Rais wa jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dokta John Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa inayoeleza kuwa serikali imefuta mafunzo ya ual...
PAPA FRANCIS ATAKA UTARATIBU MPYA WA
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amechapisha Waraka mpya wa Kitume, akitoa wito wa kuwepo mshikamano katika jamii ili kuwez...
RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI 3 (VIDEO)
Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amepokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini. ...
MGOMBEA URAIS CHADEMA AJITOA
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kuwa Mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chadema, Said Issa Mohamed amejitoa na...
NEC YAVITAHADHARISHA VYAMA UVUNJIFU WA SHERIA ZA NCHI
Wakati vyama vya siasa nchini vikiendelea na zoezi la kuomba kuchaguliwa na wananchi kushika nafasi mbalimbali za uongozi, tume ya uchaguzi ...
WASICHANA KUNYANYASIKA MTANDAONI
Shirika la kimataifa linaloshughulikia masuala ya watoto na wasichana, Plan International limesema unyanyasaji wa mitandaoni umesababisha wa...
MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI YAFUTWA
Naibu katibu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Avemaria Semakafu amesema serikali imefuta mafunzo ya ualimu wa shule ya msingi na ...
KESI YA KIGOGO WA MSD YAPIGWA KALENDA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam nchini Tanzania imeleezwa upelelezi wa kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ...
BANGI YAMUWEKA MATATANI LADY JAYDEE
MSANIImkongwe wa Bongo Fleva nchini, Judith Wambura ‘Lady JayDee’ ameingia kwenye hatari ya kufungiwa wimbo wake mpya, unaokwenda kwa jina...
JINSI MAGUFULI ALIVYOGUSA MAISHA YA WATUMISHI WA UMMA
WATUMISHI NA MAGUFULI: Haya ni baadhi ya mambo yaliyotekelezwa kwa vitendo kwa watumishi wa Umma chini ya uongozi wa Dkt John Pombe Magu...
FISI ALIYEUA MTOTO, KUJERUHI WAWILI AUAWA
FISI aliyeua mtoto na kujeruhi watu wazima wawili jana, Septemba 4, 2020, mchana katika Kijiji cha Mbogo, Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu...
HATIMAYE HUKUMU KESI YA SHAMBULIO LA WESTGATE KUTOLEWA
Mahakama moja nchini Kenya inatarajiwa kutoa uamuzi wa kesi inayohusisha wanaume watatuwalioshtakiwa kwa kusaidia wanamgambo wenye silaha ku...
MWALIMU ACHARAZWA BAKORA NA AFISA ELIMU KATA
Uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Mlele umelaani vikali kitendo cha Mwl. Jiyabo Ng’wanzalima kucharazwa viboko na Afisa...
HOFU YATANDA! HALI YA TRUMP YACHUNGUZWA ZAIDI
Rais wa Marekani, Donald Trump anaendelea kupewa uangalizi wa karibu akiwa hospitali ambako anapokea matibabu ya Covid-19. Kuna tashwishi ...
BREAKING: WATANO WAFARIKI AJALI YA DALADALA NA LORI DAR (VIDEO)
WATU watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani iliyohusisha daladala na lori la mchanga katika en...
UMMY MWALIMU AHAIDI KUHIMIZA UWEKEZAJI KATIKA JIJI LA TANGA
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu amesema atahimiza uwekezaji ili kuwezesha ujenzi wa viwanda vipya kwenye Jiji la Tanga...
MBWANA SAMATTA KUWASILI NCHINI KESHO
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta anatarajiwa kuwasili nchini kesho kujiunga na kambi ya timu hiyo inayojiandaa na mechi y...
CHADEMA YATANGAZA KUMUUNGA MKONO MAALIM SEIF
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema baada ya Kamati kuu kukaa kikao,kimeona ni sahihi kwa chama hicho kumuunga mkono Mgom...
PAPA MWENYE ALBINISM ASHANGAZA ULIMWENGU
Mvuvi Jason Gillespie akiwa na papa mwenye Albinism Mvuvi Jason Gillespie kutokea nchini Uingereza, amesema amepata bahati ya kuvua samaki a...