Timu ya Taifa ya Burundi tayari imewasili nchini kamili kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa ulio kwenye kalenda ya FIFA.
RAIA WA PAKSTAN AKAMATWA KWA KUINGIA NCHINI KINYEMELA KWA KISINGIZIO CHA TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA
Idara ya uhamiaji mkoani Kagera inamshikilia mtu mmoja raia wa Pakstan aliyeingia nchini kinyume na taratibu akitokea nchini Uganda Baada ya...
CCM IKISALIA MADARAKANI KUJENGA BANDARI MPYA YA MAFUTA NA GESI
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt.Hussein Mwinyi amewahidi Wazanzibar kuwa serikali yake ikingia madarakani itah...
JESHI LA UHAMIAJI MWANZA LAKAMATA WAHAMIAJI HARAMU 24 KANISANI
Jeshi la uhamiaji mkoa wa Mwanza limewakamata wahamiaji haramu 24 kutoka nchi za Burundi na Rwanda kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha ...
WATANO WASHTAKIWA KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI
Wa kwanza kushoto ni Askari Polisi akiongozana na washtakiwa. Watu watano Raia wa kigeni wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisu...
JESHI LA POLISI LATOA MAELEKEZO KUHUSU UKATILI
Wakati Dunia ikielekea kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike Oktoba 11, 2020 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia Dawati la J...
MBARONI KWA KUMUINGILIA MTOTO KINYUME NA MAUMBILE
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi visiwani Zanzibar, linawashikilia watu wawili akiwemo mwanafunzi wa kidato cha kwanza kwa tuhuma z...
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA KUSHUKA BEI
Kaimu Mkurungezi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Ruth Minja. Ofisi ya Taifa ya Takwimu, (NBS), imesema mfumuko wa bei wa taifa kwa mwa...
“CORONA ISIWE KISINGIZIO, MRADI UKAMILIKE KABLA YA NOVEMBA” – RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza mradi wa mabasi wa Mbezi kukamilika kabla ya mwezi Novemba mwaka...
JOH MAKINI AJA NA LEBO YAKE, ATAMBULISHA MSANII MPYA
Rapper John Simon maarufu kama Joh Makini ameitambulisha lebo yake ya muziki iitwayo ‘Makini Records’ pamoja na kumtambulisha msanii mpya Pt...
MAGUFULI: NATAKA UBADILIKE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge, abadilike na kuachan...
MANARA: TUNAHESHIMU MAAMUZI YA TPLB
Siku moja baada ya Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) kutoa taarifa za kuahirisha mchezo wa watani wa Jadi uliokua umepangwa kuchezwa Oktoba ...
DKT. MSOLLA: KUFUKUZWA KWA KOCHA KUSIWATIE WASIWASI
Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans Dkt. Mshindo Mbette Msolla amezungumzia mabadiliko katika benchi la ufundi la klabu hiyo, baada ya k...
TPLB YATOA RATIBA MPYA VPL
Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) imetoa ratiba mpya ya mzunguuko wa sita, saba na nane, kufuatia mizunguuko hiyo kuingiliana na kalenda ya ...
MOURINHO AIKEBEHI MANCHESTER UNITED
Siku chache baada ya kuifyatua Manchester United mabao sita kwa moja, meneja wa Totenham Hotspurs Jose Mourinho, amesema haikuwa rahisi kufa...
MSHUKIWA WA MAUAJI YA GEORGE FLOYD AACHILIWA KWA DHAMANA
Polisi wa zamani wa Marekani Derek Chauvin aliyeachishwa kazi baada ya kushitakiwa kwa mauaji ya mwanaume mweusi ambaye hakuwa amejihami Geo...
MKUU WA SHULE MBARONI UDANGANYIFU MITIHANI DARASA LA 7 MBARONI KITETO
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Manyara imemkamata Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Orkiti wilaya ya Kiteto Bw....
ATAKAYEONGOZA UFAULU DARASA LA 7 KUPEWA LAKI 5
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka amesema kuwa mwalimu wa shule ya msingi kutoka mkoani humo, atakayeongoza kwa ufaulu wa alama A atajipa...
MREMBO ACHOMWA KISU UGOMVI KUTOA SIRI ZA MICHEPUKO YA MASHOGA ZAKE
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KUJERUHI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SALOME BUYA [23] Mkazi wa Mnazi kwa Ndomba wilayani Mbarali ...
TANZANIA, MALAWI KUKUZA SEKTA YA USAFIRISHAJI
serikali za Tanzania, Malawi zipo kwenye mazungumzo ya kushirikiana katika ukuzaji wa sekta ya usafirishaji wa nchi zote mbili. Akizungumz...
SARATANI YA MATITI TISHIO KWA WANAWAKE
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dokta Julius Mwaiselage amewaasa wanawake kuwa na tabia ya kujichunguza afya zao ...
MADAKTARI WA CUBA WALIOTEKWA NA AL SHABAB KENYA WAACHILIWA
Vyanzo kadhaa rasmi, pamoja na Wizara ya Mambo ya nje ya Cuba, vimethibitisha kuachiliwa kwa madaktari wawili wa Cuba, Assel Herrera na Land...
KOCHA AINGIA KUDAKA APIGWA 7-1
Hii ni wiki ya michezo ya kirafiki iliyopo katika kalenda ya FIFA ambapo timu ya taifa ya Ukraine jana ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi y...