Wananchi wa mkoa wa Simiyu wanatarajia kunufaika na miradi ya maji 71 ifikapo desemba mwaka huu katika vijiji 162 ndani ya wilaya zote. M...
SHULE YA AFRICAN MUSLIM YATEKETEA KWA MOTO
Bweni la shule ya sekondari ya Kiislam ya African iliyoko maeneo ya Kaloleni mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo O...
ALIYEHUSIKA NA MAUAJI YA KIKONGWE ROMBO 2017 AKAMATWA BAADA YA MIAKA 3
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu anayeshukiwa kuwa jambazi Luka Kavishe wa kijiji cha Mbomai wilayani Ro...
IGP SIRRO:TUTAWASHUGHULIKIA WALIOANDALIWA KUFANYA VURUGU
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachach...
WANAWAKE WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIFEDHA
Gloria Njiu Mkuu wa kitengo cha huduma cha kidigitali, NCBA. Wanawake nchini wametakiwa kuondokana na fikra kandamizi za mfumo dume ambao hu...
CUF YAAHIDI KUBORESHA KILIMO CHA MBOGAMBOGA
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba amewaahidi wakazi wa Mombo na Korogwe Mkoani Tanga kuwa atahaki...
SIMBA, YANGA NA AZAM TISHIO VPL
Simba SC ndio timu iliyofunga magoli mengi ligi kuu Tanzania bara msimu huu magoli 14 katika michezo 5 Simba SC, Yanga SC na Azam FC zimeend...
WANANCHI WAASWA KUEPUKA VISHOKA KUUNGANISHA UMEME
Mhandisi Mkuu wa Mkoa TANESCO Kinondoni Kaskazini Goodlove Mathayo Watanzania wametakiwa kuacha kuwatumia mafundi wasio na vigezo maarufu ...
JPM ATAJA SABABU ZA KUMKATA MTOTO WA DADA YAKE (VIDEO)
Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,(CCM), Dkt. John Magufuli, amesema kuwa mgombea aliyeongoza katika kura za maoni jimbo la Kawe F...
SABABU YA RAIS CHAKWERA KUKATISHA ZIARA YAKE TANZANIA
Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera, aliwasili nchi Tanzania Oktoba 7, 2020 kwaajili ya ziara ya kitaifa ya siku tatu lakini alikatisha zia...
VIDEO: CCM KUJA NA BANDIKA BANDUA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ,Dkt. Bashiru Ally amesema kuwa kuelekea mzunguko wa sita wa kampeni, chama hicho kimejipan...
TUSHIRIKIANE NA WAKENYA KUOMBEA CORONA IONDOKE -JPM
Rais Dkt. John Magufuli ambaye pia ni mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amewaomba watanzania kutumia siku tatu kuanzia leo k...