Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amwandikia barua ya salamu za rambi rambi kwa Kiongozi mpya (Amir) wa Kuwai...
RAIS WA MALAWI KUFANYA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU TATU HAPA NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Malawi, Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini kuanzia...
VIDEO: POLISI YAELEZA ILIVYOWAKAMATA 5 OFISINI KWA LEMA
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikiliwa watu watano, ambao liliwakamata wakiwa kwenye ofisi binafsi za mgombea ubunge jimbo la Arus...
DUBE: AZAM FC KWANZA, MENGINE BAADAE
Kinara wa mabao Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2020/21 Prince Dube, amesema haipi umuhimu mkubwa Tuzo ya Ufungaji Bora, na badala yake ana...
CHOUPO-MOTING AREJEA UJERUMANI
Mabingwa wa soka Barani Ulaya FC Bayern Munich wamekamilisha dili la usajili wa mshambuliaji kutoka nchini Cameroon Jean-Eric Maxim Choupo...
WACHEZAJI WA AZAM FC WAPONGEZWA
Benchi la ufundi la Azam FC limetoa pongezi kwa wachezaji wake, kwa kufanikisha ushindi wa mabao manne kwa mawili dhidi Kagera Sugar, Oktoba...
POCHETTINO KURITHI MIKOBA OLD TRAFFORD
Inaelezwa kuwa meneja wa zamani wa Tottenham Hospurs Mauricio Roberto Pochettino Trossero, yupo kwenye mazungumzo na viongozi wa Mancheste...
NEC YATAKA RAIA WA KIGENI KUDHIBITIWA WASIPIGE KURA UCHAGUZI MKUU
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imezitaka Kamati za Ulinzi na Usalama zilizo kwenye mipaka ya nchi ziwadhibiti raia wakigeni kushiriki uchag...
RAGE: YOUNG AFRICANS WASHTAKIWE KISHERIA
Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya Simba SC Ismail Aden Rage ameibuka na kudai kumeshangazwa kuona Young Africans wanaanika hadharani mad...
FORBES: SOFÍA VERGARA MUIGIZAJI WA KIKE ALIEINGIZA PESA ZAIDI 2020
Jarida la Forbes limetoa orodha ya waigizaji wa kike wenye kipato kikubwa zaidi duniani mwaka 2020. Sofía Vergara aliyeshiriki kwenye tamt...
FC BARCELONA YAPATA HASARA YA MABILIONI
Uongozi wa miamba ya soka nchini Hispania FC Barcelona umetangaza hasara ya Euro Milioni 97 sawa na Shilingi Bilioni 264 za Tanzania, kwa ms...
TRAORE AITEMA MALI, AIKUBALI HISPANIA
Mshambuliaji wa klabu ya Wolverhampton Wonderers ya England Adama Traoré Diarra, amekataa ofa ya kuitumikia timu ya taifa lake la asili (M...
PSG YAMNASA RAFINHA DAKIKA ZA MWISHO
Mabingwa wa soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain usiku wa kuamkia leo walikamilisha usajili wa kiungo kutoka nchini Brazil Rafael Alcânt...
WATUMISHI SEKTA YA MAJI WATAKIWA KUACHA KUZOEA MATATIZO YA WANANCHI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga amezitaka Bodi za Wakurugenzi za Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira Nchini ku...
TRUMP ATOKA HOSPITALI, AREJEA IKULU YA MAREKANI
Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kutoka kwenye hospitali ya kijeshi ya Walter Reed alikokuwa amelazwa kwa siku tatu akitibiwa ug...
WATAHINIWA 1,024,007 KUFANYA MITIHANI YA KUMALIZA DARASA LA 7 OKTOBA 7
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dkt.Charles Msonde amesema Jumla ya watahiniwa 1,024,007 wanatarajiwa kufanya mitih...
VIDEO: JPM AMTUMBUA KATIBU ALIETANGAZA KUFUTWA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara...