Mgombea urais kwa tiketi Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema kuwa licha ya Tume ya Taifa ya uchaguzi imemsimami...
MAGUFULI ATUA ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ameongoza mapokezi ya mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania k...
KMC FC YATOA WACHEZAJI WAWILI TAIFA STARS
Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC imetoa wachezaji wawili ambao wameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa Stars kitakachoingia kambini Ok...
HII HAPA TAIFA STARS ITAKAYOWAKABILI BURUNDI
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije ametaja orodha ya Wachezaji wa timu ya Taifa ambao wataingia kambini Oktoba t...
NEC YAMFUNGIA TUNDU LISSU KUFANYA KAMPENI
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...
SAMIA: MSIPIGIE UPINZANI KUPOTEZA NGUVU ZENU
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 2 Oktoba amewambia wakazi wa Mkarama,...
MAREKANI YAMKANA LISSU
Ubalozi wa Marekani nchini, umesema kwamba haumuungi mkono mgombea yeyote au chama chochote katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 28 mwaka hu...
SIMBA YAWEKA WAZI SABABU ZA KUTUMIA BASI SAFARI YA DODOMA
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC wameondoka leo Ijumaa, Oktgoba 02 kuifuata JKT Tanzania, jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa ligi...
POLISI YASITISHA WITO WA LISSU, “AENDELEE NA KAMPENI ZAKE”
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limesiitisha wito wake lililoutoa jana wa kumtaka mgombea wa kiti cha urais kupitia chama ch...
LISSU AKATAA KUTII WITO WA KURIPOTI POLISI
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, amekataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi l...
TRUMP NA MKEWE WAAMBUKIZWA CORONA
Rais wa Marekani ,Donald Trump amesema kwamba yeye na mke wake Melania Trump wamepatikana na virusi vya corona na wako kwenye karantini.
DADA AMUUNGUZA KWA KISU CHA MOTO MAPAJANI , MASHAVUNI MDOGO WAKE AKIMTUHUMU KUCHEPUKA NA SHEMEJI YAKE
Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Meckrida Masesa (25), mkazi wa Chela wilayani Kahama kwa kosa la kumjeruhi mdogo wake mwenye...