Maofisa wa Ikulu na wasaidizi wakuu wa Rais Donald Trump wameelezea wasiwasi wao kuhusu ushindi wa kiongozi huyo na mpinzani wake Joe Biden ...
WANANCHI WADAIWA KUKATWA VICHWA MSUMBIJI
TAARIFA kutoka Msumbiji zinasema kuwa wanamgambo wa Kiislamu wamevamia vijiji kaskazini mwa eneo la Muidumbe mkoa wa Cabo Delgado, Jumamosi ...
MUSEVENI AZINDUA ILANI YAKE YA UCHAGUZI YA MIAKA MITANO
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amezindua ilani yake ya uchaguzi ya miaka mitano kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani nchini humo...
MBARONI BAADA YA KUMTOA MIMBA MWANAMKE WA MIAKA 40
Jeshi la polisi mkoa wa Geita, linamshikilia Vestina Michael (44), mkazi wa Buseresere wilayani Chato kwa tuhuma za kumtoa mimba na kumsabab...
WAANDAMANAJI KUPIGWA RISASI NIGERIA, MWANASHERIA AONGEA
Mwanasheria Mkuu wa Nigeria amesema, watu waliowapiga risasi na kuua waandamanaji nchini humo hawajulikani na huenda watu waliofunika nyuso ...
MGOMBEA URAIS AKAMATWA NA WAJEDA, POLISI
MGOMBA urais nchini Uganda, Patrick Amuriat, amekamatwa katika mji mkuu wa Kampala katika makao makuu ya chama chake cha Forum for Democrati...
ANAYETUHUMIWA KUPORA SANDUKU LA KURA ASAKWA
MKUU wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga, amesema serikali inaendelea kumtafuta kijana anayedaiwa kukimbia na sanduku la kupigia kura wiki...
BOBI WINE ATEULIWA KUWANIA URAIS UGANDA, AKAMATWA
MWANASIASA maarufu wa upinzani nchini Ugand a ambaye pia ni msanii wa muziki, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’, ameteuliwa rasmi kugombea u...
VIONGOZI 20 WA CHADEMA WAKAMATWA SINGIDA
VIONGOZI 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida na kufikishwa mahakamani kwa madai y...
SURE BOY: AZAM TUNATAKA UBINGWA
KIUNGO wa Azam FC, Aboubakar Salum ‘Sure Boy’, amebainisha wazi kuwa licha ya kupoteza pointi tano kati ya sita walizotakiwa kupata kwenye m...
MWAKINYO NAMBA 1 TANZANIA, APANDA NAFASI UBORA DUNIANI
MWAKINYO aliyewahi kuwa namba moja Afrika na wa 14 duniani baada ya kumchapa kwa TKO, Samm Eggington wa Uingereza aliyekuwa bondia namba nan...
FEI AANZA KUOTA UBINGWA MAPEMA
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘ Fei Toto ’, amesema kuwa malengo yao kama wachezaji msimu huu ni kuhakikisha wanaipatia ubingwa timu hiyo....
CEDRIC KAZE AITANGAZIA KIAMA GWAMBINA
BIG bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Mrundi Cedric Kaze, amefunguka kuwa licha ya mwenendo usio mzuri walionao wapinzani wao Gwambina FC l...
TUNDU LISSU AKAMATWA NA POLISI, AACHIWA
ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amekamatwa...
KISA UCHAGUZI: MAJENGO YA SERIKALI, MAGARI YACHOMWA MOTO
BAADHI ya wananchi wenye hasira mkoani Lindi, wanadaiwa kufanya uharibifu wa mali za umma ikiwamo kuchoma majengo ya serikali, binafsi na vy...
WAMAREKANI KUAMUA LEO, DONALD TRUMP AU JOE BIDEN
RAIS wa Marekani, Donald Trump, na mshindani wake, Joe Biden, wamemaliza kampeni zao kwenye ngome zao muhimu huku kila mmoja akinadi sera za...
ADAIWA KUUA MKE NA SHEMEJI KWA SHOKA
JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mtuhumiwa Faraji Yunus (44), mkazi wa Kijiji cha Kikagati wilayani Muleba mkoani Kagera, kwa tuh...
WANAODAIWA KUTAKA KUCHOMA NYUMBA YA KATAMBI WAKAMATWA
Polisi Mkoani Shinyanga imewakamata watu tisa kwa tuhuma za kutaka kuchoma moto nyumba ya Mbunge Mteule wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi...
MBUNGE WA MTEULE WA CHADEMA ASEMA HATAWASALITI WANANCHI WALIOMCHAGUA
Aida Khenan, Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini kupitia CHADEMA amesema, hatowasaliti wananchi waliomchagua hivyo atakwenda Bunge kuapishwa il...