} });
 
LIVE: MAHOJIANO YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT HUSSEIN MWINYI
LIVE: MAHOJIANO YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DKT HUSSEIN MWINYI
Read more » Soma zaidi »

RC MBEYA ADAI VIJANA 150 KUVURUGA UCHAGUZI
RC MBEYA ADAI VIJANA 150 KUVURUGA UCHAGUZI

Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema serikali ya mkoa huo imejipanga kukabiliana na vijana 150 walioandaliwa kila Kata na vyama ...

Read more » Soma zaidi »

RC DAR ES SALAAM AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA
RC DAR ES SALAAM AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge, amefanya ziara ya kushtukiza kwenye bandari ya Dar es salaam, kwa lengo la kujua kile kinac...

Read more » Soma zaidi »

ANWANI ZA MAKAZI KURAHISISHA BIASHARA MTANDAO
ANWANI ZA MAKAZI KURAHISISHA BIASHARA MTANDAO

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) na taasisi zilizo chini ya sekta hiyo zipo katika utekelezaji wa mpango mka...

Read more » Soma zaidi »

DC AZUIA KUBOMOLEWA KWA NYUMBA ZAIDI YA 374
DC AZUIA KUBOMOLEWA KWA NYUMBA ZAIDI YA 374

Mgogoro wa viwanja katika mtaa wa Kyebitembe Kata Nshambya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera uliodumu kwa zaidi  ya miaka 22 na kusababisha k...

Read more » Soma zaidi »

SAFARI ZA MAJINI ZAPIGWA ‘STOP’ SIKU YA UCHAGUZI
SAFARI ZA MAJINI ZAPIGWA ‘STOP’ SIKU YA UCHAGUZI

Mamlaka ya Usafiri wa Baharini Zanzibar (ZMA), imetangaza kusitishwa kwa safari za vyombo vya usafiri wa baharini Oktoba 28, 2020 ambayo ni ...

Read more » Soma zaidi »

MAGUFULI: SIKUMFUKUZA GAMBO UKUU WA MKOA
MAGUFULI: SIKUMFUKUZA GAMBO UKUU WA MKOA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli ambaye pia ni Rais wa Tanzania amesem...

Read more » Soma zaidi »

‘BWEGE’ ATUA KWENYE MKUTANO WA MAJALIWA, ASHANGILIA NA KUUKUBALI MUZIKI WA CCM
‘BWEGE’ ATUA KWENYE MKUTANO WA MAJALIWA, ASHANGILIA NA KUUKUBALI MUZIKI WA CCM

Mgombe Ubunge wa jimbo la Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Bw. Selemani Bungara maarufu kwa jina la Bwege ameukubali muziki wa Cham...

Read more » Soma zaidi »

VIONGOZI WA DINI MKOANI SINGIDA WAJA NA MAAZIMIO SABA UCHAGUZI MKUU
VIONGOZI WA DINI MKOANI SINGIDA WAJA NA MAAZIMIO SABA UCHAGUZI MKUU

Kamati ya Amani na Dini mbalimbali   Mkoa wa Singida inayojumuisha  viongozi wa madhehebu na dini zote   imetoa tamko lenye maazimio saba  k...

Read more » Soma zaidi »

AFARIKI KWA KULA MAKANDE!
AFARIKI KWA KULA MAKANDE!

POLISI Mwanza wanachunguza chanzo cha kifo cha Deogratias Meded (42) Mkazi wa Sengerema aliyefariki dunia muda mfupi baada ya kudaiwa kula m...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YA NIGERIA YATANGAZA MARUFUKU YA KUTOKA NJE
SERIKALI YA NIGERIA YATANGAZA MARUFUKU YA KUTOKA NJE

Serikali ya Nigeria imetangaza ilani ya marufuku ya kutoka nje katika majimbo ya Rivers na Delta kufuatia ongezeko la ghasia zinazoendelea d...

Read more » Soma zaidi »

RONALDO BADO ANA CORONA
RONALDO BADO ANA CORONA

Staa wa Juventus Cristiano Ronaldo amepimwa tena na kukutwa bado ana maambukizi ya virusi vya Corona hivyo ni wazi ataukosa mchezo wa UEFA w...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI  YA LEO IJUMAA 23 OKTOBA, 2020
MAGAZETI YA LEO IJUMAA 23 OKTOBA, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top