} });
 
TAKUKURU DODOMA YAOKOA ZAIDI YA TSH BILIONI 1
TAKUKURU DODOMA YAOKOA ZAIDI YA TSH BILIONI 1

Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Dodoma imeokoa zaidi ya shilingi bilioni moja ...

Read more » Soma zaidi »

ROSE MUHANDO AIBUKIA SONGWE KWA MAGUFULI
ROSE MUHANDO AIBUKIA SONGWE KWA MAGUFULI

Kwa mara ya kwanza baada ya ukimya wa muda mrefu bila kuonekana kwenye shughuli za sanaa, msanii maarufu wa Injili hapa nchini Tanzania Rose...

Read more » Soma zaidi »

MAUAJI YA WAZEE YAPUNGUA
MAUAJI YA WAZEE YAPUNGUA

Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Afya, Naphtali Ng’ondi amesema Serikali imefanikiwa kupunguza mauaji ya wazee nchini kutoka waz...

Read more » Soma zaidi »

PAPA FRANCIS AKATAA KUONANA NA WAZIRI WA MAREKANI
PAPA FRANCIS AKATAA KUONANA NA WAZIRI WA MAREKANI

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis amekataa kuonana na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo aliyeko ziarani mjini V...

Read more » Soma zaidi »

MSAJILI AFICHUA MPANGO SIRI WA VYAMA OKTOBA 3
MSAJILI AFICHUA MPANGO SIRI WA VYAMA OKTOBA 3

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza, ameviasa vyama vya siasa vinavyotaka kuungana Oktoba 3 mwaka huu, kuacha mara moja...

Read more » Soma zaidi »

MWAMBUSI: TUNAIHESHIMU COASTAL UNION
MWAMBUSI: TUNAIHESHIMU COASTAL UNION

  Benchi la ufundi la Young Africans lina matumaini makubwa ya kuendelea kufanya vizuri kwenye michezo ya Ligi Kuu, baada ya kucheza mchezo ...

Read more » Soma zaidi »

SHIBUDA :SERA YA MAJIMBO NI CHANZO CHA MIFARAKANO
SHIBUDA :SERA YA MAJIMBO NI CHANZO CHA MIFARAKANO

  Mgombea urais wa jamuhuri ya mungano wa Tanzania, kupitia Chama cha ADA TADEA, John Shibuda, amesema kuwa utawala wa majimbo utawagawa wan...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA WA CCM, DKT. MAGUFULI TUNDUMA, SONGWE
LIVE: MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA WA CCM, DKT. MAGUFULI TUNDUMA, SONGWE
Read more » Soma zaidi »

MAASKOFU NA WACHUNGAJI WAZINDUA KITABU CHA UONGOZI ULIOTUKUKA WA RAIS JOHN MAGUFULI
MAASKOFU NA WACHUNGAJI WAZINDUA KITABU CHA UONGOZI ULIOTUKUKA WA RAIS JOHN MAGUFULI

Askofu Mkuu wa Makanisa ya Naioth Gospel Assemblies of God ambaye pia ni Katibu Mkuu mstaafu wa Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania,...

Read more » Soma zaidi »

MWENYEKITI WA MTAA ASIMULIA JINSI MJUKUU WAKE WA MIAKA 7 ALIVYOCHINJWA NA MAMA YAKE
MWENYEKITI WA MTAA ASIMULIA JINSI MJUKUU WAKE WA MIAKA 7 ALIVYOCHINJWA NA MAMA YAKE

Mtoto wa miaka saba aitwaye Willy Wiliam mwanafunzi wa darasa la tatu Shule ya Msingi Ihumwa ameuawa kwa kuchinjwa shingo na mtu anayedaiwa ...

Read more » Soma zaidi »

TAKUKURU YAWAONYA WANAORUBUNI WAPIGA KURA
TAKUKURU YAWAONYA WANAORUBUNI WAPIGA KURA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imewaonya wale wote wanaojihusisha na vitendo vya kuwarubuni wapiga kura kadi za...

Read more » Soma zaidi »

MWANAFUNZI ANAEDAIWA KUMKATA MWALIMU NA PANGA AFIKISHWA MAHAKAMANI
MWANAFUNZI ANAEDAIWA KUMKATA MWALIMU NA PANGA AFIKISHWA MAHAKAMANI

Mwanafunzi Mwita Juma mwenye umri wa miaka 19, mkazi wa Kijiji cha Kyakoma, Kata ya Kiagata wilayani Butiama mkoani Mara, amefikishwa katika...

Read more » Soma zaidi »

UN WATANGAZA LUGHA SITA RASMI WATAKAZOTUMIA
UN WATANGAZA LUGHA SITA RASMI WATAKAZOTUMIA

Umoja wa Mataifa unaadhimisha siku ya kimataifa ya kufasiri, kwa kutambua umuhimu wa kufasiri kwa lugha kama kitu kinachoyaleta mataifa pamo...

Read more » Soma zaidi »

MAUAJI YA KIJANA WA CCM WALIOKAMATWA WAKIRI “WALIMTEKA, WAKAMTESA NA KUMNYONGA”
MAUAJI YA KIJANA WA CCM WALIOKAMATWA WAKIRI “WALIMTEKA, WAKAMTESA NA KUMNYONGA”

  September 30, 2020  Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imetoa taarifa juu ya kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wanne kwa tuhuma za mauaji ya Emman...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 01 OKTOBA, 2020
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 01 OKTOBA, 2020

Read more » Soma zaidi »
 
Top