiriki mashindano hayo. Wananchi Wilay...
YANGA YALAANI MASHABIKI WAKE KUWAFANYIA FUJO SIMBA
Uongozi wa Young Africans SC umelaani kitendo cha baadhi ya mashabiki wake mkoani Morogoro waliowafanyia fujo baadhi ya mashabiki wa Simba S...
KASHFA YA KUKWEPA KODI YAMGANDA RAIS TRUMP
Gazeti la The New York Times limefichua kuwa Rais Donald Trump alilipa kodi ya mapato ya dola 750 tu mnamo mwaka aliochaguliwa kuingia mad...
HOUSE GIRL AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imemkamata Maria Edson Mtambo (25) Mnyiha na mkazi wa Tegeta kwa Ndevu akiwa ana...
MFANYAKAZI WA TRA AFIKISHWA MAHAKAMANI NA TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemfikisha mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ...
RAIS MAGUFULI ATEUA MKURUGENZI MPYA WA TAWIRI
Leo Septmber 29, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurug...