Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa zaidi ya shilingi bilioni 15 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miradi mbalimbali ya miundombinu...
ARMENIA YAKATAA UPATANISHI WA URUSI KATIKA MZOZO NA AZERBAIJAN HUKU MAPIGANO YAKIZIDI KUPAMBA MOTO
Armenia Jumatano imekataa pendekezo la Urusi la kutaka kuwa mpatanishi katika mazungumzo ya amani na hasimu wake mkubwa Azerbaijan, huku map...
LISSU ADAI BADO HAJAPOKEA WITO WA MALALAMIKO
Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa hadi sasa bado hajapokea wito wala malalamiko...
TETESI: TOREIRA KUTUA ATLETICO MADRID
Wakala wa Lucas Torreira amefika Madrid, Hispania kufanya mazungumzo na Atletico Madrid juu ya uwezekano wa kiungo huyo wa kati mwenye umri ...
KWA KAULI HII, MANCHESTER UNITED HAWANA CHAO
Nahodha wa timu ya Borussia Dortmund Marco Reus, amefurahia mpango wa klabu hiyo wa kuendelea kufanya kazi na kiungo kutoka England Jadon ...
UWANJA WA CCM MKWAKWANI KUJENGWA UPYA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza kuandaa mchakato wa kuujenga upya Uwanja wa CCM Mkwakwani uliopo jijini, Tanga ili kufikia ...
MANARA: SIMBA ILIKATAA EURO 400,000
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Sunday Manara, ameendelea kutaja thamani ya baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo, ambay...
LISSU: ITABIDI TUBADILISHE KATIBA KWANZA
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema kuwa endapo chama hiko kitapewa ridhaa ya kuongoza nc...
TRUMP, BIDEN WATUPIANA VIJEMBE
Mahasimu wakubwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Novemba nchini Marekani, Donald Trump kutoka chama cha Republican na Joe Biden wa Democrati...
KOCHA KMKM AISHUKURU YOUNG AFRICANS
Kocha Mkuu wa klabu ya soka ya KMKM, Ame Msimu, ameushukuru uongozi wa Young Africans kuwaalika jijini Dar es salaam, kwa ajili ya mchezo ...
28 MBARONI KWA UHAMIAJI HARAMU
Raia 28 wanaoshukiwa kuwa ni wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia wamekamatwa na askari wa hifadhi ya Taifa Saadani katika eneo la baha...