Rais wa Marekani Donald Trump amesema Sudan itaondolewa kwenye orodha ya mataifa yanayofadhili makundi ya kigaidi, ikiwa itakubali kutoa jum...
TRUMP, BIDEN KUFANYA MDAHALO WA MWISHO IJUMAA
Wagombea urais wa Marekani Donald Trump wa chama cha Republican na Joe Biden mgombea kutoka chama cha Democratic wanatarajia kufanya mdahalo...
KIONGOZI WA UPINZANI AJITANGAZA MSHINDI KABLA YA MATOKEO
Kiongozi wa upinzani nchini Guinea, Cellou Dalein Diallo, amejitangaza mshindi katika uchaguzi wa urais uliofanyika Jumapili kabla ya kutang...
"NI AFADHALI MZEE WA UBWABWA KULIKO MEMBE" - MAALIM SEIF
Chama cha ACT – Wazalendo kimeeleza kusikitishwa na kauli za mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho Bernad Membe, jana wakati akizung...
NEC YAWATAKA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI KUFUATA SHERIA
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Charles amewaagiza wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya majimbo kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria ...
LIVE: DKT MAGUFULI (KOROGWE) AKIENDELEA NA KAMPENI ZAKE LEO
Mwenyekiti wa CCM na Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt John Magufuli leo Oktoba 20 anaendelea na mikutano ya Kampeni ambapo yupo mkoani...
MBADALA WA KADI YA MPIGA KURA ZILIZOPOTEA WAPATIKANA
Zikiwa zimesalia siku nane kufikia October 28, 2020 siku ya kupiga kura, nakupa good news kwamba kama utakuwa hauna kitambulisho cha kupigia...