Serikali imezindua mpango wa kuendeleza Viwanda vya mazao ya Kilimo utakaochochea Uchumi wa viwanda nchini na kuwanufaisha wakulima, mpango ...
CHINA, URUSI NA CUBA WASHINDA VITA BARAZA LA HAKI ZA BINADAMU
China, Urusi na Cuba zimeshinda viti kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, licha ya upinzani kutoka kwa makundi ya wanahara...
G20 KUJADILI UCHUMI WA DUNIA
Mawaziri wa Fedha na magavana wa benki kuu wa kundi la mataifa yaliyoendelea na yale yanayoinukia G20 wanafanya mazungumzo leo Oktoba 14 ya ...
CHADEMA WAELEZA WALIYOYAFANYA NA WATAKAYOYAFANYA KWA MIAKA MITANO JIMBO LA MBEYA
Na Imani Anyigulile - Mbeya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Mbeya kupitia mgombea wake Joseph Mbilinyi kimefanya mkutano...
MAHABUSU ALIYEKUWA NA KESI YA MAUAJI AFARIKI KWA KUPIGWA NA RADI
Mahabusu ambaye alikuwa na kesi ya mauaji, Musa Haji Mchana, alipigwa na radi na kupoteza uhai Oktoba 13 kutokana na mvua zinazoendelea kuny...
RWANDA YARUHUSU KIILIMO CHA BANGI
October 14, 2020 Taarifa kutoka Serikali ya Rwanda ni kwamba imehalalisha kilimo cha bangi ambayo itauzwa nje ya nchi, ili kuweza kushiriki ...
MAGUFULI AMPIGIA SIMU DKT MWINYI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Magufuli, amewaomba wananchi wa Pemba kumchagua yeye na Dkt. Hussein Mwinyi, il...
MOTO WAUA WATU WATANO WA FAMILIA MOJA PUGU
Watu watano wa familia moja akiwemo mama, watoto wake watatu pamoja na wi yake wamepoteza maisha baada ya nyumba yao kuwaka moto majira ya s...
JESHI LA POLISI DODOMA LANASA WATUHUMIWA NANE KWA TUHUMA MBALIMBALI
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma limekamata jumla yawatuhumiwa Nane kwa makosa ya kupatikana na silaha pamoja...
KENYA: WANAFUNZI WENYE MIMBA WARUHUSIWA KURUDI SHULE
Serikali ya Kenya imewaamuru makamishna wote wa Kaunti kuanza uchunguzi juu ya wanafunzi walioshindwa kuripoti shuleni na sababu zilizopelek...
LISSU KUONDOA UTITIRI WA KODI KWA WACHIMBAJI WADOGO
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema iwapo atachaguliwa kuongoza serikali ya awamu ya sita katika uchagu...