} });
 
MAELFU WAJITOKEZA KATAMBI AKIWASHUKURU WANANCHI KUMCHAGUA KUWA MBUNGE SHINYANGA MJINI
MAELFU WAJITOKEZA KATAMBI AKIWASHUKURU WANANCHI KUMCHAGUA KUWA MBUNGE SHINYANGA MJINI

Mbunge Mteule wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi (CCM) amewashukuru wananchi wa mkoa wa Shinyanga kwa kumuamini na kumchagua kwa ...

Read more » Soma zaidi »

AHMED SALUM ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI JIMBO LA SOLWA
AHMED SALUM ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI JIMBO LA SOLWA

Mgombea wa Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Ahmed Salum (CCM) ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Ok...

Read more » Soma zaidi »

DARAJA LA JANGWANI LAFURIKA MAFURIKO
DARAJA LA JANGWANI LAFURIKA MAFURIKO

Baadhi ya wananchi wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Kariakoo na Posta wameshangazwa na mafuriko ambayo yametokea mchana wa leo katik...

Read more » Soma zaidi »

BREAKING: MWINYI ATANGAZWA MSHINDI URAIS ZANZIBAR
BREAKING: MWINYI ATANGAZWA MSHINDI URAIS ZANZIBAR

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dr.Hussein Mwinyi wa CCM kuwa Rais Mteule wa Zanzibar kwa ushindi wa kura 380,402 sawa ...

Read more » Soma zaidi »

ABBAS TARIMBA ASHINDA UBUNGE KINONDONI
ABBAS TARIMBA ASHINDA UBUNGE KINONDONI

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kinondoni na Kawe, Aron Kagurumjuli amemtangaza mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kinondoni Abass Tarimba ameshi...

Read more » Soma zaidi »

MRISHO GAMBO AMSHINDA LEMA UBUNGE ARUSHA MJINI
MRISHO GAMBO AMSHINDA LEMA UBUNGE ARUSHA MJINI

  Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amemtangaza Mrisho Gambo wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa kura 82,480 akifu...

Read more » Soma zaidi »

ERICK SHIGONGO ASHINDA UBUNGE BUCHOSA
ERICK SHIGONGO ASHINDA UBUNGE BUCHOSA

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Buchosa, Crispin Luanda leo Oktoba 29, 2020, amemtangaza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Cha...

Read more » Soma zaidi »

ZITTO KABWE APOTEZA UBUNGE JIMBO LA KIGOMA MJINI
ZITTO KABWE APOTEZA UBUNGE JIMBO LA KIGOMA MJINI

Msimamizi wa uchaguzi katika Jimbo la Kigoma Mjini amemtangaza Kirumbe Ng'enda wa CCM kuwa mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata ku...

Read more » Soma zaidi »

ESTER BULAYA ASHINDWA KUTETEA KITI CHA UBUNGE BUNDA MJINI
ESTER BULAYA ASHINDWA KUTETEA KITI CHA UBUNGE BUNDA MJINI

Ester Bulaya ameshindwa kutetea kiti cha ubunge katika jimbo la Bunda Mjini kwa tiketi ya Chadema baada ya kushindwa na mgombea wa CCM, Robe...

Read more » Soma zaidi »

MUSUKUMA ATETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE GEITA
MUSUKUMA ATETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE GEITA

Joseph Musukuma wa CCM, ametetea kiti chake cha ubunge jimbo la Geita kwa kupata kura 31, 520 Sawa na asilimia 86.1 ya kura zilizopigwa. Msi...

Read more » Soma zaidi »

UMMY MWALIMU AIBUKA KIDEDEA JIMBO LA TANGA MJINI
UMMY MWALIMU AIBUKA KIDEDEA JIMBO LA TANGA MJINI

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tanga Mjini Daud Mayeji amemtangaza Mgombea wa CCM Ummy Mwalimu kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo ...

Read more » Soma zaidi »

MWANAHARAKATI KIJANA ASHTAKIWA HONG KONG KWA KUTAKA KUJITENGA
MWANAHARAKATI KIJANA ASHTAKIWA HONG KONG KWA KUTAKA KUJITENGA

Mwanaharakati wa kutetea demokrasia huko Hong Kong mwenye umri wa miaka 19, ameshtakiwa kwa kosa la kuendeleza harakati za kuutenga mji huo ...

Read more » Soma zaidi »

WAWILI WAMEPOTEZA MAISHA KATIKA SHAMBULIZI LA KISU KARIBU NA KANISA UFARANSA
WAWILI WAMEPOTEZA MAISHA KATIKA SHAMBULIZI LA KISU KARIBU NA KANISA UFARANSA

Watu wawili wamepoteza maisha katika shambulizi la kisu karibu na kanisa huko Nice, Ufaransa. Meya Christian Estrosi amesema katika taarifa ...

Read more » Soma zaidi »

WATU 31 WAFARIKI KUTOKANA NA KIMBUNGA MOLAVE VIETNAM
WATU 31 WAFARIKI KUTOKANA NA KIMBUNGA MOLAVE VIETNAM

Mchakato wa uokozi unaendelea nchini Vietnam hii leo, baada ya maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na KimbungaMolave.  Mamia ya wanajeshi w...

Read more » Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE ASHINDA UBUNGE KIGAMBONI
DKT. NDUGULILE ASHINDA UBUNGE KIGAMBONI

Msimamizi Erasto Kiwale amemtangaza Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kupata kura 34, 540 huku   Mageleli Simon wa Chadema amepata kura 11,30...

Read more » Soma zaidi »

PROF. NDALICHAKO ASHINDA UBUNGE JIMBO LA KASULU MJINI
PROF. NDALICHAKO ASHINDA UBUNGE JIMBO LA KASULU MJINI

Profesa Joyce Ndalichako atangazwa mshindi wa ubunge katika jimbo la Kasulu mjini katika wilaya ya Kasuru mkoani Kigoma.

Read more » Soma zaidi »

LAZARO NYALANDU ASHINDWA UBUNGE JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI, RASHID MANDOA AIBUKA KIDEDEA
LAZARO NYALANDU ASHINDWA UBUNGE JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI, RASHID MANDOA AIBUKA KIDEDEA

Mgombea ubunge kupitia Chadema Lazaro Nyalandu ameshindwa ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini baada ya kushindwa na mgombea wa CCM, Ras...

Read more » Soma zaidi »

COSTANTINE KANYASU MSHINDI WA UBUNGE JIMBO LA GEITA MJINI
COSTANTINE KANYASU MSHINDI WA UBUNGE JIMBO LA GEITA MJINI

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Geita Mjini Modest Apolnar amesema jimbo hilo lilikuwa na wagombea sita na mshindi ni Costantine Kanyasu baad...

Read more » Soma zaidi »

MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU LIGI KUU, APIGWA FAINI
MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU LIGI KUU, APIGWA FAINI

Mchezaji wa Simba SC, Bernard Morrison amepigwa faini ya Tsh. 500,000 na kufungiwa mechi 3 kwa kosa la kumpiga ngumi Juma Nyoso wa Ruvu Shoo...

Read more » Soma zaidi »

MWAMUZI SHOMARI LAWI AFUNGIWA MIEZI 12
MWAMUZI SHOMARI LAWI AFUNGIWA MIEZI 12

MWAMUZI Shomari Lawi leo Oktoba 29, 2020 amefungiwa miezi 12 kwa kushindwa kuumudu mchezo namba 50 wa Tanzania Prisons FC na Simba aliocheze...

Read more » Soma zaidi »

TABASAMU ASHINDA UBUNGE SENGEREMA
TABASAMU ASHINDA UBUNGE SENGEREMA

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Sengerema, Magesa Mafuru leo Oktoba 29, 2020 amemtangaza mgombea Ubunge wa Jimbo la Sengerema, Hamis Tabasamu...

Read more » Soma zaidi »

TUNDU LISSU APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI
TUNDU LISSU APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI

MGOMBEA wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametangaza kutokubali matokeo ya uchaguzi yanayoendelea k...

Read more » Soma zaidi »

PROFESA JAY APOTEZA JIMBO LA MIKUMI, CCM WASHINDA
PROFESA JAY APOTEZA JIMBO LA MIKUMI, CCM WASHINDA

Aliyekuwa Mbunge anayeongoza watu na wanyama Jimbo la Mikumi Joseph Haule maarufu kama Prof Jay wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA...

Read more » Soma zaidi »

DAVID SILINDE ASHINDA UBUNGE JIMBO LA TUNDUMA
DAVID SILINDE ASHINDA UBUNGE JIMBO LA TUNDUMA

Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Tunduma Mkoani Songwe, amemtangaza David Silinde wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo hilo kwa kup...

Read more » Soma zaidi »

MSIGWA APOTEZA JIMBO LA IRINGA MJINI, JESCA WA CCM ASHINDA
MSIGWA APOTEZA JIMBO LA IRINGA MJINI, JESCA WA CCM ASHINDA

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini amemtangaza Jesca Msambatavangu wa CCM kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 36,0...

Read more » Soma zaidi »

FRED LOWASSA ASHINDA UBUNGE MONDULI
FRED LOWASSA ASHINDA UBUNGE MONDULI

Msimamizi wa uchaguzi katika Jimbo la Monduli amemtangaza Fredrick Lowassa wa CCM kuwa mshindi wa Jimbo hilo kwa kupata kura 72,502 sawa na ...

Read more » Soma zaidi »

PROFESA MKENDA ASHINDA UBUNGE JIMBO LA ROMBO
PROFESA MKENDA ASHINDA UBUNGE JIMBO LA ROMBO

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Rombo Godwin Chacha amemtangaza aliyekuwa Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda kuibuka mshin...

Read more » Soma zaidi »

REUBEN KWAGILWA CCM ASHINDA UBUNGE JIMBO LA HANDENI
REUBEN KWAGILWA CCM ASHINDA UBUNGE JIMBO LA HANDENI

Reuben Kwagilwa CCM ametangazwa kushinda ubunge jimbo la Handeni kwa kura 15,241 sawa na asilimia 67 dhidi ya wapinzani wake Sonia Magogo CU...

Read more » Soma zaidi »

LIVE UPDATES: MATOKEO YA URAIS UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA
LIVE UPDATES: MATOKEO YA URAIS UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kupokea na kutangaza matokeo ya kura za urais zilizopigwa jana Oktoba 28, 2020. Mkoa wa Njombe Jimbo...

Read more » Soma zaidi »

ESTER MATIKO ASHINDWA UBUNGE JIMBO LA TARIME MJINI
ESTER MATIKO ASHINDWA UBUNGE JIMBO LA TARIME MJINI

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Tarime Mjini, Ester Matiko ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kushindwa na mshindani wake, Michael Kembaki...

Read more » Soma zaidi »

FAIZA AMTULIZA SUGU BAADA YA KUSHINDWA UBUNGE
FAIZA AMTULIZA SUGU BAADA YA KUSHINDWA UBUNGE

Mfanya biashara Faiza Ally amempa moyo na kumuunga mkono aliyekuwa mpenzi wake wa zamani na baba mtoto wake, Joseph Mbilinyi ‘Mr II Sugu’, b...

Read more » Soma zaidi »

BREAKING: WAITARA AMBWAGA HECHE TARIME VIJIJINI
BREAKING: WAITARA AMBWAGA HECHE TARIME VIJIJINI

MSIMAMIZI wa uchaguzi katika Jimbo la Tarime Vijijini amemtangaza Mwita Waitara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo...

Read more » Soma zaidi »

RAMADHANI SIMA ASHINDA UBUNGE SINGIDA MJINI
RAMADHANI SIMA ASHINDA UBUNGE SINGIDA MJINI

Msimamizi wa uchaguzi katika jimbo la singida mjini  amemtangaza  Ramadhani Sima wa CCM kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura...

Read more » Soma zaidi »

SEBASTIAN KAPUFI (CCM) ASHINDA UBUNGE MPANDA MJINI
SEBASTIAN KAPUFI (CCM) ASHINDA UBUNGE MPANDA MJINI

Mpanda Mjini:  Mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sebastian Kapufi ameshinda nafasi ya Ubunge kwa kupata kura 24...

Read more » Soma zaidi »

HAWA GHASIA (CCM) ASHINDWA UBUNGE, CUF YAIBUKA KIDEDEA
HAWA GHASIA (CCM) ASHINDWA UBUNGE, CUF YAIBUKA KIDEDEA

Shamsia Mtamba kupitia CUF, ametangazwa ameshinda jimbo la Mtwara Vijijini baada ya kuibuka kidedea kwa kura 26,262, dhidi ya mpinzani wake ...

Read more » Soma zaidi »

CCM YASHINDA UBUNGE MTWARA MJINI
CCM YASHINDA UBUNGE MTWARA MJINI

HASSAN SELEMAN wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameshinda ubunge Mtwara Mjini kwa kupata kura 22,411 akifuatiwa na mgombea wa Chama cha Wananchi...

Read more » Soma zaidi »

PATROBAS KATAMBI ASHINDA UBUNGE JIMBO LA SHINYANGA MJINI
PATROBAS KATAMBI ASHINDA UBUNGE JIMBO LA SHINYANGA MJINI

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini, Mkoani Shinyanga amemtangaza Patrobas Katambi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  kuwa mshindi wa ...

Read more » Soma zaidi »

GEORGE MKUCHIKA ASHINDA UBUNGE NEWALA MJINI
GEORGE MKUCHIKA ASHINDA UBUNGE NEWALA MJINI

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Newala Mjini, Mkoani Mtwara amemtangaza Kapteni Mstaafu, George Huruma Mkuchika wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ...

Read more » Soma zaidi »

ANNA LUPEMBE WA CCM ASHINDA UBUNGE JIMBO LA NSIMBO, KATAVI
ANNA LUPEMBE WA CCM ASHINDA UBUNGE JIMBO LA NSIMBO, KATAVI

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nsimbo, Mohamed Ramadhani, amemtangaza Ana Lupembe wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo hilo kwa kupa...

Read more » Soma zaidi »

CCM WASHINDA KATA 24 KATI YA 25 JIMBO LA ARUSHA MJINI
CCM WASHINDA KATA 24 KATI YA 25 JIMBO LA ARUSHA MJINI

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amesema “Chama cha Mapinduzi kimechukua kata 24 kati ya kata 25 za Udiwani Jimbo la Arusha Mjini...

Read more » Soma zaidi »

MGOMBEA UBUNGE, MAKAMBA AKAMATWA NA POLISI
MGOMBEA UBUNGE, MAKAMBA AKAMATWA NA POLISI

Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA), Salome Makamba kwa tuhuma za kufanya ...

Read more » Soma zaidi »

CCM YASHINDA VITI VYOTE UDIWANI SENGEREMA, TARIME MJINI
CCM YASHINDA VITI VYOTE UDIWANI SENGEREMA, TARIME MJINI

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda viti vyote 47 vya udiwani katika majimbo ya Sengerema na Buchosa wilayani Sengerema.   Pia, chama hicho...

Read more » Soma zaidi »

MBOWE ASHINDWA UBUNGE HAI, MAFUWE KIDEDEA
MBOWE ASHINDWA UBUNGE HAI, MAFUWE KIDEDEA

Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Saashisha Mafuwe, ameibuka mshindi katika Jimbo la Hai katika uchaguzi uliofanyika jana Ju...

Read more » Soma zaidi »

MOSHI MJINI MSHINDI NI PRISCUS TARIMO WA CCM
MOSHI MJINI MSHINDI NI PRISCUS TARIMO WA CCM

  Mgombea wa CCM, Priscus Tarimo wa CCM ameshindi Ubunge katika Jimbo la Moshi Mjini baada ya kupata kura 31,169 akifuatiwa na Raymond Mboya...

Read more » Soma zaidi »

NJOMBE MJINI MSHINDI NI DEODATUS MWANYIKA
NJOMBE MJINI MSHINDI NI DEODATUS MWANYIKA

Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Mwanyika wa Chama Cha Mapinduzi kuwa mshindi wa ubunge wa Jimbo hilo...

Read more » Soma zaidi »

DR. TULIA ASHINDA UBUNGE MBEYA MJINI
DR. TULIA ASHINDA UBUNGE MBEYA MJINI

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mbeya Mjini, amemtangaza Dr. Tulia Ackson wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo ambaye...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 29 OKTOBA, 2020
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 29 OKTOBA, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top