Mgombea ubunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara kwa tiketi ya CCM, Christopher Ole Sendeka (Simba wa Manyara) ameibuka kidedea na kwa ku...
“WANAOPANGA KUANDAMANA, DAR SIO SHAMBA LA BIBI”
Kamanda Polisi Kanda Maaalum ya dar es salaam, Lazaro Mambosasa amewaonya wanasiasa walioshindwa chaguzi kwenye mikoa mingine na sasa wanata...
TAARIFA KUHUSU VAN DIJK IPO HIVI
Klabu ya Liverpool imethibitisha kwamba zoezi la upasuaji wa goti la mlinzi wake Virgil van Dijk limefanyika kwa mafanikio. Mchezaji huyo mw...
ALABA KUTIMKA BAYERN KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA?
David Alaba (Kushoto) akiwa na kocha wake Hans Flick baada ya kutwaa ubingwa wa 8 wa Bundesilga. Mustakabali wa mlinzi David Alaba katika Kl...
UPINZANI KUPOTEZA MAJIMBO MUHIMU, INAMAANA GANI?
Kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wa pili ni Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe. Katika mwendelezo wa matokeo ya uch...
JE, HISTORIA IMEWABEBA MAWAZIRI WA JPM?
Pichani ni Wabunge wateule, kushoto ni Mh. Jenista Mhagama (Peramiho), Mh. Ummy Mwalimu (Tanga Mjini), kulia ni Mh Dkt Philip Mpango (Buhigw...
PARESSO ASHINDWA UBUNGE JIMBO LA KARATU
Aliyekuwa mbunge wa viti maalum na mgombea ubunge jimbo la Karatu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Cecilia Daniel Pares...
PROFESA KITILA MKUMBO ASHINDA UBUNGE UBUNGO
MSIMAMIZI wa uchaguzi jimbo la Ubungo, Beatrice Dominic, amemtangaza Profesa Kitila Mkumbo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi katika...
WAFAHAMU WABUNGE WALIOPITA BILA KUPINGWA
WAGOMBEA ubunge 18 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioingia katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi hizo walipita bila kupingwa baada y...
BONNAH KAMOLI ATANGAZWA MSHINDI JIMBO LA UKONGA
Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA, John Mrema na kulia ni Mbunge mteule wa jimbo la Segerea Bonnah Kamoli Mgombea...
KOCHA MPYA SIMBA HUYU HAPA RAIA WA KENYA
TAARIFA zinasema kuwa, Klabu ya Simba, ipo kwenye mazungumzo na Kocha Abdul Idd Salim raia wa Kenya kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Muharami...
MALARIA YAMUENDESHA CARLOS CARLINHOS
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kuteswa na Ugonjwa wa Malaria uliosababisha asiwem...
LUIS AMVUTA SIMBA LAU HÁ KING WA UD SONGO
I MEFAHAMIKA kuwa, kiungo mshambuliaji wa Simba raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, ndiye aliyetoa mapendekezo ya usajili wa kiungo mshambuli...
WIMBI JIPYA MAAMBUKIZI YA CORONA LAIBUKA KENYA
WIZARA ya Afya nchini Kenya imeelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaofariki kutokana na ugonjwa wa COVID-19 katik...
UN YATAKA DINI NA IMANI ZOTE ZIHESHIMIWE
MWAKILISHI wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa udugu na a...
CHAMA TAWALA CHASHINDWA KUBADILI KATIBA ZAMBIA
MUSWADA tata wa kikatiba ulishindwa kupitishwa bungeni jana Oktoba 29, 2020 kufuatia upinzani mkali kutoka kwa asasi za kiraia na vyama vin...
WAHAMIAJI 140 WAPOTEZA MAISHA BOTI IKIZAMA
WATU wapatao 140 wamepoteza maisha baada ya meli iliyokuwa na wahamiaji wapatao 200 kuzama katika pwani ya Senegal. Katika taarifa yake, O...
NYUMBA YA MSHINDI WA UBUNGE YANUSURIKA KUCHOMWA MOTO
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba, akizungumza na waandishi wa habari leo. POLISI mkoa wa Shinyanga inafanya uchun...
MPINZANI ALIYEMWANGUSHA HAWA GHASIA ATOBOA SIRI NZITO
MATOKEO ya uchaguzi mkuu Tanzania bado yanaendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ( NEC ) ambapo mpaka sasa zaidi ya majimbo 20...
WATATU WAUWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI
WATU watatu wamefariki dunia kufuatia shambulio lililotokea katika Mji wa Nice nchini Ufaransa kanisani kwenye ibada ya asubuhi ambalo Rais ...
WAKAZI ASHINDWA JIMBO LA UKONGA
Msanii wa HipHop Webiro Wasira 'Wakazi' ameshindwa kuchukua nafasi ya Ubunge ambalo alikuwa anagombea Jimbo la Ukonga kupitia Chama ...
NI MHESHIMIWA HAMISI MWINJUMA "MWANA FA"
Msanii Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana Fa amefanikiwa kushinda nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Muheza,Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi '...
KIMEI KURITHI MIKOBA YA MBATIA WA NCCR-MAGEUZI
Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Vunjo Michael Mwandezi, amemtangaza aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei, kuwa ndiye...
CHADEMA YAPATA MBUNGE WA KWANZA
Aida Khenani, mbunge mteule wa jimbo la Nkasi Kaskazini kupitia CHADEMA. Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Nkasi Kaskazini, amemtangaza Aida Kh...
HALIMA MDEE APOTEZA JIMBO KAWE
Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima ametangazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 194,833 akifua...