Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imewataka wananchi kutokaa vituoni kulinda kura baada ya kumaliza zoezi la upigaj...
AZAM FC WAKUBALI SHUGHULI YA MTIBWA SUGAR
Baada ya kuonja shubiri ya kupoteza alama tatu kwa mara ya kwanza msimu huu 2020/21 dhidi ya Mtibwa Sugar, Uongozi wa Azam FC umekiri wababe...
JAJI WA MAHAKAMA YA JUU MAREKANI AAPISHWA
Jaji wa Mahakama ya juu ya Marekani Amy Coney Barrett, ameapishwa baada ya kupigiwa kura na baraza la Seneti lililogawanyika pakubwa, ambapo...
“POLISI TUMEWEZESHWA KUFANYA DORIA” - KAMANDA MUROTO
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP Gilles Muroto amesema kuwa kuelekea uchaguzi mkuu usalama wa raia na mali zao umeimarishwa katika mko...
“PEMBA WAKATI TUNASAMBAZA MASANDUKU YA KUPIGIA KURA POLISI WALIRUSHIWA MAWE”
Mkuu wa Jeshi laPolisi nchini, IGP Simon Sirro ametoa wito kwa watanzania katika kipindi hiki chauchaguzi kujihadhari na mihemko isiyokuwa n...
KOCHA WA SIMBA SC SVEN AKALIA KUTI KAVU
Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Ghana Nuhu Adam ameripoti kuwa uongozi wa Simba SC haufurahishwi na mwenendo wa timu yao chini ya Kocha...
WALICHOSEMA AZAM BAADA YA KIPIGO CHA KWANZA VPL
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Azm Fc, Zacharia Thabit amesema kwamba ilibidi wapoteze mchezo ili kupunguza shinikizo kwa wacheza...
KAULI YA JOHN BOCCO BAADA YA KIPIGO CHA JANA
Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco amewaomba radhi viongozi na wanachama wa mabingwa hao wa ligi kuu Tanzania bara kwa matokeo mabaya wal...
TUME YASHAURI HAYA KUELEKEA SIKU YA UCHAGUZI
Afisa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Daniel Kalinga Ikiwa yamesalia masaa machache ya kufikia siku ya kupiga kura kwa ajili...
KATIBU KAMATI YA MAADILI : “SISI TUMEKUWA WAKALI KUTOKANA NA AINA YA WAGOMBEA”
“Sisi tumekuwa wakali kutokana na aina ya wagombea tulionao kwa sasa, ndiyo wamesababisha watu waone mbona adhabu zimekuwa nyingi na kamati ...
WATUMISHI WA UMMA WAPEWA RUHUSA KWENDA KUPIGA KURA MAHALI WALIPOJIANDIKISHA
Leo October 27, 2020 Imetoa ruhusa ya siku 3 (Oktoba 27-29) kwa Watumishi wa Umma ambao wamejiandikisha kupiga kura kwenye maeneo tofauti na...
ZANZIBAR WAANZA KUPIGA KURA LEO
Wazanzibari leo wanapiga kura ya mapema ambapo makundi maalum wakiwemo Watumishi wa Tume ya Uchaguzi (ZEC) na Wasimamizi wa Uchaguzi watashi...
NAMPESYA: ANAYOFANYIWA MORRISON SIO SAHIHI
Mdau wa soka nchini Tanzania Erick David Nampesya amejitokeza hadharani na kuonesha namna alivyoguswa na tukio la kiungo mshambuliaji wa Sim...
MANARA AWAFARIJI SIMBA SC
Mkuu wa idara ya habari na mawasilino ya Simba SC Haji Manara, ameandika ujumbe wa kuwafariji mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia ...