Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, amekamilisha haki ...
POLISI WAMKAMATA NA KUMWACHIA HALIMA MDEE
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni asubuhi ya leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 walimkata Mgombea Ubunge wa Kawe, Halima Mdee wa Ch...
SIMBA YAPIGA CHINI WANNE
KLABU ya Simba imewafuta kazi Mwarami Mohamed ( kocha wa magolikipa ) na Patrick Rweyemamu ( meneja wa timu) kutokana na matokeo mabaya...
PROFESA LIPUMBA ‘TULIMALIZE ZOEZI HILI KWA AMANI’
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Ticket ya CUF, Prof. Ibrahim Lipumba tayari amepiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msin...
“KUANZIA LEO USIKU TUTAPOKEA MATOKEO, KUYATANGAZA”
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020 tume hiy...
“WANANCHI NENDENI MKAPIGE KURA, MKOA UPO SHWARI” - RC KUNENGE
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge (kulia) akiweka karatasi ya kura ndani sa sanduku la kupigia kura katika kituo cha Shule ya ...
‘ANAYESEMA ATAMWAGA DAMU, NATAKA LITA 7 ZA DAMU YAKE’
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametoa onyo kwamba yeyote ambaye anasema atamwaga damu mkoani humo, yeye anataka lita saba za damu ...
IGP SIRRO ATUMIA HAKI YAKE KIKATIBA KUPIGA KURA
Mkuu wa Jeshi la Polisi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akiwa ni miongoni mwa Watanzania waliojitokeza kupiga kura leo jijini Dar es sal...
MAJALIWA APIGA KURA KIJIJINI KWAKE NANDAGALA WILAYANI RUANGWA
Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akipiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Sh...
MAREKANI YAISHUTUMU SYRIA KWA KUCHELEWESHA KATIBA KABLA YA UCHAGUZI
Marekani na washirika kadhaa wa magharibi wameituhumu serikali ya Syria kwa kuchelewesha makusudi mchakato wa kuandika katiba mpya ili kuche...
GHASIA PHILADELPHIA: MAANDAMANO YAZUKA KUFUATIA MAUAJI YA MTU MWEUSI YALIOTEKELEZWA NA POLISI
Polisi mjini Philadelphia wamesema mamia ya wezi wamevamia na kuiba kwenye maduka ya biashara katika usiku wa pili wa ghasia zilizozuka baad...
BOMU LILILOBAKIA VITA VYA PILI VYA DUNIA LALIPULIWA UJERUMANI
Bomu lililobaki tangu vita vya pili vya dunia limetangaza kulipuliwa na kuharibiwa katika mji wa Cologne nchini Ujerumani. Manispaa ya mji w...
BOLIVIA YAFUTILIA MBALI AGIZO LA KUMKAMATA RAIS WA ZAMANI
Bolivia imetangaza kufutilia mbali agizo la kumkamata Rais wa zamani wa nchi Evo Morales lililotolewa Desemba 2019. Jaji mkuu wa mahakama ya...
JULIO: TATIZO LA SIMBA NI KOCHA TU
Aliyewahi kuwa kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amemtaja kocha wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck kuwa ndio chanzo cha matokeo mabaya kw...
JPM NA MKEWE WAKAMILISHA ZOEZI LA KUPIGA KURA
Rais na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM , Dkt. John Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli tayari wameka...
HUSSEIN MWINYI NA MAALIM SEIF WAPIGA KURA ZANZIBAR
Wagombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi na Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ,...
BAADA YA KUTIWA MBARONI… UTAJIRI NABII BILIONEA WAIBULIWA
Si habari tena kwamba, mchungaji maarufu wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering (ECG), Nabii Shepherd Bushiri, ametiwa mbaroni kwa tuh...
KMC YAMUOMBEA RADHI KABUNDA “HAKULENGA KUIDHIHAKI YANGA”
Club ya KMC imemuombea radhi mchezaji wake Hassan Kabunda kwa kitendo cha kushangilia na kinyago usoni baada ya kuifunga Yanga SC katika uwa...
RAIS WA FIFA APATA CORONA
Rais wa shirikisho la soka duniani (FIFA) amethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona na sasa amejitenga ili kuangalia afya yake. I...
RAIS WA FC BARCELONA ABWAGA MANYANGA
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari Hispania ikiwemo jarida Mundo Deportivo inaripotiwa Rais wa FC Barcelona Josep Maria Bartomeu ame...