LeBron James amesema ana matumaini Los Angeles Lakers waliifanya familia ya Kobe Bryant "kujivunia" baada ya kushinda mechi mbili ...
VIDEO: KAMATI YA MAADILI NEC “LISSU NI MUONGO”
Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini (NEC), imekanusha madai yaliyotolewa na mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
TRUMP AMEPELEKWA HOSPITALI BAADA YA KUTHIBITISHWA KUWA NA COVID-19
Rais Trump akinyoosha mkono na kuonesha ishara ya kuwa sawa kwa wanahabari wakati anaelekea kuingia kwenye helikopta iliyompeleka hospitali
JELA MIAKA 7 KWA KUTUMIA JINA LA WAZIRI MKUU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Issa Mohhamed (27) miaka saba jela katika makosa 11 ikiwemo la kujipatia fedha kwa njia ya udan...
AJIUA BAADA YA MAMA YAKE KUKATAA KUHAMIA CHADEMA
Kijana anayefahamika kwa jina la Twaybu Omary, 22, mkazi wa Mtaa wa Nsemulwa Kata ya Nsemulwa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Kat...
SERIKALI YAHIMIZA KUKAMILIKA KITUO CHA KUPOZA UMEME NYAKANAZI
Serikali imehimiza kukamilishwa kwa wakati, ujenzi wa kituo cha kupoza umeme Nyakanazi ili pamoja na manufaa mengine, kiwaondolee wananchi w...
KAULI ZA HUMPHREY POLEPOLE KWENYE MKUTANO WAKE NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR
Kutoka Zanzibar. Yaliyojiri na Aliyoyazungumza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole Kwenye Mkutano wake na Waandishi wa...
SAFARI YA KWANZA YA TRENI KUTOKA DAR – ARUSHA YAZINDULIWA
Mkuu Wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge Oktoba 2 amezindua safari ya kwanza ya treni ya abiria kutoka Dar es salaam kwenda Arusha, b...
ISRAEL: WAZIRI WA UTALII AJIUZULU KUMPINGA NETANYAHU
Waziri wa Utalii wa Israel Asaf Zamir amejiuzulu leo akipinga sheria mpya inayozuia maandamano dhidi ya waziri mkuu wa nchi hiyo Benjamin ...
AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUDAIWA KUCHANA MABANGO YA CCM
Mkazi wa Katavi, Augustino Laurent (27) amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kuchana mabango ya wagombea wa Cha...
KATIBU MKUU ACT ADO SHAIBU APATA AJALI MTWARA
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu amepata ajali ya gari kwenye Jimbo la Nanyamba Mkoani Mtwara ambako alikwenda kumnadi Mgombea wa U...